Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

    Report Post
    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
    Results 81 to 98 of 98
    1. #1
      Mtego wa Noti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2010
      Location : kichakani
      Posts : 2,078
      Rep Power : 849
      Likes Received
      328
      Likes Given
      580

      Default Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.

      Follow the discussion:

      Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi, 30%, anasema makampuni yote yameanza kulipa.
      anasemakuna kampuni zimechimba madini zaidi ya miaka 7, walikuwa wanapewa miaka 5 ili kurudisha gharama zao, ila wengi ikifika mitano walikuwa wanasema hawapati faida hivyo kuomba kuongezewa siku.


    2. #81
      Hume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Posts : 315
      Rep Power : 663
      Likes Received
      33
      Likes Given
      14

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Jasusi View Post
      Zitto,
      Utaandikaje sera kama hujui mikataba mliyo nayo ina kasoro gani? Katika tume ya Bomani kwa nini hamkupendekeza mikataba ibadilishwe? Kuna uoga gani Tanzania kubadilisha mikataba wakati hii imeshafanyika Australia na hata Congo baada ya Mobutu kupinduliwa? Unasema anachotaka kufanya profesa Muhongo kimewahi kufanywa huko nyuma lakini haujaona manufaa, na hii ni kwa sababu hamkutoa mapendekezo yeyote ya mabadiliko yafanyike kwenye mikataba. Muache profesa apitie mikataba yake huenda akaja na mapendekezo mapya wakati ninyi mlishindwa kubadilisha mikataba ya madini katika tume ya Bomani. Hata kama mikataba itawekwa wazi, then what? Lakini inaonekana unataka kumkatisha tamaa hata kabla ya zoezi lake kuanza. Give him time, and the benefit of the doubt.
      Nadhani mnapata tabu sana kumuelewa Zitto juu ya mapitio ya mikataba. Anasema jambo hilo lishafanyika zaidi ya mara moja na hakuna kilichofanyika kwa hiyo agizo hilo ni marudio ya kilichowahi kufanyika hapo au kwingineko.

      Kama kweli lishawahi kufanyika hakuna haja ya kurudia hilo isipokuwa kupitia records na hivyo lile lililokusudiwa kufanyika kutokana na findings hizo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba hiyo inaacha kuwa labelled siri nzito.

    3. #82
      mwanza's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th May 2009
      Posts : 116
      Rep Power : 538
      Likes Received
      17
      Likes Given
      3

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Labda tu kwa kuongezea ni kwamba yule mtanzania aliyeteuliwa na barrick kuwa meneja pale tulawaka mine ndio alikuwa meneja wa mgodi maarufu wa almasi pale botswana na labda leo Profesa na akina Zitto wangemtafuta na kukaa nae kumuuliza kuhusu jinsi gani hiyo mikataba ilivyo.
      MTAZAMO likes this.

    4. #83
      nyabhingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 3,276
      Rep Power : 1306
      Likes Received
      1387
      Likes Given
      2703

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      labda anachotaka zitto kuwa mikataba iwekwe wazi ni kutaka kujua nani alituingiza kwenye mikataba mibovu na kwa kiasi gani!!!ni kama zitto ana shida ya kumjua mchawi ni nani?labda hili ni agizo la jk kupitia kwa zitto kutaka kuwaambia wananchi utawala uliopita ndio wamesababisha madudu yote haya...or may be my mind is playing tricks on me.
      Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush


    5. #84
      Nego's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th October 2006
      Posts : 65
      Rep Power : 661
      Likes Received
      8
      Likes Given
      7

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Zitto View Post
      Kufanya mapitio ya mikataba kupitia TPDC ni kucheza makidamakida. TPDC ndio iliyoingia mikataba hiyo. Prof alikuwa anafanya siasa ili kuwapa matumaini kuwa kuna jambo linafanyika. Ndio maana jumapili alisema 'mikataba mibovu tutaivunja' na siku mbili baadaye akageuka na kusema 'hatutavunja mkataba wowote'. Sasa unafanya review ili ufanye nini? ukikuta mkataba mbovu unafanya nini? Kwanini usiweke mikataba yote wazi na watanzania wa kila namna na wachambuzi wa mambo wakaichambua na kutoa maoni na kusema mikataba kadhaa haitufai kisha serikali ianze majadiliano nao waboreshe mikataba hiyo.
      Bado ninaamini sana kuwa uwazi wa mikataba ndio suluhisho la ufisadi kwenye rasilimali zetu
      Contracts review and transparency in contracts are NOT on Opposing sides...you can review contracts and then make them public!
      Jasusi and MTAZAMO like this.

    6. #85
      MTAZAMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 4,448
      Rep Power : 2250
      Likes Received
      1903
      Likes Given
      2828

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Nego View Post
      Contracts review and transparency in contracts are NOT on Opposing sides...you can review contracts and then make them public!
      Duh! nimechoka kabisa! short and clear!
      "TANZANIA NI NCHI YENYE KILA KITU ISIPOKUWA WATANZANIA" BY AKENAJO JF MEMBER


    7. #86
      TanzActive's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2007
      Location : DSM
      Posts : 284
      Rep Power : 649
      Likes Received
      28
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Jasusi View Post
      Siyo Kamishna tu. Na waziri wa madini alikuwa ni nani?
      Kamishna Kafumu
      Waziri. JK

      I stand to be corrected
      Jasusi likes this.

    8. #87
      Mkaguzi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th September 2007
      Posts : 224
      Rep Power : 644
      Likes Received
      22
      Likes Given
      71

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      hivi Zitto amejibu maswali ya Mwanakijiji?

    9. Ame is offline
      Ame
      #88
      Ame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Location : Global Citizen
      Posts : 1,516
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      651
      Likes Given
      2615

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Manyi View Post
      ZZK anaulizwa anasema kila nchi ina utaratibu wake, lakini anaelezea Fiscal Regime, na anatoa mfano wa Botwsana, kakatizwa anaulizwa mapato ni mazuri au la, anarudi kwa Botwsana kuwa ni 50%, lakini makubaliana yao hakuna corporate tax na mrahaba hakuna, na SA mrahaba ni 0%, anasema tatizo kwa TZ ni kuwa hatuna wataalam wa kiuchumi kwa hiyo tunachopata ni kidogo, kwani kuna misaada mingi sana ya kodi, lakini tatizo la wataalam wa Geolojia hakuna, na akatolea misamaha mingi sana inatolewa katika sector ya madini.
      Ona aibu ya viongozi wangu....Mimi nimejaa tele mtaalamu wa natural Resource Economics under training ya miaka zaidi ya kumi nikijifunza the management, economics and bio-enginering ya natural resources eti hatuna wataalamu! Duuh hii nchi bab kubwa kama hawafanyi inventory kwenye human resources zao tuwafanyeje na wanawapa tender watu wasio na ujuzi wowote? Nawafahamu wachumi zaidi ya sita wa Resource Economics eti kiongozi anathubutu kusema hatuna wataalamu?
      Jasusi and Manyi like this.

    10. Ame is offline
      Ame
      #89
      Ame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Location : Global Citizen
      Posts : 1,516
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      651
      Likes Given
      2615

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Hao viongozi hawatakiwi kwenda mbali kwenye issue ya energy nimetoa thread na kuwapa hints za nini kinatakiwa kufanya thread yenyewe hata wachangiaji hawakuwepo eti watu wanakuja na siasa za hakuna wataalamu; aibu zingine jamani mziepuke maana wenzenu wanawachekeni..Wamewapa funds na technical assistance katika ku-train watu wenu lakini bado mnaongopa hadharani....No right to speak without research...Nchi hii inawataalamu kibao wa Resource Economics ila hawapewi nafasi...Rafiki yangu yuko pale Mzumbe University frustrated akipgwa majungu na ma-prof wa makaratasi kila siku eti watu mnakuja na lawama za ajabu...Zanzibar yupo Colleague wangu naibu katibu mkuu kasoma hiyo resource Economics hata yeye hafahamiki kama ss tulio madongo kuinama hamtujui? university of Dar yupo Dr. Razak na Dr. Mkenda nao hawajui la kufanya?
      Last edited by Ame; 20th September 2012 at 15:53. Reason: removal of an offedning word...Sorry for the failure to control my emotion
      Jasusi and Uwezo Tunao like this.

    11. #90
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,950
      Rep Power : 771
      Likes Received
      312
      Likes Given
      296

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Ame View Post
      Hao viongozi hawatakiwi kwenda mbali kwenye issue ya energy nimetoa thread na kuwapa hints za nini kinatakiwa kufanya thread yenyewe hata wachangiaji hawakuwepo eti watu wanakuja na tararira hakuna wataalamu; aibu zingine jamani mziepuke maana wenzenu wanawachekeni..Wamewapa funds na technical assistance katika ku-train watu wenu lakini bado mnaongopa hadharani....No right to speak without research...Nchi hii inawataalamu kibao wa Resource Economics ila hawapewi nafasi...Rafiki yangu yuko pale Mzumbe University frustrated akipgwa majungu na ma-prof wa makaratasi kila siku eti watu mnakuja na lawama za ajabu...Zanzibar yupo Colleague wangu naibu katibu mkuu kasoma hiyo resource Economics hata yeye hafahamiki kama ss tulio madongo kuinama hamtujui? university of Dar yupo Dr. Razak na Dr. Mkenda nao hawajui la kufanya?
      Mkuu, shukrani sana kwa taarifa, nafikri wana JF watakuwa wamekupata. Ila naomba hii post ZZK aipate kwa haraka sana, ili tuendelee kujadili!

    12. #91
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,955
      Rep Power : 2310
      Likes Received
      1161
      Likes Given
      1517

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      WATU MNAOKULA NA KUSAZA HUKO KWA KUTAZAMANA VILEMBA VYA KI-CCM KICHWANI KWA NINI MTUTUKANISHIE TAIFA ETI HATUNA WATAALAM TENA WA TAALUM ZA MIAKA NENDA RUDI KIHIVI

      Ni kuidharaulisha taifa letu kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, ni

      1. kudhalilisha watumishi wetu hodari serikalini ambao kila siku mawazo yao kamwe hayazingatiwi,

      2. ni kutukana Tanzania Public Service Commission kwamba inafanya kazi ki-itikadi zaidi kiasi kwamba wakibaini kwamba ndani ya kundi la Wana-CCM na maswahiba wao kumekosekana utaalam sasa ni sawa tu na kusema kwamba Tanzania nzima haakuna wataalam,

      3. Miaka zaidi ya 45 ya uhuru taifa kulilia wataalam wa michepuo hii ya kawaida tu kama vile uchumi na sheria ni kule kutukana uhuru wetu (tunaposema hivyo BBC ina maana siku mtu anapojitambulisha kokote duniani aanze kuonekana mbumbumbu sio)

      4. Hakika niliumia sana sana nikikumbuka matukio ya nyuma, pamoja na utaalamu wangu, jinsi gani ilivyo ndoto kupata kazi katika serikali hii.

      ... hivi kwa nini wengine hatukubahatika kuwa WATOTO WA WAKUBWA au hata na uswahiba tu wa kihistoria za kifamilia n chama ili kidogo utaalam wetu uweze kuonekana na kuachiwa huru kufanya kazi kwa miongozo ya kitaaluma tu bila kuletewa vimemo vya kisiasa mezani kila kukicha??????????????

      Utaalam kitu gani, ni utaalam gani huo uliokoseka Tanzania huo; mnakula na kusaza kodi zetu kwa kurushiana kwa kutazamana vilemba kichwani halafu bado mnoa ujasiri wa kututemea mate usoni eti hakuna wataalam ndani ya nchi hii na kusababisha sehemu kubwa ya fedha wanazotoa wawekezaji kupeperushwa kwenda Uwisi ...???

      Nauliza ni utaala waaina gani huo mnaouzungumzia hapa wakati vijana tumetapakaa kila kona ya taifa hili bila ajira lakini vyeti vikiendelea kukusanya ukungu sandukuni, ni utaalam wa kitu gani hicho? Kumbe mmbwa aliyeshiba anaweza akawachezea wenzie wenye njaa kihivi!!!!!!!!!!!

      Haki ya Mungu ....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


      Quote By Ame View Post
      Ona aibu ya viongozi wangu....Mimi nimejaa tele mtaalamu wa natural Resource Economics under training ya miaka zaidi ya kumi nikijifunza the management, economics and bio-enginering ya natural resources eti hatuna wataalamu! Duuh hii nchi bab kubwa kama hawafanyi inventory kwenye human resources zao tuwafanyeje na wanawapa tender watu wasio na ujuzi wowote? Nawafahamu wachumi zaidi ya sita wa Resource Economics eti kiongozi anathubutu kusema hatuna wataalamu?
      Ame likes this.

    13. #92
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,955
      Rep Power : 2310
      Likes Received
      1161
      Likes Given
      1517

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Hakika kauli hii inayogusa MASAULA YA UTAALAM NA NAFASI ZA AJIRA SERIKALINI viongozi wetu chonde msiendelee kututonesha kiasi hiki. Nilipotulia mahala na kuanza kukumbuka eti nilisikia gitu gani vile BBC; nusura nirukwe akili nikikumbuka tatizo la AJIRA ZA UPENDELEO NCHINI. Utaalam upi huo ...?????????????

    14. #93
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,955
      Rep Power : 2310
      Likes Received
      1161
      Likes Given
      1517

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      An outright politically leaning Employment discrimination and 'equal opportunity for the chosen few SACRED COWS' is the bane for our country's most miserably selling off her chances to leap forward emphatically in tapping in our her large mix of very competent professionls in various fields as numerous of our numbers are daily forcefully swept into the periferral hand-and-mouth type of jobs where only 10% of their knowledge is at work.

      Indeed we, most of the youth professionals now wallowing in abject poverty amid dormant skills application, are more than BITTER on this score selective employment opportunities thence we expect nobody to ever attempt to scornfully use this our undoing and most sensitive national challenge so leisurely like that at a radio talk shop or so!!!
      Last edited by Uwezo Tunao; 20th September 2012 at 20:19.

    15. #94
      Stephen Buloya's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st August 2007
      Posts : 29
      Rep Power : 613
      Likes Received
      11
      Likes Given
      365

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
      Labda swali: kuweka mikataba wazi na watu wakaiona na kuipitia inasaidia vipi kubadilisha mikataba hiyo? Maana inaonekana tayari kuna mikataba mingi tu ambayo iko wazi na inajulikana kwa kina lakini haijabadilishwa? Au itasaidia kulinda mikataba mipya? Maana hata hilo linaweza kuwa na shida kwani kuweka tu wazi hakuguarantee kuwa mikataba itabadilishwa.

      Lakini ili kuweka mikataba wazi si inabidi itangulie sheria kwanza yenye kutaka hiilo lifanyike? kuna juhudi gani sasa hivi bungeni za kufanya mabadiliko - ama ya Katiba - au ya Sheria ili kulazimisha mikataba (once concluded) kuwekwa wazi kwa wananchi kupitia? Kitu ambacho kinaleta swali jingine: Kama mikataba itawekwa wazi baada ya kuwa signed inasaidia nini hasa zaidi ya kuwaumiza watu mioyo tu maana mingine mingi (kama wa Dowans/Tanesco) imewekwa wazi lakini bado hakuna chochote kilichosaidia kutuokoa na gharama za bilioni 90 na ushee zinazokuja.

      Kuwekwa wazi kwa mikataba kutasaidia vipi kubadilisha mikataba hiyo? Labda hapa likiwekwa sawa watu wataappreciate kwanini unapigania transparency.

      Nadhani Zitto ana maanisha transparency in the sense that after negotiations, before signing the contact, the contract should be made public, preferably through Bunge. Most developed countries have mechanisms that allow contracts on strategic national assets be ratified by parliament or congress. Kwa sababu mikataba inapitishwa na bunge. Mapungufu yote yana kuwa wazi. The public/ civil society/ individual experts/interest groups get an opportunity to scrutinize the deal and then decide whether national interests have been met. So yes transparency is critical, and it does make a huge difference.

    16. #95
      Mkandara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2006
      Location : T dot
      Posts : 13,768
      Rep Power : 7665
      Likes Received
      4931
      Likes Given
      4509

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Nimewasoma makamanda wetu mkituletea habari hizi moja kwa moja.. Inasikitisha tu pale napowasoma viongozi wangu wanapojikanyaga wenyewe. Muhongo kashindwa kujibu kwa nini mikataba yote iliypopita haifuati sheria zilizowekwa na kamati ya kina ZZK. Muhongo ameshindwa kuwaeleza wananchi kwa Ufasaha kwamba Mrahaba hutolewa kwa asilimia 3 au 4 lakini hii haijumuishi Ubia waloingia baina ya nchi na shirika la ndani ambao unaweza kuwa asilimia 40 hadi 50. Muhimu zaidi kuliko yote ni Share kiasi gani nchi hiyo imechukua ktk Partnership na sii Mrahaba wa asilimia 3 au 4.

      Kwa mkuu wangu ZZK kuhusiana na Corporate tax amekosea maana Botswana wanalipa isiyopungua asilimia 22 pamoja na Royalties ya asilimia 10, 5 na 3 kutokana na madini unayochimba. Kifupi Madini yanachangia asilimia 50 ya makusanyo ya mapato ya nchi hiyo. Mnaweza kupitia Google na kuandika - Is Taxation of Meneral in Botswana a success story? Mtakuta Pdf nzima inayoweza sana kutusaidia sisi ktk mikataba yetu. Kuna Page imesema hivi:-

      Taxes applicable to mining are royalties, corporate tax (22%) and withholding tax on dividends (7.5%).
      Royalties paid on gross market value @
      10% for diamonds
      5% for precious metals (gold, platinum etc.)
      3% for all others minerals.

      Mining companies taxed using variable income tax rate (for all minerals except diamonds) using formula:
      Annual Tax Rate = 70-1500/x, where x = taxable income/gross income
      Minimum rate is the standard corporate rate of 22% of the profit
      Tax Regime for diamonds requires negotiations on issues covering technical, financial and commercial aspects of the project.
      Immediate 100% write-off of capital.
      Unlimited carry forward of losses.
      Last edited by Mkandara; 25th September 2012 at 20:08.
      Exploration of reality

    17. #96
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,619
      Rep Power : 46737
      Likes Received
      16717
      Likes Given
      8553

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Quote By guru View Post
      Nadhani Zitto ana maanisha transparency in the sense that after negotiations, before signing the contact, the contract should be made public, preferably through Bunge....So yes transparency is critical, and it does make a huge difference.
      Kwanini umefikiria anamaanisha hivyo? hakuna shaka hata kidogo transparency if critical lakini believe me Tanzania is not lacking in transparency. We know quite a lot to be frank. What don't we know about our government and its undertakings? Labda tunajua zaidi hadi vinavyotokea kwenye mahoteli wanapokutana wakiamini ni siri! Lakini imetusaidiaje zaidi ya kutufanya tujue zaidi tu? Ni lazima iwe ni zaidi ya kujua zaidi au kufanya watu wajue zaidi. Maana ripoti za CAG zina tarehe, namba, akaunti na kiasi cha fedha.... every year!
      Mkandara likes this.
      [email protected]
      The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

    18. #97
      Nsiande's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2009
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,530
      Rep Power : 814
      Likes Received
      742
      Likes Given
      67

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Mikataba hii ni dhaifu na kufaidisha wageni maana wakati TANESC0 inakosa gesi wao wanauzia viwanda

      Nchi inaingia gizani maana bei ya TANESCO na viwanda ni tofauti, lakini gesi yetu wenyewe...

    19. #98
      Wamunzengo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 500
      Rep Power : 446
      Likes Received
      126
      Likes Given
      4

      Default Re: Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

      Mwanakijiji:

      Labda swali: kuweka mikataba wazi na watu wakaiona na kuipitia inasaidia vipi kubadilisha mikataba hiyo? Maana inaonekana tayari kuna mikataba mingi tu ambayo iko wazi na inajulikana kwa kina lakini haijabadilishwa?
      Au itasaidia kulinda mikataba mipya? Maana hata hilo linaweza kuwa na shida kwani kuweka tu wazi hakuguarantee kuwa mikataba itabadilishwa.

      Lakini ili kuweka mikataba wazi si inabidi itangulie sheria kwanza yenye kutaka hiilo lifanyike? kuna juhudi gani sasa hivi bungeni za kufanya mabadiliko - ama ya Katiba - au ya Sheria ili kulazimisha mikataba (once concluded) kuwekwa wazi kwa wananchi kupitia? Kitu ambacho kinaleta swali jingine: Kama mikataba itawekwa wazi baada ya kuwa signed inasaidia nini hasa zaidi ya kuwaumiza watu mioyo tu maana mingine mingi (kama wa Dowans/Tanesco) imewekwa wazi lakini bado hakuna chochote kilichosaidia kutuokoa na gharama za bilioni 90 na ushee zinazokuja.

      Kuwekwa wazi kwa mikataba kutasaidia vipi kubadilisha mikataba hiyo? Labda hapa likiwekwa sawa watu wataappreciate kwanini unapigania transparency.


      Zitto:
      Kufanya mapitio ya mikataba kupitia TPDC ni kucheza makidamakida. TPDC ndio iliyoingia mikataba hiyo. Prof alikuwa anafanya siasa ili kuwapa matumaini kuwa kuna jambo linafanyika. Ndio maana jumapili alisema 'mikataba mibovu tutaivunja' na siku mbili baadaye akageuka na kusema 'hatutavunja mkataba wowote'. Sasa unafanya review ili ufanye nini? ukikuta mkataba mbovu unafanya nini? Kwanini usiweke mikataba yote wazi na watanzania wa kila namna na wachambuzi wa mambo wakaichambua na kutoa maoni na kusema mikataba kadhaa haitufai kisha serikali ianze majadiliano nao waboreshe mikataba hiyo.

      Bado ninaamini sana kuwa uwazi wa mikataba ndio suluhisho la ufisadi kwenye rasilimali zetu.

      Nionavyo mimi, uwazi wa mikataba ni mojawapo ya njia za kutusogeza kwenye ufumbuzi wa tatizo. Hii itasaidia kutufanya wananchi tuwe na nguvu ya kushinikiza mabadiliko. Ingawa Mwanakijiji inaonekana kama huridhiki na suala la uwazi pekee, lakini mi naamini hii itatufanya watanzania wengi tupate taarifa kwa wakati, hivyo hata tukiamua kushinikiza, wengi tuwe tunakijua tunachokidai, tofauti na hizo mnazozipata nyie za kwenye mahoteli, kwani sio watanzania wote tuna uwezo wa kufukunyua na kujua hawa wezi wetu wamejichimbia kwenye hoteli gani kufanya hizo dili za mikataba mibovu ya kutuibia. Au, Mwanakijiji wewe ulikuwa unapendekeza njia ipi muafaka???

    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...