Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Report Post
    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
    Results 81 to 100 of 101
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,267
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Wanabodi,

      Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

      Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

      Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

      Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
      Last edited by Ritz; 20th September 2012 at 07:19.

    2. Miaka 50

    3. #81
      Somoche's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 1,862
      Rep Power : 814
      Likes Received
      345
      Likes Given
      339

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Hili jamaa hamnazo kabisaa..hivi diwani na kiwanja wapi na wapi tatizo lenu njaa..uandike tu ***** ukalipwe uonekane umefanya kazi...

    4. #82
      Mndokanyi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th September 2012
      Posts : 188
      Rep Power : 374
      Likes Received
      25
      Likes Given
      0

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Hana jipya huyu.CCM hujibadilisha badilisha kama kinyonga.Nyie ndo serikali kama wameiba peleka mahakamani.Ndo maana mnaambiwa mmeshindwa kutawala.

    5. #83
      mpigauzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 276
      Rep Power : 400
      Likes Received
      70
      Likes Given
      174

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Ritz
      Wanabodi,

      Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

      Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

      Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

      Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
      Hii habari imejaa hisia binafsi. Tupe majina ya hao madiwani waliojigawia viwanja. Namba za viwanja na maeneo vilipo. Pia madiwani hawagawi viwanja, bali afisa ardhi wa halmashauri ndiye anayehusika. Huyu ni lazima awe mwajiriwa wa serikali na siyo chama.

      Pia waziri mkuu alizomewa Mwanza na Mbunge alimweleza hadharani kuwa Mwanza ina matatizo ya migogoro ya ardhi.

      Nashauri MODS mumshughulikie huyu mkuu ambaye analeta habari zisizo na source wala mashiko

    6. Nzi
      #84
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,316
      Rep Power : 21623
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default

      Quote By hippocratessocrates
      3. Nyegezi: Sina uhakika upande upi ule wa St. Augustine, Luchelele, au upi...lakini ni huko huko ican tell you mkuu Ritz, kuna mkubwa mmoja anaeneo lake KUBWA tu ambao upatikanaji wake ni utata.

      let me do some digging,mkuu.
      Wilson Kabwe? Jamaa si ana bonge la hoteli maeneo ya huko. Hadi harusi na mikutano mbalimbali za watu wa jiji na halmashauri wanatumia sana ukumbi uliomo kwenye hoteli hiyo.

    7. #85
      kiribo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th August 2012
      Posts : 235
      Rep Power : 808
      Likes Received
      38
      Likes Given
      57

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Ritz
      Wanabodi,

      Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

      Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

      Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

      Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
      wananchi gaani na alizomewa akakimbia acha ujinga wako

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      Mwanamageuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Baitul Lahm
      Posts : 1,175
      Rep Power : 673
      Likes Received
      81
      Likes Given
      211

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      miaka ndo inakatika... TUTATOKAJE?
      Haya siyashangai... wakibetua tu mtu anapiga BAO!
      Mpaka siku wote tukitoka usingizini tumiaka tutakuwa tushapitapita!
      Last edited by Mwanamageuko; 20th September 2012 at 19:13.
      "...If crime fighters fight crime and fire fighters fight fire, what do freedom fighters fight?"

    10. #87
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      574
      Likes Given
      163

      Default

      Quote By Nzi
      Wilson Kabwe? Jamaa si ana bonge la hoteli maeneo ya huko. Hadi harusi na mikutano mbalimbali za watu wa jiji na halmashauri wanatumia sana ukumbi uliomo kwenye hoteli hiyo.
      Mkuu Nzi, sina uhakika wa eneo la W. Kabwe...ila nina UHAKIKA wa mkuu mmoja(within the system)..

    11. #88
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      574
      Likes Given
      163

      Default

      Quote By mpigauzi
      Nashauri MODS mumshughulikie huyu mkuu ambaye analeta habari zisizo na source wala mashiko
      Hahaha..Mkuu mpigauzi, what if aliyeleta habari ni Mod?

    12. #89
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1846
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Ritz
      Wanabodi,

      Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

      Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

      Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

      Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
      Kwa hiyo umekuja hapa kumsema huyo Pinda au na wewe unataka kiwanja...hivi ni lini utakuwa mtu mzima kuleta hoja ikiwa na supported documents? Kwanini unaleta umbea kama mwanamama wa pwani.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    13. #90
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      na wizara ya ardhi ipo inaangalia haya?? acheni propaganda za kimagamba......
      !!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!

    14. #91
      ruhi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 226
      Rep Power : 410
      Likes Received
      12
      Likes Given
      61

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      sehemu muhimu wewe unaleta mzaha,siku ukitaka kua sirias wenzako watakua mbali sana.
      je ardhi ile ya kikwete,pinda,mashushanga kule luchelele waligawa chadema?

    15. #92
      tenende's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2012
      Posts : 1,084
      Rep Power : 588
      Likes Received
      216
      Likes Given
      492

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Ritz
      Wanabodi,Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwaniWananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
      Kumbe kimara ndiyo Mwanza?

    16. #93
      magombe junior's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 91
      Rep Power : 354
      Likes Received
      8
      Likes Given
      8

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Dah,kaz ipo!,inaonekana ukitaja tu maovu yanayoonekana kutendwa na viongoz au wafuasi wa cdm basi ooo huna hoja,gamba,umeishiwa sera lkn vyama vingne ruksa hata kama huna data wala chochote!!,mh!!,sasa huu ushabiki kondoo kichwa chini kazana mbele!!

    17. ocs
      #94
      ocs's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 21
      Rep Power : 391
      Likes Received
      4
      Likes Given
      1

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Jasusi
      Naona Ritz alipewa lift na msafara wa waziri mkuu ulioopolewa kwa mawe.
      Mdau Mkurugenzi wa jiji huwa hagawi ardhi,chombo kinachogawa ardhi ni Kamati ya mipango miji na mazingira ambayo mwenyekiti wake ni kutoka chadema,wakiwepo pia madiwan wanne na watendaji.

    18. #95
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,267
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By mpigauzi
      Hii habari imejaa hisia binafsi. Tupe majina ya hao madiwani waliojigawia viwanja. Namba za viwanja na maeneo vilipo. Pia madiwani hawagawi viwanja, bali afisa ardhi wa halmashauri ndiye anayehusika. Huyu ni lazima awe mwajiriwa wa serikali na siyo chama.

      Pia waziri mkuu alizomewa Mwanza na Mbunge alimweleza hadharani kuwa Mwanza ina matatizo ya migogoro ya ardhi.

      Nashauri MODS mumshughulikie huyu mkuu ambaye analeta habari zisizo na source wala mashiko
      Badala ya kujenga hoja dhidi ya ubadhilifu wa madiwani unalia lia hovyo kwa mods.

      Halafu unatakiwa hujue JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru.

    19. #96
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,267
      Rep Power : 12578
      Likes Received
      5812
      Likes Given
      768

      Default

      Quote By ocs
      Mdau Mkurugenzi wa jiji huwa hagawi ardhi,chombo kinachogawa ardhi ni Kamati ya mipango miji na mazingira ambayo mwenyekiti wake ni kutoka chadema,wakiwepo pia madiwan wanne na watendaji.
      Mkuu wangu nashukuru kwa ufafanuzi wako murua.

    20. #97
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      574
      Likes Given
      163

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Mkuu Ritz,
      Ni KWELI kuna UZEMBE, wa hali ya juu kuhusu muda, utendaji kazi, ufuatiliaji na Rushwa katika jiji..pamoja na kudhulumiwa kwa viwanja sasa wananchi ndio wanajipanga upya kudai viwanjs hivyo.

    21. #98
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      574
      Likes Given
      163

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Ramadhani Kamese na Mr. Salvatory...ofisi ya Ardhi..UKIRITIMBA mtupu!

    22. #99
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,726
      Rep Power : 2266
      Likes Received
      601
      Likes Given
      783

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Quote By Ritz
      Madiwani wa Chadema wakishirikiana na Mwenyekiti wa kamati ya mipango ya Jiji la Mwanza Matata Henry, wanagawana viwanja, kutoka sehemu tofauti tofauti.
      Vingapi vingapi? Kama hujui basi kapige vuvuzela an mwenzako NP.
      Simple life is healthier than egoism.

    23. #100
      Mtabe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th September 2010
      Posts : 590
      Rep Power : 558
      Likes Received
      55
      Likes Given
      10

      Default Re: Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

      Kwa hiyo wee Ritz unatakaje labda? Maana hata mimi nna kiwanja kimojawapo kati ya hivyo!!

    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...