NA HUU NAZANI UTAKUWA NI UONGO AU NI PHOTO SHOP
NA HUU NAZANI UTAKUWA NI UONGO AU NI PHOTO SHOP
msameheni bure, atakuwa alipitiwa tu.
Anataka asifiwe kwa kazi anayofanya sasa hivi ya kuzindua vichochoro ambavyo yeye anaita ni barabara
Kwa Kikwete hizo picha juu zinaonyesha maisha bora kwani ametokea kule na kufika hapo alipo. Try to imagine. Mkewe ambaye ni mwalimu wa chekekea sasa anaendeshwa kwenye mercedes Benz wewe unafanya mchezo! Anamiliki NGO yenye ulaji mnono tena usioguswa na wahasibu ukiachia mbali kwenda nje kujinoma kila mara. Kwa haya ndiyo maisha bora. Maisha bora kwa wote wawili watoto wao na waramba viatu wao. Ukiangalia mambo kwa makengeza ni kwamba Kikwete amefanikiwa kuleta maisha bora kwa wote wao na watu wao lakini si watanzania wote. Huo ndiyo usanii wa jamaa.
Mkuu hapa hakuna Cha Wapika Uongo na kama ni kupika Uongo hiyo ni kazi ya Serikali make wao ndo wanatoa ahadi hewa, Hili Daraja analo enda kufanyia Mipasho isingekuwa wafanya kazi/wanachama wa NSSF lingejengwa? tumenyimwa pesa zetu hadi kustafu kisa tu zitumike kujenga Daraja huku kuna Bilioni 300 zimefichwa Uswiz, Serikali ishukuru wafanya kazi/Wanachama wa NSSF ni wapore sana
Akiziona atasema hazijapigwa Tz
Aiseeee babaangu mbona mnamsingizia mambo mahovu rais wangu kwani hapa ni tanzania kweli??? Mi nadhani hapa ni sudani sourth iliyo pata uhuru juzi tz miaka 60 ya uhuru aiwezi kuwa hivi
Miaka 50 ya Uhuru, na kuna baadhi ya viongozi wamepokea doctarate ya kuboresha Elimu na Afya vijijini tunamdanganya nani au tuna jidanganya wenyewe.
Ndo matatizo ya mtu kuzoea kusema uongo kila mara!!!
GOOD TIMBER DOES NOT GROW WITH EASE. THE STRONGER THE WIND THE STRONGER THE TREES.
Asili yake mipasho, mwacheni tu apite kwa amani
muheshimiwa anaangalia foleni za magari ubungo mataa kama kigezo cha maendeleo si habari kama hizi.......
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
Na wale wanaotorosha madini kama sukari je
...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???
Tuwe tu wavumilivi kwa maana inauma sana. Kama tu viongozi wangekuwa na uthubutu wa kuacha kuwagawa wtoto wa shule, yaani watoto wa wakubwa kusoma nje au katika shule ama teule au shule za private ambazo ni za gharama kubwa na nzuri, hali hii isingetokea kamwe. Tuungane kwa pamoja tuache ushabiki wa vyama, udini, ukabila, urafiki na fadhila twende tukachague viongozi makini na wachapa kazi wenye uchungu na taifa lao
Ndo maana makao makuu ya nchi hii yataendelea kuwa DSM na haitatokea iwe Dom kama kisiasa inavyosemwa!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
mh.... na nyie nao kwa photoshop!!!
hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?
Wazazi wao wamekubaliana na hali hiyo.
Follow Us Here