Wadau wa hapa jamvini naomba tupige kura ya maoni ili kujua hawa watu wawili nani anakubalika sana mpaka leo hii?
Wadau wa hapa jamvini naomba tupige kura ya maoni ili kujua hawa watu wawili nani anakubalika sana mpaka leo hii?
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
Kuna ubaya gani? Public opinion is just that, lakini inasaidia kuonyesha mwelekeo wa maoni na mtazamo wa raia.
Hapa Marekani rais wa zamani Bush ana approval rating chini ya 30% na ndiyo maana haonekani sana hadharani, wakati rais wa zamani Bill Clinton ana approval rating ya 69%. Obama sasa hivi ndipo kafikia 50% na kuna uwezekano mkubwa atashinda mwezi Novemba. Kwa hiyo kuonyesha approval rating ya Kikwete, miaka miwili baaada ya uchaguzi wa 2010 ni kuonyesha mwelekeo wa maoni na mtazamo wa Watanzania.
This is for the sake of public opinion kaka, wachambuzi wa siasa hufanya hivi mara kadhaa kuangalia public opinion on person's political charisma, influence and prominence. Walio wahi linganishwa kama hivi ni Obama Vs Bush, Clinton Vs Bush,John Kerry Vs Bush, Mitt Romney Vs Obama. Hope umeelewa maana yake.
Bro Jasusi,
Umeeleza vizuri kuu approval rating lakini umechanganya Dr Slaa hajawahi kuwa rais labda ungefanya approval rating kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete.
Slaa huwezi kumweka kundi moja na Jk labda useme Slaa na komba.
Time will tell...
TOPIC STOPPED
Magamba wasiwasi wenu ni nini acheni wana JAMVI tupige kura ya kutokuwa na imani na RAIS, bungeni mnatushinda lakini uku tulipo wana wa nchi lazima TUMTOE mtu nishai.
Follow Us Here