| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1722
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Yaani nilkuwa na mashaka makubwa kuwa JF imesambaratishwa, thanks God it was not so. Kila nikijaribu kuingia naambiwa under construction try after 2 hours! Ikiwa hivyo hadi siku ikaisha.
Invisible, hata leo nadhani bado kuna shida unapotaka kuingia kwenye Jukwaa la Siasa. Pls continue to work on it.
__________________
"Then you will know the truth, and the truth will set you free; I am the way, the truth and the life." Jn 8:32; 14:6 |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Duh, nilifikiri tumeshaingiliwa! Poleni sana and congrats for resolving the problem relatively promptly!
__________________
Utii bila Uhuru wa Kufikiri ni Utumwa |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Thanks Kitila,
Imechukua muda tofauti na niliotarajia (2hrs); hadi najisikia mnyonge kwa kuwaweka pembeni kwa muda huo. Lakini kwa zaidi Kitila naamini tutawasiliana na nitaongea nawe kwa herufi kubwa nikipigia mistari. Ibrah; Shit do happen! Ndio hali halisi... Kila kitu nadhani kiko sawa. Kama kuna tatizo please keep me posted! Invisible For JamboForums.com Management
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Thanks Kalamu, Sikujua na nimeshtuka kukuta hali hiyo. Kuna machache hayajakaa sawa na taratibu yatarekebika. Nashukuru kwa uvumilivu wenu. Siku njema kwa wote
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Anyway jambo la kawaida kwenye haya mateknoloji, kitu kidogo kinaweza kukuweka nje siku nzima. Poleni sana
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo Last edited by Kichuguu; 14th June 2007 at 03:19 PM.. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
poleni kwa sote na nnawapongeza wote wanaohangaika kuhakikisha ukumbi huu haupotei hasa hasa invisible
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Leo hapa kijijini nimeamka na guess what.. Umeme umekatika!! Marekani hiyo... so ... matatizo ya kiufundi hutokea...! Kazi nzuri Invisible kuweza kurudi mara moja, na nilipata message yako usiku wa manane.. wakati bado nawanga!!
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
wana JF
Duh...afadhali.....nilikuwa nimesikitishwa sana....THE struggle continues..Hivi admin kwa nini usitumie email zetu kutu inform mambo kama haya??(suggestion)
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:43 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||