Hizi safari za rais zimezidi sana,hakuna uwezekano hizi safari zichunguzwe au kuundiwa kamati/tume ili
kujua imeleta manufaa gani kwa taifa,au hakuna mamlaka inayoweza kufanya uchunguzi wa hizi safari au hata kustopishwa kwanza.

I'm sorry for you son!
Kabla rais hajaacha kusafiri vipi goodby lema ambaye kila siku yuko uingereza kwenye makwapa ya conservative party?? Juzi tulishihudia madiwani wa chadema wanataka kwenda rwanda kwa kutumbua milioni 200?? Hapa hakuna kitu ni wivu tu. Ziara za rais zinakuathiri vipi?? Kodi yenyewe ulipi
Follow Us Here