JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 77 of 77
  1. #1
   fugees's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2012
   Location : dar es salaam
   Posts : 1,688
   Rep Power : 802
   Likes Received
   243
   Likes Given
   7

   Default Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Sugu alituahidi atadeal na suala la barabara na sasa takribani barabara saba hapa jjn mbeya ziko katika matengeneneza katika kiwango cha rami. Mpesya(mbunge wa zamani wa ccm) ilikuwa ni kitendawili kwake.

  2. #61
   Blessed's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 2,278
   Rep Power : 7195208
   Likes Received
   758
   Likes Given
   844

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Quote By Tume ya Katiba View Post
   Barabara zinajengwa na sugu ?

   zinajengwa na mafundi nitakutafutia jina la mkandarasi

  3. #62
   Mystery's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 8th March 2012
   Location : Mji kasoro bahari
   Posts : 3,565
   Rep Power : 261755153
   Likes Received
   1669
   Likes Given
   1392

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Quote By Tume ya Katiba View Post
   Barabara zinajengwa na sugu ?
   Hata kama hazijengwi na Sugu, lakini cha muhimu anafuatilia kwa makini kila mradi wa barabara uliotengewa kasma ya ujenzi na bunge, pesa hizo, zinatumika kwa matumizi yaliyokusudiwa. Siyo kama enzi hizo za mbunge wa magamba, ambaye alikuwa akizifisadi na mafisadi wenzake wa nyinyiem!!

  4. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 23,566
   Rep Power : 168829816
   Likes Received
   8990
   Likes Given
   3536

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Sugu for mbeya!! Go Sugu m4c with no apology.

  5. Cloud Computing's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 321
   Rep Power : 614
   Likes Received
   70
   Likes Given
   63

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Quote By ZeMarcopolo View Post
   Hee kumbe wahanga wa mafufiko? sasa cha ajabu nini? mi nlifikiri hicho chakula anaenda kugawa kijiweni kwa watu waliokaa tu bila kazi! inaonyesha ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri na roho mbaya pia, kwa hiyo ulitaka watu waliopatwa na dhahama hiyo wasipewe chakula?

  6. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,240
   Rep Power : 141699874
   Likes Received
   5714
   Likes Given
   5307

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Quote By Ramskiss View Post
   Hee kumbe wahanga wa mafufiko? sasa cha ajabu nini? mi nlifikiri hicho chakula anaenda kugawa kijiweni kwa watu waliokaa tu bila kazi! inaonyesha ulivyo na upeo mdogo wa kufikiri na roho mbaya pia, kwa hiyo ulitaka watu waliopatwa na dhahama hiyo wasipewe chakula?
   Nyinyi vijana wa muziki wa kufokafoka wakati mwingine huwa na matatizo sana!
   Kwahiyo wakazi wa Mbeya ni watu wa vijiweni tu na wahanga wa mafuriko siyo wakazi wa Mbeya?
   "To greed, all nature is insufficient"


  7. Cloud Computing's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 321
   Rep Power : 614
   Likes Received
   70
   Likes Given
   63

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Quote By ZeMarcopolo View Post
   Nyinyi vijana wa muziki wa kufokafoka wakati mwingine huwa na matatizo sana!
   Kwahiyo wakazi wa Mbeya ni watu wa vijiweni tu na wahanga wa mafuriko siyo wakazi wa Mbeya?
   mbona mgumu kuelewa mkuu? nani aliyesema wahanga sio wakazi wa mbeya?

  8. Mzee wa fund's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 520
   Rep Power : 663
   Likes Received
   86
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Radhia Sweety View Post
   Sasa mshaurini angalau asafishe cheti chake cha Form 4 basi. Kuwa na mbunge aliyepata pointi 33 nayo si kitu kizuri kwa kweli. Kama mnampenda kweli basi jaribuni kumpa ushauri kwa hili.
   mkuu cheti hakiliwi.Wangapi wana vyeti safi lakini wanateseka na maisha haya.Nipe mifano ya watu walio soma sana pia ni matajiri.Shule na maisha sawa na mbingu na ardhi.

  9. Mzee wa fund's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 520
   Rep Power : 663
   Likes Received
   86
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Eliah G Kamwela View Post
   Sasa kuwa na kiongozi dr ambaye hafanyi lolote bungeni kuna manufaa gani?
   sawa kabisa hatuhitaji ma Dr hapa Tanzania.Maana mimi sijaona wafanyacho.Tena napendekeza vyuo vya kijinga afadhali wanikodishie majengo mimi nifugie kuku wa nyama na mayai,kuliko kukusanya watu wazima kwa miaka mitatu halafu hakuna wafanyacho wamalizapo vyuo hivyo.BORA KUFUGIA KUKU MAJENGO YA VYUO.

  10. Radhia Sweety's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Posts : 2,031
   Rep Power : 0
   Likes Received
   967
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By Mzee wa fund View Post
   mkuu cheti hakiliwi.Wangapi wana vyeti safi lakini wanateseka na maisha haya.Nipe mifano ya watu walio soma sana pia ni matajiri.Shule na maisha sawa na mbingu na ardhi.
   Wapi nimesema cheti kinaliwa?
   Wapi nimesema kila aliye na cheti ni tajiri?
   Mbona unaongelea vitu ambavyo hata sijavigusa?

  11. #70
   +255's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2012
   Posts : 1,574
   Rep Power : 811
   Likes Received
   389
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By ZeMarcopolo View Post
   Nyinyi mko very interesting!!! Umeme ukikatika mnamlaumu Kikwete, barabara zikijengwa mnampongeza Sugu...
   Au ukiuliza kwa nini maji yanapatikana kwa shida jimbo la Ubungo, majibu yao huwa kwani Mnyika ndo anakusanya kodi au kwani kazi ya mbunge ni kuleta maji...

  12. #71
   asigwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Location : Tandhaniya
   Posts : 7,190
   Rep Power : 10094985
   Likes Received
   2588
   Likes Given
   2126

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   safi sana kamanda sugu mungu akujalie maisha marefu.........
   !!..Maskini mtapendwa MBINGUNI...DUNIANI inapendwa PESA..!!

  13. #72
   Kiganyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2012
   Posts : 1,245
   Rep Power : 1124
   Likes Received
   751
   Likes Given
   452

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

  14. Movement 4 Change's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd September 2012
   Posts : 26
   Rep Power : 467
   Likes Received
   3
   Likes Given
   3

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Si ndio maana mpesya kamfukuza diwani wa cdm kule kahama asile chakula wakati wa mziara ya waziri mkuu!!!!!!!!!!!!!!ccm ni ufisadi ufisadi tu!!!!!!!!!!!!

  15. #74
   zulu12's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 495
   Likes Received
   11
   Likes Given
   2

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   ndugu yangu namfahamu sugu kitambo,aliyokua akiimba kwenye muziki sasa anayasimamia kwa vitendo,kaka hili ni jembe kama kuwepo wabunge wamwpita wengi hata mbunge wa upinzani alikuwepo NCCR mageuzi lakini walikua na vichwa bila busara na hawakusimamia misimamo yao-Mbeya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  16. GreenCity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Location : pa tunduma
   Posts : 2,397
   Rep Power : 1027
   Likes Received
   849
   Likes Given
   140

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   Duuuuu! Mkuu naona kama moja ya picha ni mitaa ya kwenda TEKU kupitia pale NEBANA PUB au nimekosea mkuu!

  17. GreenCity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Location : pa tunduma
   Posts : 2,397
   Rep Power : 1027
   Likes Received
   849
   Likes Given
   140

   Default

   Quote By Kiganyi View Post   Duuuuu! Mkuu naona kama moja ya picha ni mitaa ya kwenda TEKU kupitia pale NEBANA PUB au nimekosea mkuu!

  18. Judi wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2012
   Posts : 472
   Rep Power : 540
   Likes Received
   142
   Likes Given
   13

   Default Re: Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

   ivi Sugu ataacha lini 'kuvuta'...??
   "Zitto anafaa kuwa rais ajaye wa taifa letu"....Mh Joshua Nassari


  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...