NA HUU NAZANI UTAKUWA NI UONGO AU NI PHOTO SHOP
NA HUU NAZANI UTAKUWA NI UONGO AU NI PHOTO SHOP
tumsamehe bure kama aliona ngombe south afrika akasema hajawahi
kuwaona wakati irnga wapo wakubwa zaidi ya aliowaona ni
kuwa hanahabari au kasahau kuwa nchi yake ina hali mbaya kielimu.
katembelea shamba la mananasi huko Ghana anashangaa
badala ya yeye kuwekeza katika somo la food enginearing nchini mwake.
Mtukufu ni mmoja tu Mungu peke yake na sio binadamu.
You may know me but you have no Idea who I am !
Taifa letu bado changa. Kwa mujibu wa malecela miaka 20 ijayo Tanzania itaondoa matatizo yooote hayo na kuwa ya 11 kiuchumi duniani - DKK 45 tarehe 17/9/2012.
Eti watu wanazusha uongo! Jamaa hakustaili kuwa rais kabisa. Hizo picha ni aibu yako. Na bado watu watakuja na vielelezo hadi ukimbie.
Mnamsingizia tuu!
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
ukizoea kuvua samaki mmoja kwa ndoano na kurudi nyumba kwako na kusifiwa na mkeo bila kujali kuweka akiba huwezi kuelewa ni kwa nini kila mpenda nchi anasema maisha ni magumu na siyo bora
Huyu jamaa hakutakiwa kuwa rais period.Rais gani muda wote mipasho?Hebu unganisheni na hii statement "Foleni zitavunja ndoa za watu" serious????Hakuwaza kabisa kuhusu uchumi wetu,ni mafuta kiasi gani yanatumika kwenye hizi foleni?
Huyu mtu naona haeleweki. Kule kwao Bagamoyo alianza chekechea mpaka darasa la saba chini ya mbuyu, leo hii anajifanya kasahau? Hii nchi ilivyo tajiri eti mpaka leo wanafunzi wanakaa sakafuni na yeye kila kukicha anapaa kwenda kutalii maduniani. Ah kweli rais hatuna jamani.
Unasema muheshimiwa kapitiwa? Una uhakika huwa anapitiwa?
Kwa yeye la ukweli atasema ni uongo na la uongo atalisema ni ukweli.....Ari Mpya NGuvu Mpya na Kasi Mpya..
UONGO INDUSTRY:Haka ni kaupepo tu, nako katapita!!!
hiyo si afadhali.
Mtoto akitengeneza mwanasesele, ufurahia sana na lazima tumpongeze!. Lakini kikongwe aliyetapanya mali zake zote kwa anasa wakati wa maisha ya ujana, akinunua Bicycle akijisifu tutamshanga sana maana yafaa aone aibu!, wala hatuwezi mpongeza pia!.
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
kwa kiwete wa akili, huo ni uongo tena uongo kweli
Hatua ya juu kabisa ya uongo ni pale mtu anapojidanganya mwenyewe. JK ameshafikia hatua hii.
Usually when people are sad they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry they bring about a change. Malcolm X
Mie nakumbuka tukiwa wadogo tulikuwa tnatengeneza magari ya mabox na tyre za vizibo vya soda lakini siku hizi za mipasho hata engineers hawana la kufanya ukiangalia uzinduzi ni sherehe ngoma mziki watu kibao kula pesa tu ...hakuna cha akili kutumika kwa mambo ya maana hilo daraja na bara bara wanajenga wachina sasa sisi tuna soma kufanya nini au kwa ajili ya kwenda kwenye sherehe angalia list ya walio hudhuria
For tommorow belonging to those people who prepared fo it
Follow Us Here