CHADEMA wamlima Rais Kikwete Barua juu ya mauwaji katika mikutano yao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wamemwandikia barua rasmi rais Jakaya Kikwete juu ya mwenendo wake wa kukaa kimya na kutochukua hatua yoyote kwa baadhi ya matukio yanayoonuesha kupangwa na wahusika kutowajibika hivyo wanamtaka rais awawajibishe.
Baadhi ya hao wanaotakiwa kuwajibishwa ni kamanda wa polisi wa Iringa, Morogoro, Arusha, Tabora na waziri wa mambo ya Ndani bwana Nchimbi
Last edited by Return Of Undertaker; 21st September 2012 at 07:03.
Re: CHADEMA wamlima Rais Kikwete Barua juu ya mauwaji katika mikutano yao
By Return Of Undertaker
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wamemwandikia barua rasmi rais Jakaya Kikwete juu ya mwenendo wake wa kukaa kimya na kutochukua hatua yoyote kwa baadhi ya matukio yanayoonuesha kupangwa na wahusika kutowajibika hivyo wanamtaka rais awawajibishe.
Baadhi ya hao wanaotakiwa kuwajibishwa ni kamanda wa polisi wa Iringa, Morogoro, Arusha, Tabora na waziri wa mambo ya Ndani bwana Nchimbi
tupate source kaka na ni nani kamlima barua maana tusiweke thread isiyoshiba magamba wataongea mno tuwape ufafanuzi wa kutosha
Re: CHADEMA wamlima Rais Kikwete Barua juu ya mauwaji katika mikutano yao
By Mamaisara
Rais yeyote aliyepewa ridhaa kupitia chama chake, lazima afanye maamuzi kwa kufuata ushauri wa mlezi wake ambaye ni chama chake na siyo wanasiasa, itachekesha sana eti rais anawawajibisha watendaji wake kwa shinikizo la wanasiasa, ni kitu ambacho hakiwezekani. Haiwezekani watu kwa chuki zao binafsi na watendaji wa Serikali wamshinikize Mkuu wa nchi kuwachukulia hatua. Wapi watanzania mlishasikia chama kimoja cha siasa kinashinikiza Kiongozi mkuu wa nchi kufanya hivyo, nchi zingekuwa zinatawalika kweli? CDM pitieni sheria zinazoongoza nchi mjiridhishe kama mmeiva
wewe ni waziri yupi? Maana mawaziri wa JK utawajua tu.
''The most pathetic person in the world is someone who has sight, but has no vision''
Rais yeyote aliyepewa ridhaa kupitia chama chake, lazima afanye maamuzi kwa kufuata ushauri wa mlezi wake ambaye ni chama chake na siyo wanasiasa, itachekesha sana eti rais anawawajibisha watendaji wake kwa shinikizo la wanasiasa, ni kitu ambacho hakiwezekani. Haiwezekani watu kwa chuki zao binafsi na watendaji wa Serikali wamshinikize Mkuu wa nchi kuwachukulia hatua. Wapi watanzania mlishasikia chama kimoja cha siasa kinashinikiza Kiongozi mkuu wa nchi kufanya hivyo, nchi zingekuwa zinatawalika kweli? CDM pitieni sheria zinazoongoza nchi mjiridhishe kama mmeiva
ndo maama ukawa mama ungalikuwa baba kwa mawazo yako usingaliweza hata kuishi na mke kwa upe unaotuonyesha humu JF tafuta mahala pa kuweka thread mbovu c humu ,ushauri wa bure
Follow Us Here