JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. ngararumu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th March 2012
   Posts : 192
   Rep Power : 482
   Likes Received
   32
   Likes Given
   1

   Default gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk


  2. Mwana Mpotevu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 7th September 2011
   Posts : 3,115
   Rep Power : 755258
   Likes Received
   1853
   Likes Given
   1027

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Weka details za kutosha watu wakuelewe, kama hauko tayari kufafanua unaanzisha thread ya nini??

   Watu wengine bwana! (Nimekopi hii)
   BabaDesi and Maundumula like this.
   Don't break the LAW, just Bend It!

  3. #3
   Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 28,163
   Rep Power : 271423388
   Likes Received
   4981
   Likes Given
   3178

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Quote By ngararumu View Post
   Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
   Hebu iweke hiyo habari kwa undani hapa.....

  4. #4
   POMPO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 5,885
   Rep Power : 85902578
   Likes Received
   1958
   Likes Given
   821

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   hIzI nDiO tHrEaD
   "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

  5. Kwetu Iringa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 358
   Rep Power : 552
   Likes Received
   69
   Likes Given
   629

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Tafadhali weka hiyo article humu. Mi nipo Dom nimelitafuata sana bila mafanikio

  6. #6
   zamlock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th July 2012
   Posts : 2,295
   Rep Power : 885
   Likes Received
   427
   Likes Given
   0

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   halina mpango kabisa wanawafagilia hao boyz 2 men na wamemponda sita sana
   BabaDesi likes this.

  7. #7
   SG8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Location : DSM
   Posts : 2,847
   Rep Power : 4318
   Likes Received
   909
   Likes Given
   850

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Kazi kweli. Nimejikuta najishangaa kwanini nimefungua hii post
   "Show your mind, not your behind"

  8. #8
   BabaDesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th June 2007
   Posts : 2,735
   Rep Power : 1238
   Likes Received
   421
   Likes Given
   2382

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Quote By zamlock View Post
   halina mpango kabisa wanawafagilia hao boyz 2 men na wamemponda sita sana
   ...Naona kama Raia Mwema limeanza kubadilisha Muelekeo kuelekea Uchaguzi. Kama ilivyokuwa kwa RAI.....
   Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!

  9. #9
   Mystery's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 8th March 2012
   Location : Mji kasoro bahari
   Posts : 2,004
   Rep Power : 261754798
   Likes Received
   815
   Likes Given
   552

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Quote By ngararumu View Post
   Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
   Unaongelea hicho kijarida, ambacho kina udugu wa damu na TBC na gazeti la Uhuru?! Kama sikosei kuna mtu mmoja aliwahi kunitonya kuwa, hao wana udugu mzito, kwa kuwa wamezaliwa na baba na mama mmoja!!

  10. #10
   Mystery's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 8th March 2012
   Location : Mji kasoro bahari
   Posts : 2,004
   Rep Power : 261754798
   Likes Received
   815
   Likes Given
   552

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Quote By zamlock View Post
   halina mpango kabisa wanawafagilia hao boyz 2 men na wamemponda sita sana
   Nimesikia fununu kuwa, kutokana na article za hilo gazeti, za akina Bagenda, ambazo hazitaki kabisa kubalance story kama taaluma ya uandishi wa habari inavyotaka, hilo gazeti halinunuliki kabisa, na badala yake, hata hao wahariri na waandishi wanalipwa mishahara na hela ya ruzuku toka mifukoni mwa RA na EL, sasa sjui hilo gazeti litajiendesha hivyo kiuhuruuhuru hadi lini? Nadhani kuna dalili ya imminent death ya hilo gazeti, hasa baada ya CDM kuchukua nchi 2015!!

  11. #11
   Mystery's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 8th March 2012
   Location : Mji kasoro bahari
   Posts : 2,004
   Rep Power : 261754798
   Likes Received
   815
   Likes Given
   552

   Default Re: gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

   Quote By ngararumu View Post
   Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
   Another type of Udaku materials, like Shigongo's, Uwazi. Risasi, Ijumaa and Amani??!!

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...