Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

    Report Post
    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567
    Results 121 to 134 of 134
    1. #1
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,119
      Rep Power : 1391
      Likes Received
      919
      Likes Given
      412

      Default Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      Wadau.

      Jana hapa Mwanza, waziri mkuu alikuwa akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza ambayo mbali na kuligarimu taifa kwa matumizi ya hela kutokana na msafara mrefu uliokuwepo, lakini umemalizika kwa fedheha kubwa kwa upande wa waziri mkuu.

      Waziri alikuwa na ratiba ya kuhutubia wananchi viwanja vya Sahara, katika kuhutubia kwake, maneno yote ya chama chake hayakupokelewa na wananchi walikusanyika kumsikiliza, ilimbidi atumie maneno ya CHADEMA kumaliza hotuba yake.

      CCM OYEE......watu kimya, PIPOZIII......power tena kwa shangwe kubwa.

      Na ilikuwa ajbu pale Wenje alipotaka kuhutubia kwani alifikishwa jukwani kwa kubebwa.
      Reena, Remmy, Mtoboasiri and 14 others like this.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE


    2. #121
      Nyakageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2011
      Posts : 5,561
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      816
      Likes Given
      52

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      akome! Akamwambia na mama Tibaijuka kuwa yeye si waziri wa Dar pekee

    3. #122
      controler's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 382
      Rep Power : 427
      Likes Received
      83
      Likes Given
      85

      Default

      Kambwa kadogo kamekula jibwa kubwa kameshindwa kumaliza!

    4. #123
      Yaya Toure's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Posts : 1,297
      Rep Power : 672
      Likes Received
      285
      Likes Given
      117

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII.......POWER kumaliza hotuba yake

      Tendwa mgonjwa wa akili achana naye.
      Ni hatari sana kwa afya yako kushabikia siasa za Tanzania....

    5. #124
      Majita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2008
      Posts : 506
      Rep Power : 685
      Likes Received
      69
      Likes Given
      26

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII.......POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By Mamaisara View Post
      Wewe ni muongo mkubwa mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye mkutano huo, Waziri Mkuu alikuwa kwenye ziara ya kiserikali na siyo ya Kichama na hakuna hata dakika ambayo alitamka neno CCM hoyee wala peopleeeez.

      Kajipange upya kuja na uongo mwingine. Kulikuwa na sababu gani ya Waziri mkuu kusema CCM hoyee au Peopleee wakati akiwa kwenye ziara za kiserikali? Watanzania tujihadhari sana propaganda ambazo hazina mvuto wowote.

      Eti wenje alibebwa. Wenje sasa hivi amekalia kuti kavu hapa Mwanza, labda kama maneno unayoasema ni ya kutaka kumfariji.

      Weka sauti na picha zinazoonesha maneno ya PM na Wenje.
      kuwepo si tatizo.Inawezekana ulikuwepo na ukawa huelewi kinachoendelea.Si unajua kuna vijana walikuwepo darasa la kwanza hadi la saba na wakafaulu kwenda form one kumbe hawajui kusoma wala kuandika

    6. #125
      Mpui Lyazumbi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2010
      Location : Matemanga to Tunduru
      Posts : 1,373
      Rep Power : 725
      Likes Received
      162
      Likes Given
      67

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By kichomiz View Post
      Unaelewa maana ya slogan ya chama?

      Unaelewa maana ya Waziri Mkuu?
      "A Country which lacks its own culture is no more than a collection of people without the spirit which makes them a nation".(Freedom & Unit-JKN)


    7. #126
      ligendayika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2012
      Posts : 836
      Rep Power : 509
      Likes Received
      108
      Likes Given
      7

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      itafika wakati hiyo itakua kauri ya kila mwenye akili timamu

      • Peoples poooooooooooooooooooooooooower


    8. #127
      HByabatto jr's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd December 2011
      Posts : 125
      Rep Power : 403
      Likes Received
      10
      Likes Given
      0

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      chama legelege huzaa serikali legelege.
      Nicholas likes this.

    9. #128
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 6,447
      Rep Power : 3911
      Likes Received
      1515
      Likes Given
      2667

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII.......POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By Amsterdam View Post
      na avatar yako ina picha ya mwana chadema alafu unaponda kimoyomoyo tehetehetehetehe poke mkuu
      Nadhani hujaelewa avatar yangu ina maana gani, hembu isome vizuri.Gari la voda lina wanachama wa CDM wakiwa na Bendera,Vodacom technically ilipaswa support CCM na ina suppport CCM.Ila mfanyakazi haipendi CCM.Yaani ni kama polis ktk uniform na Gari la kazi akiwa kapaki gari huku wana CDM wakipanda na kukaa ili waweze sikiliza mmkutano.

      Hapa Rostam anaweza amuru mtu apigwe stop fasta.
      Last edited by Nicholas; 20th September 2012 at 12:50.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    10. #129
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,989
      Rep Power : 16312
      Likes Received
      3403
      Likes Given
      4352

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII.......POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By Nicholas View Post
      Nadhani hujaelewa avatar yangu ina maana gani, hembu isome vizuri.Gari la voda lina wanachama wa CDM wakiwa na Bendera,Vodacom technically ilipaswa support CCM na ina suppport CCM.Ila mfanyakazi haipendi CCM.Yaani ni kama polis ktk uniform na Gari la kazi akiwa kapaki gari huku wana CDM wakipanda na kukaa ili waweze sikiliza mmkutano.

      Hapa Rostam anaweza amuru mtu apigwe stop fasta.
      na huyo jamaa hapo pembeni ana skafu ya cdm

    11. bdo is offline
      bdo
      #130
      bdo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2006
      Posts : 913
      Rep Power : 894
      Likes Received
      143
      Likes Given
      73

      Default

      Quote By Nicholas View Post
      mmeacha sema Kilimanjaro?mlikwenda pia na arusha,baadaye mbeya, baadaye sijui mtasema dar kwa vile napo wana ushawishi mnono.soon moro,bila kusahau iringa walipobidi muua mwangonja.
      Si umalizie tu! Sema kwa sasa hivi na kuendelea CHEDEMA ni nchi nzima, inasambaa na kuwaka kama moto wa kiangazi, let them wait.
      Nicholas likes this.

    12. #131
      Sikonge City's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 52
      Rep Power : 359
      Likes Received
      9
      Likes Given
      1

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII.......POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By Eliah G Kamwela View Post
      CHADEMA ipo juu hadi basi!
      kazi ipi mjinga akielimika, kumrudisha kwenye ujinga huwa kazi sana, na ikumbukwe kuwa ujinga ni wakati wa kwenda tu

    13. #132
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,204
      Rep Power : 1859
      Likes Received
      1445
      Likes Given
      1560

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      Akulia?
      Nicholas likes this.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    14. #133
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 6,447
      Rep Power : 3911
      Likes Received
      1515
      Likes Given
      2667

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By kichomiz View Post
      Samahani kaka ina maana polisi wameua mtu mwingine Iringa?
      nashukuru..nimekosea andika mwangosi.Mouse yangu inakwama na hivyo cursor inadrag vipande vya maneno kwa hivyo kubadili neneo kabisa pale inpo drop.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    15. #134
      ntamaholo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : Mwilavya
      Posts : 4,119
      Rep Power : 1391
      Likes Received
      919
      Likes Given
      412

      Default Re: Mh. Pinda alazimika kutumia PIPOZIII...POWER kumaliza hotuba yake

      Quote By only83 View Post
      Akulia?
      talia siku akiulizwa swali la papo kwa hapo. Unazungumziaje kitendo cha watu kukuzomea kule Mwanza? Jibu lake litaanza kwa mbwembwe za kutoa chozi, we subiri.
      UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...