Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mabomu ya machozi ndani ya ofisi

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 22 of 22
    1. #1
      Kuchasoni Kuchawangu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2012
      Posts : 283
      Rep Power : 396
      Likes Received
      59
      Likes Given
      18

      Default Mabomu ya machozi ndani ya ofisi

      Wakuu nimekuwa na maswali mengi sana juu ya polisi kupiga mabomu ya machozi mpaka ndani ya ofisi kule nyololo Iringa.
      1:je lengo lilikuwa kwa waliokuwemo ndani ya ofisi?
      2:nini kilikusudiwa watoke ndani wakimbie?
      3:nini maana yakutawanya watu,walio nje au walio ndani ya ofisi?
      4:je ni agizo la RPC Kamuhanda kuwa wafanye hivyo,maana alikuwepo eneo la tukio akitoa amri.

      Na maswali mengine mengi ambayo unaweza kuyaongezea.Wakuu haya ndiyo mafunzo ya jeshi letu la polisi juu ya kutawanya watu.Hata kama wametawanyika ni halali kupiga bomu la machozi ndani ya nyumba walizokimbilia? Kama hii si haki kwanini viongozi wa juu wa jeshi la polisi wasichukuliwe hatua?

      Nawasilisha.
      Uwezo Tunao likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,483
      Rep Power : 1116
      Likes Received
      470
      Likes Given
      964

      Default Re: Mabomu ya machozi ndani ya ofisi

      uongozi mbovu ndio chanzo cha kuzalisha polisi vilazi kama hawa plus kamuhanda maana haingiii akilini kwa mtu mwenye uelewa afanye kitu walichokuwa wanafanya polisi siku ile na hapo ndipo walipodhihilisha uzezeta wa jeshi la polisi lilivyo kwa sasa.

    4. #22
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Mabomu ya machozi ndani ya ofisi

      Quote By Bartazar
      Zomba, Hivi Lumumba wanakulipa bei gani kwa kazi unayoifanya humu jf, na unajishughulisha na kazi gani nyingine?
      Kazi ndiyo nini?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    5. Miaka 50
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...