Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tunajifunza nini kutoka Honduras?

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. Iga
      #1
      Iga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th December 2007
      Posts : 113
      Rep Power : 606
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Tunajifunza nini kutoka Honduras?

      Baada ya Rais Zelaya kukaidi amri ya Jaji Mkuu kwamba asiendeleze tamaa zake za kutaka kubadili katiba ili ajiruhusu kutawala Honduras kwa mwongo mwingine, Jaji Mkuu aliamru Jeshi limkamate na kumtia adabu.

      Ninajiuliza hivi Tanzania na katiba yetu hii isiyo na kifungu inayoilinda dhidi ya Rais hakuna siku jamaa anaweza kukurupuka kwa kushawishiwa na wale wanaoneemeka na kuwepo kwake madarakani akaja akatengua kipengee cha miaka 5 mara mbili na kujiongezea mingine 5 au 10? Si ndio tabia ya viongozi wengi wa Kiafrika au sio?

      Kwa hiyo ninapendekeza kwamba kazi za Jeshi letu pamoja na ilizo nazo sasa iwe ni kuhakikisha kuwa kila rais ajaye madarakani hata awahonge vipi haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya miaka 10. Hili litatuepushia madhambi, balaaa na misukosuko mingi huko mbele ya safari.

      Jamaa akichemsha tu awe ANAHONDURASIWA MARA MOJA!

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Tunajifunza nini kutoka honduras

      History is full of lessons of dos and donts. But it is hard to grasp all the lessons. Hata hili nalo ni funzo kubwa

    4. #3
      Nasolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2008
      Posts : 982
      Rep Power : 841
      Likes Received
      90
      Likes Given
      36

      Default Re: Tunajifunza nini kutoka honduras

      Wahonduras wanatufundisha kwamba katiba ya nchi ambayo ndio sheria mama iheshimiwe na kila mtu. yeyote atakayejaribu kuichezea kwa maslahi binafsi ashughulikiwe kikamilifu

    5. #4
      Mr. Zero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2007
      Posts : 4,069
      Rep Power : 1433
      Likes Received
      479
      Likes Given
      72

      Default Re: Tunajifunza nini kutoka honduras

      Can't imagine TZ Jaji anaamurisha Rais akamatwe. Hii sheria inafaa iigwe TZ may be itapunguza nguvu na purukushani za viongozi wetu.

      Natumaini ni funzo zuri kwa CCM na viongozi wake, na African politics kwa ujumla especially Bob!!!!!!!!!!!!!!!
      "The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)

    6. #5
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3352
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Tunajifunza nini kutoka Honduras?

      kwamba rule of law lazima ifuatwe

    7. Miaka 50

    8. #6
      Zakumi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2008
      Location : Mtoni
      Posts : 3,975
      Rep Power : 1346
      Likes Received
      893
      Likes Given
      374

      Default Re: Tunajifunza nini kutoka Honduras?

      Tanzanians need to grow up. Kila kitu kikitokea nje tujifunze nini? Hilo swali litakwisha lini? Do something or shut up.
      If we permit feathers to be freely borrowed, who is to tell the peacock from the crow?

    Similar Topics

    1. Tunajifunza nini kwa hii habari?
      By Zipuwawa in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 29th November 2010, 13:12
    2. Watanzania tunajifunza nini kwa wenzetu wa Kenya?
      By Pax in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 5
      Last Post: 27th August 2010, 16:08
    3. Kukamatwa kwa kadi za ccm tunajifunza nini?
      By Ulimbo in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 5
      Last Post: 23rd July 2010, 12:10
    4. Tunajifunza nini kutoka Rwanda?
      By Semanao in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 16
      Last Post: 30th November 2007, 18:25

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...