Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Report Post
    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 262
    1. #1
      Zawadi Ngoda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Posts : 1,792
      Rep Power : 856
      Likes Received
      98
      Likes Given
      98

      Default CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

      Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

      Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

      Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

      Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
      Kibunango, zomba, BinMgen and 6 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Capt Tamar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2011
      Posts : 1,703
      Rep Power : 1035
      Likes Received
      414
      Likes Given
      1

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Inahitaji elimu ya degree ngapi kupiga kura?ulihitajika kuwa na elimu ipi kufanya research kama hiyo isiyo na hata nukta ya usomi?una kazi wewe? Njoo kwangu uogeshe watoto nikulipe kuliko kujiharishia kama hivyo n'gombe tasa wee.

    4. #22
      Mpwechekule's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th July 2012
      Posts : 221
      Rep Power : 390
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Unawazungumzia wasomi gani, hawa wanaoficha fedha nje au wanaowaachia wazungu na waasia wachukue madini yetu bila sisi kufaidika na lolote pia wanakusanya kodi t 8 matumizi yao t 11, kama hizo ndio sifa za usomi, bora wale wa darasa la nane mkoloni au hata hao wa form 4 na 6 waliofeli
      mwakaboko and Ngoshanzagamba like this.

    5. #23
      Capt Tamar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2011
      Posts : 1,703
      Rep Power : 1035
      Likes Received
      414
      Likes Given
      1

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Hilo jina lako litakuwa na athari kubwa mno huko uendako!!ukiponea kuwa shoga (kama bado)basi lazima utakuwa zezeta,na dalili zimeanza kujionyesha wazi kabisa.

    6. #24
      Zawadi Ngoda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Posts : 1,792
      Rep Power : 856
      Likes Received
      98
      Likes Given
      98

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By Mboko
      Zawadi Ngoda Lol pole sana na mawazo yako mgando halafu wewe nakufahamu sana wewe na familia yako kwenu kwanza kumechoka sana barabara vumbi kila kona na kila leo mnamchagua Mbunge wa CCm mbunge wenu ni Ngwilizi kama sikosei nafahamu kijijini kwenu nyie na Magamba Ccm lakini hakuna cha maana mnachopata sasa kama Chadema wana elimu ndogo na wale Magamba waliosoma Havad wamefanya nini kama sio kuwa wezi ati mabilioni waliyoiba wanaita vijisenti na huyo kasoma Havad ati Lol nilipata bahati ya kutembelea Lushoto aisee kumechoka ni mbaya poleni walushoto kwa kuwapa Magamba kula.Kumbukeni uongozi hausomewi na madigree si kigezo cha kuongoza nchi wewe unaweza ukawa umesoma lakini akili ya kufikiraia huna ati unajiita Zawadi zawadi M...ku.....ndu
      Hapo kwenye Red ndipo mlipo na ndipo nilipo pakusudia. Haya mimi sipo, heri wenyewe mmejionyesha dhahiri RANGI zenu.

      Heri umekubali kuwa mtaongoza bila shule. ....."Kumbukeni uongozi hausomewi na madigree si kigezo cha kuongoza nchi wewe unaweza ukawa umesoma lakini akili ya kufikiraia huna"

      Mtajichuja mmoja mmoja.

    7. #25
      ruhi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 226
      Rep Power : 410
      Likes Received
      12
      Likes Given
      61

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      ndo mawazo ya msomi kweli? wewe ni prof kweli? mpaka udharau ma prof wengine kweli? vp we najua kama una elimu ya juu sana ni 1 degree,vp watu wakiaanza kusema degree yako ni feki! kwa kweli hata wanaokaa vijiweni unaowaita sio wasomi wakisoma post yako hii lazima washushe uwezo wa wasomi wetu.
      kwa kweli umejishusha sana kwa utafiti wako

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      Zawadi Ngoda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Posts : 1,792
      Rep Power : 856
      Likes Received
      98
      Likes Given
      98

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By dudus
      Ha ha ha ha ha ha! Kwenye hizo red; Sijui kama umeshawahi kukutana na ujumbe unaofanana na huu: "sikuja kwa ajili ya wenye shibe bali wenye njaa" na hao uliowataja hapo wanaangukia katika kundi hili (la wenye njaa). Nani kaleta njaa? Ni CCM kwa sera na mipango yake mibovu - sera na mipango mibovu katika elimu, afya, n.k.

      Kwa kuwa malengo na sera za Chadema ni kumkomboa mtanzania na madhila ya utawala wa CCM na kwa kuwa waathirika wakuu ni hao unaowabeza, haishangazi, kama unavyodai mwenyewe, kwamba kundi hilo ndio "waliojazana" Chadema. Na "habari njema" japo mbaya kwako na mafisadi wenzako, ni kwamba hili ndilo kundi kubwa la watanzania. Natumaini umepata message.
      Mmmmmmm sina imani kuwa CDM wataleta shibe. Ninachoona mimi, hawa CHADEMA wataongeza njaa + vita. Mwenyewe jaza kipi ni afadhali.

    10. #27
      nkisumuno's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd May 2012
      Posts : 155
      Rep Power : 384
      Likes Received
      54
      Likes Given
      2

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By Zawadi Ngoda
      Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

      Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

      Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

      Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

      Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
      Nakubaliana na wewe kuwa Chadema si kimbilio la wasomi tu bali ni kimbilio la watu wote wasomi, wakulima, wasio na kazi

      Inaonekana hata wewe kama umesoma elimu haijakukomboa unafuata upepo tu, Msomi gani ambaye unashabikia CCM leo, hata kama una maslahi unatakiwa kuwa mkweli acha kupiga porojo ndugu yangu. Ni vema watanzania tukaacha unafiki na kujikomba leo hii unalo la kujivunia kuwa ndani ya CCM? Tanzania inahitaji watu wanaojitmbua na kulielewa Taifa lao limetoka wapi, linakwenda wapi na liko wapi ndipo tutasonga mbele. Lakini unafiki na kujipendekeza kwa watawala hatutafika ni vema tuseme iliyokweli ndipo tutawakomboa wanyonge.

      Elimu yako ikusaidie kuona mbali wasikoona wengine, uelewe palipo na dhuruma kwa ajili ya akina bibi, yatima, wajane wanaodhrumiwa haki zao za msingi. Unaweza ukasoma ukawa mwizi, mnafiki, tapeli, fisadi nk elimu yako haitakuwa na maana.
      mwakaboko and Mboko like this.

    11. #28
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Duuuu mkigoma habari za siku mkuu?
      Kasulu wanasemaje huko?
      Quote By mkigoma
      chama cha wahuni wanaotumiwa kumwaga damu kwa ujira kidogo.

    12. #29
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Kama hoja yako kuu ni hii basi endelea kukua mkuu!

      Quote By Hansy wa East
      Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.

    13. #30
      Job K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Posts : 1,550
      Rep Power : 748
      Likes Received
      266
      Likes Given
      254

      Default

      Quote By KIBOKO MSHELI
      Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!
      Mtukane mkuu nitakulinda!

    14. #31
      Kaitampunu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2011
      Location : Kwenye Corner
      Posts : 662
      Rep Power : 510
      Likes Received
      138
      Likes Given
      198

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By Zawadi Ngoda
      Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

      Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

      Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

      Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

      Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
      Kweli wewe ni zawadi ya magamba, unaona sasa vijana wa vijiweni wanavyo wafanya muweweseke? Ndo umeandika nini matapishi matupu?

    15. #32
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Sawa cdm hakuna wasomi, tunaomba utwambie hao wasomi wenu wamelisaidia vipi taifa?

      Je usomi unapimwa kwa kulilaza taifa na giza?

      Je usomi unapimwa kwakuiba pesa na kuziweka uswisi?

      je usomi unapimwa kwa kuteua ma jaji wasio na shahada?

      Je usomi unapimwa kwa kuwambia wananchi wasio weza kulipia kivuko wapige mbizi?
      Quote By mmwaisoba
      Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
      professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

    16. #33
      Kompis's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd September 2012
      Posts : 39
      Rep Power : 345
      Likes Received
      1
      Likes Given
      2

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Zawadi wewe nimeapa mshabiki si msomi. msomi lazima uwe umefanya utafiti kabla hajazungumza(NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK)! Wewe kwa upeo wako mdogo umeshindwa hata kuangalia uchaguzi mkuu wa 2010 hao Chadema walipata kura ngapi against CCM. kumbuka CCM na raslimali zoote polisi jeshi pesa nk. kumbuka pia kule Igunga Arumeru, Ilemela kwa Dialo, kwa Marmo kwa Masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani nk!! Kama wewe ni msomi usomi wako haukusaidii. tumia usomi wako kuwakomboa Watz walio wengi badala ya kushabikia kundi dogo la Mafisadi wanaoneemeka kwa raslimali za hao hao unaowaita wewe vijana wa kijiweni as if walipenda au wanapenda kukaa vijiweni. umesahau ni nani amesababisha wao kuwa vijiweni leo hii!! Shame on you!

    17. #34
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Hujaichoka cdm umechoka kufikiri kwa kina, jaribu kujitazama upya.
      Quote By Hansy wa East
      Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.

    18. #35
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,014
      Rep Power : 8379
      Likes Received
      833
      Likes Given
      697

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By King Kong III
      Ngiba yamba nasa.
      Nate wakii chimbi

    19. #36
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Kwa sababu wewe umechagua njia ya matusi basi.

      Nitajaribu kujibu hoja lakini si matusi.

      Quote By HAMY-D
      Mkuu kwanza kabisa nikupongeze kwa tafiti yako, maana naamini umetumia muda mwingi, rasilimali na nguvu katika kufanikisha tafiti hii, hapa napenda wachangiaji wasianze kuulizia methodology ulioitumia maana vitu vingine vipo wazi tu.

      Kwanza napenda kuunga mkono hoja yako kuwa chadema sio kimbilio la wasomi bali ni kimbilio la failures. Hii nimekuwa nikiishuhudia mara kwa mara kwa kuangalia wanachama wengi wa chadema katika eneo ninaloishi, nikagundua wengi ni MATEJA, WEZI, VIJANA WA VIJIWENI. Nikaenda mbali zaidi nikagundua wengine wanaoiunga mkono chadema ni hawa wakimbizi ambao wanaishi hapa nchini kinyume na sheria. Makundi haya ya watu mara nyingi hawatambuliki katika daftari la kudumu la wapiga kura, kwa maana hawana kadi rasmi ya mpiga kura ambapo kimsingi hawawezi kutekeleza haki ya kupiga kura.

      Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.

      Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.

      Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.

      Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.

    20. #37
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,014
      Rep Power : 8379
      Likes Received
      833
      Likes Given
      697

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By mkigoma
      chama cha wahuni wanaotumiwa kumwaga damu kwa ujira kidogo.
      polisi eti?

    21. #38
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,014
      Rep Power : 8379
      Likes Received
      833
      Likes Given
      697

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      Quote By Zawadi Ngoda
      Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

      Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

      Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

      Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

      Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
      Ukisikia mbwa anabweka bweeeeeeeeeeeeee!Ujue jiwe limempata

    22. #39
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default re: CHADEMA si kimbilio la wasomi!

      mtoa mada una hoja dhafu sana.....
      tatnzania wasomi wa vyuo vikuu ni less than 5% of the entire popoulation.. hata kama wakiingia wote chadema ukichukua ratio yao kwa wananchi wa kawaida utakuta kati ya vijana 100 ni watatu au wanne ndio wasomi wa vyuo vikuu...sasa sijui unajenga hoja gani hapa
      punguza jazba na kukurupuka...THINK OUT OF THE BOX(the ccm mentality)
      makundi4619 likes this.
      !!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!

    23. #40
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,179
      Rep Power : 1951
      Likes Received
      2994
      Likes Given
      13629

      Default Chadema si kimbilio la wasomi.

      Quote By Zawadi Ngoda
      Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

      Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

      Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

      Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

      Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
      Yani safari hii mtasema yote ila ukweli utabaki palepale.
      Ccm mnatabia ya kujitekenya wenyewe alafu mnakenua wenyewe.

      Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
      "Serikalii hii ni IMPOTENT kuanzia yule wa juu hadi walioko chini" by Dr. Slaa

    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...