[QUOTE=Mwana Mpotevu;4666550]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
amewaonya watu ambao wamelifanya suala la kutunga na kusema uongokama sehemu ya utamaduni wao. “Watu wana viwanda vya kuzalisha uongo. Wanashinda wanasambaza uongo kwenye mitandao, kila mahali. Wamepata hata kusema kuwa mimi nimemuuzia George Bush eneo la Kigamboni. Bush aje kufanya nini Kigamboni?”
Rais pia amesema kuwa wapo watu ambao hawapendi maendeleo ya nchi. “Wanatamanikila siku tushindwe kuwaletea wananchi maendeleo. Lakini watakufa kwa kihoro kwa sababu hatutashindwa. Kila tulilosema tutalifanya, litafanyika”.
Amesema kuwa thamani kubwa ya vyama vya siasa ni maendeleo ya wananchi. “Lakini wapo wenzetu ambao wanaudhika wakiona maendeleo. Wanapenda hata daraja hili lisijengwe. Leo hawatalala usingizi. Kazi ya vyama vya siasa ni kuweka maslahi yetu sote mbele.”
Imetolewa na:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
20Septemba, 2012
MY TAKE:
Hivyo vyama vi vipi visivyotaka maendeleo? Hiyo mitandao ya kijamii ni ipi? Akina nani wanaomiliki viwanda vya kutunga uo? [/QUOTE
Siku Hizi taarifa za ikulu zimekaa kimipasho na umbea Kama mpangaji wao.....sasa taarifa gani hii......
Halafu huo uzinduzi wa. DART ...mabasi anafanya kila Siku ???? Au anafanya wote hatukuumbukii kuwa mradi wa mabasi yaendayoo kasi ...alishauuziindua mwezi wa september 2010???? Pale Kivukoni.....ameishiiwa mirradi ya kuuzindua .....au kwa kuwa anafikirii watanzania Hawana kumbukumbu ?
Follow Us Here