Wadau wa hapa jamvini naomba tupige kura ya maoni ili kujua hawa watu wawili nani anakubalika sana mpaka leo hii?
Wadau wa hapa jamvini naomba tupige kura ya maoni ili kujua hawa watu wawili nani anakubalika sana mpaka leo hii?
weka polling tool uone.
hii mada nadhani haitatusaidia.....mmoja ni raisi na mwingine ni katibu mkuu wa chama.....sasa sijui tuwalinganishe kwa lipi? kama ni kugombea nafasi ya urais 2015 Jk hatogombea.....kama ni uchaguzi uliopita majibu tunayajua wote....labda utujuze zaidi anakubalika kwa lipi.....ucheshi wake?...urefu?....ukarimu..... nk
kuna anayekubalika na anayejikubalisha sasa usipotazama kwa makini unaweza kudhani wote wanakubalika.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
Kwanini MODS wasitusaidie kurekebisha hili jukwaa,mada zingine hazina vichwa wala mkia.kuna nyingine ya rizt ipo hapa yaani utumbo mtupu eti madiwani wa cdm wamegawana viwanja hana ushahidi wala mwanza haijui,mods tusadieni
Kule Nyololo Iringa Dr. Slaa aliingia mitini akawaacha washabiki wake washambuliane na polisi!
"To greed, all nature is insufficient"
Nadhani nimechanganya nimeingia kwenye Jukwaa la watoto.
I'M NOT SAYING ISLAM ARE STUPID..I'M JUST SAYING SOME OF THEM DON'T HAVE LUCK WHEN IT COMES TO THINKING!!
Hii ilishaletwa hapa zamani!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Unalinganisha Rais kivuli wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Utumbo huu...hata nguruwe hali!
Follow Us Here