Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

    Report Post
    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 118
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,522
      Rep Power : 46715
      Likes Received
      16435
      Likes Given
      8471

      Default Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Kwa maoni yangu ni kejeli kubwa na ni tusi kwa kudai kuwa tatizo letu la mikataba ni tatizo la watu kukosa elimu. Hivi tunaweza kusema tatizo la sekta ya afya ni watu kukosa elimu ya udaktari? au tatizo la elimu watu kukosa elimu ya ualimu? Tanzania imekuwa na wanasheria mahiri wengi tu napo wengi tu ambao wamespecialize katika international contracts na sheria hizi za mikataba. Ni kweli Tanzania haina watu wenye elimu hiyo?

      Au wanaposema tatizo ni elimu wana maana kuwa wasomi wetu (wanasheria na wengine) wanapokaa na hawa wageni kwenye meza moja wasomi wetu hawana upeo au uwezo wa kujadiliana kisomi? Kama hili ni kweli kundi lililopelekwa kujadiliana na wa Malawi lenye kuhusisha wasomi lina matumaini gani? Hivi juzi MWakyembe na wataalamu toka Wizarani wameenda Ujerumani na huko wana/wamekutana na wadau mbalimbali wa sekta ya anga na usafirishaji. Sasa waje kuingia mkataba halafu baadaye tuseme hatuna wataalamu wenye ujuzi wa mambo ya anga na usafirishaji?

      It is fallacious kudai kuwa tatizo letu la mikataba ni tatizo linalotokana na elimu? Kivipi.. hatuna wasomi, vyuo vyetu havijui kufundisha mambo ya mikataba? wanafunzi wetu ni wagumu kuelewa? au ni nini hasa? Maana hata Kikwete aliwahi kusema alipokuwa Sweden?? kuwa tatizo la nchi kuingia mikataba mibovu ni kwa sababu wanasheria wetu hawana ujuzi sana! Na hakuna aliyebisha na hivyo kufanya iaminike kuwa tatizo ni elimu.

      Sasa kama tatizo ni elimu na kuwa hatuna wasomi wa kuingia mikataba mizuri hiki kimbelembele cha kuendelea kuingia mikataba mingine kinatoka wapi? Kama kweli hatuna wasomi wenye kuweza kutuletea deals nzuri kwenye mikataba ni kitu gani kinatufanya tukubali kuingia mikataba mingine tukitarajia kuwa itakuwa tofauti? Si imewahi kusemwa kuwa the classical definition of insanity is doing the same thing, the same way, every time expecting different results? Kila ukipanda michongoma unakaa pembeni na kuombea mpunga uote? na ukiota mchongoma unalaumu udongo?
      [email protected]
      The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

    2. Miaka 50

    3. #21
      Kulya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2011
      Posts : 263
      Rep Power : 440
      Likes Received
      89
      Likes Given
      55

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By Mazindu Msambule
      Mkuu Form 6, nadhani hujamwelewa MM, jana BBC swahili service, waliwa interview watu 3, Waziri Prof Mulugo, Zitto Zuberi Kabwe na mtu 1 toka Kenya, issue ilikuwa ni rasilimali za Africa hasa Madini while Africa hiyo hiyo inakuwa masikini, Waziri Mulugo alijitetea kuwa shida ya Africa including Tanzania ni elimu, hapo ndo inapokuja hoja ya MM, je hivi ni kweli tuliingia mkenge kwenye mikataba hiyo kwasababu ya Elimu? Hata mimi nakataa, issue sio Elimu, kama ni elimu, kuna akina Andrew Chenge, huyu kasoma nadhani Marekani if not England, Dr. Harrison Mwakyembe, digree zake zingine kachukulia Ujerumani, Prof. Shivji n.k, wote hawa ni watu waliobobea katika taaluma hii ya sheria, shida kubwa ya Africa sio elimu ya mikataba, shida ya Africa ni ufisadi na 10%.

      Nimeajiliwa na makampuni ya nje mara kadhaa, tena nimekua ninafanya kazi na watu wa mataifa tofauti, Ulaya, Africa kusini, America, Australia, Wafaransa n.k, asilimia kubwa ya hawa wanaokuja huku sometimes hata kusaini hiyo mikataba ni watu ambao wana elimu ya kawaida mno, wengine hata Degree ukweli hawana, kitu cha ajabu nilicho kiona, Viongozi wetu hao mnao waita ni ma dokta na maprofesa utakuta wanawaogopa kweli hadi unashangaa, angalieni siku ili George W. Bush alivyokuja Tanzania, hadharani kabisa Kikwete na yeye Bush walisainiana mkataba fulani mbele ya kamera za Televison, hivi kuna mtu anaweza kujua kilicho kuwepo kwenye ule mkataba? kama pia niona vizuri, mkataba ulitoka Marekani, Kikwete hata hakupewa muda wa kuusoma na may be i seek ushauri kwa watu wake ili wamwambie kitu, muda huo haukuwepo, kilichotokea, Bush akasini then Kikwete naye akatakiwa kusaini, mwisho, hapo unategemea nini? Hivi kama iliandikwa kwa mfano, "Sehemu yote ya Kigamboni kuanzia mwaka huu itakuwa ni sehemu ya Marekani" then Kikwete kwakua hakusoma huo mkataba mwanzoni, then akiwa Ikulu na copy ya mkataba akakiona hico kipengere, unadhani atafanya nini, issue sio elimu, ni umakini na ufisadi tu ndio unateketeza Africa, sometimes nakubaliana na tusi tulilowahi kutukanwa na Peter Botha, rais wa zamani Africa kusini (enzi za ubaguzi) alisema, "Mtu mweusi hana uwezo wa kupanga mipango inayo zidi mwaka 1, akili hiyo hana" anaye pingana na hili aje na jibu hili, kwanini kila sehemu duniana wanapo ishi watu weusi eneo hilo ni masikini?
      Past Positions
      Position Name From To
      Postgraduate Student - LLM International Law Odein Ajumogobia 1987 1988
      Postgraduate Student - LLM Law Andrew Chenge 1974 1975
      Postgraduate Student - MA Public Administration Dr Ellen Johnson Sirleaf 1970 1971
      Masters degree in Public Administration (Exact dates unknown) Engineer Elias Mudzuri 2005 2006
      Research Fellow - Harvard University Center for International Affairs Dr Lars Thunell
      Student - LLM Hon Kiraitu Murungi 1990 1991
      Professional Certificate in Macroeconomic Adjustment & Food/Agricultural Policy Ted Kalebe 1991 1991
      Teacher Professor Ernest Wamba dia Wamba
      Record last updated on 30 APR 2008
      Harvard University, LLM. Na hao wengine ni waafrika wenzake waliopita hapo kwenye hicho kisima chenye heshima kubwa kielimu duniani.

      source:
      John F. Kennedy School of Government, http://www.afdevinfo.com/htmlreports/org/org_65379.html
      August and Mazindu Msambule like this.

    4. #22
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By Kulya
      Gentlemen, in closing a contract there is one aspect which is very important, "NEGOTIATION". You might be more than competent in the laws governing whichever contract you are about to enter, but if you lack NEGOTIATION skills to secure a win-win deal, you are done for good.

      It is true, very very true as the birth of Jesus Christ that we have very competent, skilled and well established and learned lawyers, but NEGOTIATION skills is a problem, when they meet experienced negotiators, they agree consesus ad idem seeing they have done a good job, a job worthy to our country, meanwhile they have fell under win-lose situation.

      Another issue is Lack of Patriotism, which of course is a very big problem and a "NATIONAL DISASTER". Most of the lawyers hired by our country to represent us "WAMETUUZA" for "CHUKUA CHAKO MAPEMA" This is very dangerous! We no more have nationhood spirit. Everyone, in a position wants to grab something for himself first, then behind it comes national interests.

      Non-the-less, the use of private practicing lawyers in sensitive national deals. This is a very big mistake we are making! These guys we hire are moneymongers, are not for national interest! In my opinion this has been as a result of a recent years' trend of Cream and Competent graduate to run away from the Government service. Of course this has been so because of poor remuneration in the public sector.

      In my opinion, it is true that we lack skills in contracts negotiations, which of course is a part and parcel of "ELIMU YA MIKATABA" and patriotism is another big issue.
      If they can negotiate how many percent they want in order to push forward the deal, I bet they do have negotiation skills and Contract Knowledge.howbeit ,what they lack are Integrity, truthworthy, moral authority, patriotism and nationalism!
      August likes this.
      UKIJUA UNAPOKWENDA NI RAHISI KUFIKA!

    5. #23
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,455
      Rep Power : 1980
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      59

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Siasa kwa TANZANIA na nchi za Africa ni UWEKEZAJI wa nguvu. Inalipa sana kufanya siasa au kushika au kuteuliwa kwenye madaraka ya kisiasa. Bila sheria kali na maadili mazito ya UONGOZI tutaendelea kushuhudia mikataba mibovu kwa makusudi kwa muda mrefu ujao.
      Nilikuwa nawauliza jamaa zangu kuwa hiki kinachoitwa "CAPACITY CHARGE" kwenye mikataba hii ya kuzalisha umeme ni kitu gani hasa? Kwa nini kiliwekwa kwenye mikataba ile? Kwa nini ni ghali namna ile? Kwa mfano ile ya Richmond ambayo sasa ni Symbion ilikuwa ni zaidi shs milioni 152 kwa siku! Utasema kiliwekwa na watu wasio na elimu?
      Kwa nini mikataba mingi mikubwa inasainiwa na mawaziri ambao wengi wao sio wataalam wa wizara wanazoziongoza? Kwa nini mikataba hii ni SIRI?
      Kwa nini waliosaini mikataba mibovu hawajafikishwa mahakamani hata kwa kosa dogo la matumizi mabaya ya MADARAKA? Au kosa hili ni la Mramba, Yona na Mgonja pekee?

    6. #24
      dotto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2010
      Posts : 1,398
      Rep Power : 718
      Likes Received
      156
      Likes Given
      16

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Mwanakijiji uko sahihi kabisa. Tatizo kubwa katika hii mikataba ya kinyonyaji sio wanasheria bali utashi wa maslahi binafsi. Hebu chukulia Mkataba ambao Karamagi alienda kusaini hotelini huko ughaibuni hivi kweli utalaumu wanasheria eti hawana elimu. Au mapesa yaliyoko huko uswisi tokana na makampuni ya gesi na mafuta what is next kama sio kutengeneza mikataba feki.

    7. #25
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,785
      Rep Power : 27113
      Likes Received
      10116
      Likes Given
      14055

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      nafikiri tusiumize sana vichwa hapa sisi watanzaznia tunasumbuliwa na mambo haya
      1) kutokushirikishwa, hii imekaa kwamba wasomi wazuri hawashirikishwi ipasavyo katika hii mikataba na nisemapo hawashirikishwi namaanisha hata pale wanaposhiriki halafu mawazo yao yanatupwa kapuni

      2) greedy and selfishness- watanzania wengi sio wazalendo hasa when itcomes to public properties. mtu anadiriki kueka maslah yake binafsi mbele badala ya kuangalia utaifa.

      3) siasa za kitanzania, ni recently tumeanza kuona wanasiasa ma dr na ma prof, before hali ilikuwa tofauti sana na kibaya zaid ni kwamba hawa watu kazi wanazopewa siyo professional oriented yaani anawekwa tu hapo ndipo ninapoishangaa sana hii siasa ya kwetu. mwanasiasa is above everything when it comes to decision making anaangaliwa amesema nini hata kama akicomply na hali halisi.

      nasema haya nikikumbuka sana mkataba wa mradi wa umeme kupita kanisani kwa kakobe, wasomi walifanya EIA wakaja na well written document iliyoonyesha ushirikishwaji mzuri na iliyo suggest project alternative nzuri, cha ajabu ile rpoti iliwekwa kapuni ikanyanyuka nyingine ambayo ilikuwa ya ajabu ikaonelea mradi uwepo pale matokeo yake ndo haya tunayoyaona. wanasiasa wetu wanatuangusha sanaaaaaa.
      Mwita Maranya likes this.
      "thought takes man out of servitude into freedom"
      'daima tudumu katika upendo'


    8. #26
      Kulya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2011
      Posts : 263
      Rep Power : 440
      Likes Received
      89
      Likes Given
      55

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
      If they can negotiate how many percent they want in order to push forward the deal, I bet they do have negotiation skills and Contract Knowledge.howbeit ,what they lack are Integrity, truthworthy, moral authority, patriotism and nationalism!

      "Negotiation is a dialogue between two or more people or parties, intended to reach an understanding, resolve point of difference, or gain advantage in outcome of dialogue, to produce an agreement upon courses of action, to bargain for individual or collective advantage, to craft outcomes to satisfy various interests of two people/parties involved in negotiation process. Negotiation is a process where each party involved in negotiating tries to gain an advantage for themselves by the end of the process. Negotiation is intended to aim at compromise".
      Source: Copied From Wikipedia.

      Negotiation, as part and parcel of contractual agreement, of course it is very much influenced by the facts you have pinpointed above. Take time read the above construe of the term negotiation, save for fraudulent acts, most of our government correspondents lacks negotiation skills, the bargaining power to craft a win-win tie for the best interests of the nation. For the well experienced negotiators, they can easily manipulate through win more negotiation
      which is a principle led methodology, informed by the worlds most advanced substantive, relational and creative processes. Win More negotiation focuses firmly on future solutions, without spending undue time dissecting past problems (Albert Einstein once said this, "The significant problems we face cannot be solved at the same level of thinking we were at when we created them.") Win More negotiation is not satisfied with reaching compromises - it seeks value-add for both parties so that no gold is left on the table. A successful Win More agreement is one where the solution achieved is the very best for all parties concerned (within time constraints) - rather than seizing the first mutually acceptable compromise.

      And this is what happens with us.

      No matter how patriotic you might be, skilled, educated in contract laws... If you lack negotiation skills you will end up selling it all!



    9. #27
      sanjo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 861
      Rep Power : 607
      Likes Received
      219
      Likes Given
      33

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Elimu sio sababu hata kidogo. Kuna nchi ambazo zimeweza kusimamia madini yao vizuri lakini watawala hawataki hata copy & paste. Mfano, Botswana, Norway na Ghana. Hivyo matatizo yetu ni:

      (1) Watawala ni wabinafsi. Kila kiongozi ni kufikiria tumbo lake, familia na jamaa zake.
      (2) Hakuna utawala wa sheria. Rushwa ndiyo ibada ya kila siku kwa watawala na watumishi wao. Nenda polisi, Ardhi, TRA, Mahakama zote, halmashauri mbalimbali nk.
      (3) Watawala hawataki kuacha urithi (legacy). Fikiria watu kama akina Henry Ford, John D. Rockefeller, John Hopkins ambao waliamini katika kuacha urithi kwa vizazi vijavyo.

      Ili kubadili haya, lazima tuwe na core values zinazotupa mwongozo wa maisha ya kila siku. Lazima tufanye u-turn wa kile kinachofanyika sasa hivi.
      mzeelapa likes this.
      Whatever exists is already becoming obsolete.

    10. #28
      Azipa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2012
      Posts : 933
      Rep Power : 548
      Likes Received
      226
      Likes Given
      1

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      UBINAFSI ni obvious ila mimi naamini prof Muhongo alikuwa anamaanisha ya specific disciplines yaani experts

    11. #29
      mzeelapa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 542
      Rep Power : 558
      Likes Received
      71
      Likes Given
      70

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Sheria zipo ila nani wa kumfunga Paka kengele? Wanaotakiwa kusimamia hizo sheria na wao wana hujuma zao! Msafi kwa wachafu ni mchafu wao!!!

      I mean kwa mfano, ukiweka mbegu ya harage kwenye mchele itaonekana ni uchafu, hali kadhalika ukiweka mbegu ya mchele kwenye maharage itaonekana ni uchafu. Ndivyo ilivyo kwa Viongozi waadilifu wanaonekana hawafai.

    12. #30
      Kulya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2011
      Posts : 263
      Rep Power : 440
      Likes Received
      89
      Likes Given
      55

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Fortune favors the bold, the rich are rich because they think on behalf of the poor.

    13. #31
      rosemarie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,732
      Rep Power : 1367
      Likes Received
      280
      Likes Given
      142

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By republicoftabora
      kaka wewe pia ni part of the problem
      Nakala ndefuuuuu wakati ukweli unaujua. Upuuzi huu ndio aliokwenda nao FREEMAN MBOWE huko DMV....kaja na filosofi ya ELIMU, ELIMU, ELIMU kisha LAW & ORDER

      Richmond na EPA , kila kukicha mlitaka kutuaminisha kuwa mwenye makosa ni ROSTAM na LOWASSA lakini ukweli waliotuingiza hapo ni wanasheria wetu akina MKONO, akina MAAJAR & CO na wanasheria wengine ambao ni wasomi zaidi walioko Tanesco, wizarani, wizara ya sheria na kwingineko

      Mie sina hiyo degree, kisomo changu ni form 6 lakini najua siku zote contracts zina pande 2 sasa iweje leo tunaaminishwa kuwa wahindi, wairan, akina mkono ndio wabaya wakai serikali hii ina mijitu ina degree 3 tutu?

      mimi nakushairi. acha kutuletea hizo articles ndefu as if sisi ni wajinga na hatujui tatizo liko wapi. Lete article ya paragraph 2 max kisha waache hawa so called great thinkers waumize kichwa.

      Mimi naona bora kama unapata ugali wako wewe endelea tuu lakini hii system imeoza, hao the so called wapinzani wameoza zaidi. Kila mmoja ale kwake

      Eti LAW & ORDER...labda Law and order ya tv series na hata ile wahalifu wanakamatwa.

      mimi nishachoka na naskia kichefu chefu nikisoma hizi habari eti kusoma kusoma sasa hao wasomi wametufikisha wapi?
      Mkuu naomba ufunguke zaidi hapo uliposema wapinzani wameoza zaidi,inakuwa kama tunatwanga maji kwenye kinu,ina maana tukiwakabidhi wapinzania nchi sasa hivi mambo yatakuwa mabaya kuliko yalivyo ndani ya utawala wa ccm??ebu kuwa wazi kaka
      ccm inakufa,asante mungu umesikia kilio chetu!!!!!!!

    14. #32
      mzeelapa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 542
      Rep Power : 558
      Likes Received
      71
      Likes Given
      70

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Sio kukosa elimu bali kutotumia elimu iliyopatikana ipasavyo au kuitumia kwa kujinufaisha kifisadi.

    15. #33
      Mnama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th October 2010
      Posts : 737
      Rep Power : 1163
      Likes Received
      174
      Likes Given
      108

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By Kimbunga
      Wanasheria wetu ndio tatizo kuu kwenye masakata ya mikataba. Tusimung'unye maneno wala kupepesa macho katika hili. Wanasheria wanaikaanga hii nchi. Wengi ambao wamejihusisha katika masuala ya mikataba wana utajiri usioelezeka!
      Mkuu wanasiasa ndio tatizo kubwa wakishalamba 10% wanapewa na draft ya mkataba huko huko sasa mwanasheria anakuwa redundant hana nafasi ya kushauri wala nini sana sana ataambiwa uweke sawa tayari kwa kusaini. ukiwabana watakueleza ukweli.

    16. #34
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Quote By Kulya

      "Negotiation is a dialogue between two or more people or parties, intended to reach an understanding, resolve point of difference, or gain advantage in outcome of dialogue, to produce an agreement upon courses of action, to bargain for individual or collective advantage, to craft outcomes to satisfy various interests of two people/parties involved in negotiation process. Negotiation is a process where each party involved in negotiating tries to gain an advantage for themselves by the end of the process. Negotiation is intended to aim at compromise".
      Source: Copied From Wikipedia.

      Negotiation, as part and parcel of contractual agreement, of course it is very much influenced by the facts you have pinpointed above. Take time read the above construe of the term negotiation, save for fraudulent acts, most of our government correspondents lacks negotiation skills, the bargaining power to craft a win-win tie for the best interests of the nation. For the well experienced negotiators, they can easily manipulate through win more negotiation
      which is a principle led methodology, informed by the worlds most advanced substantive, relational and creative processes. Win More negotiation focuses firmly on future solutions, without spending undue time dissecting past problems (Albert Einstein once said this, "The significant problems we face cannot be solved at the same level of thinking we were at when we created them.") Win More negotiation is not satisfied with reaching compromises - it seeks value-add for both parties so that no gold is left on the table. A successful Win More agreement is one where the solution achieved is the very best for all parties concerned (within time constraints) - rather than seizing the first mutually acceptable compromise.

      And this is what happens with us.

      No matter how patriotic you might be, skilled, educated in contract laws... If you lack negotiation skills you will end up selling it all!


      They do have what it takes to be Contract Negotiator But they don't have moral values to say no for Ten Percent,and this is what got us to bunch of BAD CONTRACTS as a NATION!
      UKIJUA UNAPOKWENDA NI RAHISI KUFIKA!

    17. #35
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,455
      Rep Power : 1980
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      59

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Tusiponyongana mikataba mibovu itaendelea sana tu.

    18. #36
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,197
      Rep Power : 41585
      Likes Received
      6102
      Likes Given
      1068

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Elimu ni nini? Kama mtu anasaini mkataba mbovu anaweza kujitapa kwa elimu yake?
      Henge likes this.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.


    19. #37
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Kusoma siyo kuelimika. Ni kweli tatizo ni elimu, kwenye hiyo mikataba tunayoingia inaandikwa na nani? si wansheria waliokwenda shule? cha kusikitisha ni kuwa hawana elimu, Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    20. #38
      WildCard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2008
      Posts : 6,455
      Rep Power : 1980
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      59

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Inawezekana wanaoisaini mikataba hii( wengi wao wanasiasa) hawana elimu ya kisheria. Wanaoiandika je?

    21. #39
      Henge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 5,440
      Rep Power : 1675
      Likes Received
      918
      Likes Given
      1673

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      Mi nijuavyo wanavyosema tatizo letu ni elimu wanamaanisha wananchi bado hatuelewi haki zetu wao kama viongozi wanawezakufanya lolote kwa kujinufaisha wao, Siyo kuwa hawajui huwa wanafanya nini ila ubinafsi unakuwa mbele!
      TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA

    22. #40
      JERUSALEMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2012
      Posts : 797
      Rep Power : 495
      Likes Received
      231
      Likes Given
      155

      Default Re: Kudai kuwa chanzo cha mikataba mibovu ni kukosa elimu ni tusi na kejeli kwa wengi nchini!

      MKUU MWANAKIJIJI,inaonekana huamini kuwa tatizo ni elimu. kimsingi elimu yetu inazalisha kwa wingi sana watu wasiojiamini.ELIMU YA VITABUNI watu wanayo sana kinacho kosekana ni UBUNIFU,KUJIAMINI,UZALENDO NA KUJIAMINI.
      Vyote hivyo ni mazao ya ELIMU.Mazingira yetu kidogo yanapunguza ubunifu.watanzania wachache sana wakikaa na whites wanaweza kujiamini na kulinda masilahi ya Nchi kwanza.Ni wabinafsi.

    Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...