Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

    Report Post
    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567
    Results 121 to 128 of 128
    1. #1
      Apolonary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : SAN DIEGO COMMUNITY
      Posts : 1,468
      Rep Power : 684
      Likes Received
      256
      Likes Given
      30

      Default Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo. TAARIFA ZAIDI BAADA YA UWANJA WA NMC KUFUNGWA NA KUANDALIWA KWA AJILI YA WAFANYABIASHA NDOGONDOGO MAARUFU KAMA MACHINGA, UONGOZI WA CDM MKOANI UMEWAOMBA RADHI WANACHAMA KWA KIPINDI HIKI HUKU CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA ENEO LINGNE AMBALO LIPO ENEO LA KILOMBERO. OFISI KUU YA CHAMA ARUSHA.
      Last edited by Apolonary; 20th September 2012 at 07:34.
      nsanu likes this.

    2. Miaka 50

    3. #121
      Takalani Sesame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2008
      Location : Mobile
      Posts : 548
      Rep Power : 666
      Likes Received
      139
      Likes Given
      99

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Naona 'chama cha msimu' kimeshika hatamu ya vuguvugu la mabadilko. Kinawanyima watawala wetu usingizi kiasi cha kufikia kuweka akili zao mifukoni. Nakumbuka bandiko moja la Nicholaus kuifananisha Chadema na honey badger. Anamla cobra, cobra anamtemea sumu..honey badger anazimia kwa muda. Anaamka tena na kummaliza cobra kabisa. Watawala wetu ni kama mpambano huu wa honey badger na cobra, mwishowe badger anaibuka kidedea!
      Usually when people are sad they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry they bring about a change. Malcolm X

    4. #122
      MMASSY's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Posts : 98
      Rep Power : 443
      Likes Received
      9
      Likes Given
      12

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      mbona leo hawaendeleisku na mambo yao ya jana na juz ucku mana hatukupumua wakaz wa huko

    5. #123
      Dattuspaul's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 20th September 2012
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Mwisho wao umeshafika hao ccm hata wafenyeje, 2015 wanaaga nchi, wakatafute pa kuishi

    6. #124
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,125
      Rep Power : 3643
      Likes Received
      1306
      Likes Given
      2159

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      kuna uwanja wa kimandolu,kuna viwanja vya relini, kuna viwanja vya relini, pia CDM wanweza hamisha viwanja vya shule maeneo tofauti,..ili kwapa watu nafasi zaidi kushiriki.SI mbaya wakapiga mikutano Arumeru Kisongo ,usa,tengeru Gymkhana, relini, kijenge,Njiro etc
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    7. #125
      Cha Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Location : Kijijini
      Posts : 937
      Rep Power : 586
      Likes Received
      131
      Likes Given
      247

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Railway au Gymkhana pale nyuma ya AICC hospital napo panatosha tu
      “Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri”

    8. RukaaJuu Final

    9. #126
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,125
      Rep Power : 3643
      Likes Received
      1306
      Likes Given
      2159

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Quote By Ritz
      Umefungwa kwa sababu gani na utafunguliwa lini tujuze.
      tayari ni soko,likiwa na uzio wa wavu huku akina mama wakipishana na mafundi kugombania pa kupanga mbogamboga, n auapande wa pili wachina wapo busy wakijenga bomba kubwa la uchafu toka katikati ya mji kwenda nje ya mji.Kwa ujumla ni chaos.Mafundi wa mkandarasi wanachora na chakia rdhini akina mama wanakimbiza kwa makundi kuwafuata sijui vishoka wa manispaa,wengine wanalala chini katk eneo walilolipenda juu ya michoro, na wengine wanapigana.Watu nje ya uzio hawajui nini kinaendelea kwani uzio umewekwa haraka sana ,na hawajui kuna nini hapo?Ni maswali na laana kwa CCm mfululizo.

      Kwa ujumla hakukuwa na mpangilio wa hili jambo.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    10. #127
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,723
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Kwa watu tunayoijua Arusha ni matusi ni upnguwani kubadli kinyemela matumiizi ya uwanja wa NMC.....ni Tatizo la kuwekewa viongozi Kama Mkuu wa mkoa na meya wasioijuuwa Aruusha....huo uwanja umekuwa uwanja wa wazi na ni uwanja pekee wanyonge wa Unga limited na matejoo tumekuwa tunacheza mechi pale toka miaka hiyoo .........
      Mtakumbuuka CCM ndio pia walipata kumega uwanja huo wakamuuzia Verani wa Tango Transport....upande wa juuuu na ndio ukawa mwisho wa mechi za wanyonge kupigiwa pale ....ukawa hatoshi teena........sasa kwa sababu za kisiasa wameugawa kwa wamachinga ili kupata umaarufu.....kwa wakazii wa kweli wa Arusha wametuharibia historian ......
      Nicholas likes this.

    11. #128
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,125
      Rep Power : 3643
      Likes Received
      1306
      Likes Given
      2159

      Default Re: Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

      Quote By Phillemon Mikael
      Kwa watu tunayoijua Arusha ni matusi ni upnguwani kubadli kinyemela matumiizi ya uwanja wa NMC.....ni Tatizo la kuwekewa viongozi Kama Mkuu wa mkoa na meya wasioijuuwa Aruusha....huo uwanja umekuwa uwanja wa wazi na ni uwanja pekee wanyonge wa Unga limited na matejoo tumekuwa tunacheza mechi pale toka miaka hiyoo .........
      Mtakumbuuka CCM ndio pia walipata kumega uwanja huo wakamuuzia Verani wa Tango Transport....upande wa juuuu na ndio ukawa mwisho wa mechi za wanyonge kupigiwa pale ....ukawa hatoshi teena........sasa kwa sababu za kisiasa wameugawa kwa wamachinga ili kupata umaarufu.....kwa wakazii wa kweli wa Arusha wametuharibia historian ......
      sasa hao vijana waatacheza na siasa..na siasa hizo zitakuwa kinyume na CCM.kwanza hao ndio wenye uwezo wa kwenda popote mjini kwa miguu.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...