CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
no comment
coz wasukuma siku
zote ukiwapelekea malori
ni rahisi kujaza ata uwanja wa
taifa wote........
~tatizo je wanakuelewa unachosema?
~je watakukumbuka tena
~je ukiwaangalia wanakazi mbadala yakutokuepo hapo( shamba basi)
~je mtu wanaye msikiliza ni mstrabu wakueleza hoja za chama chake kama tu ata majukumu ya cheo chake hafanyi?
~ n.k
inauma sana mali ya umma kutumika
vibaya wakati operation line ya lumumba njaa teleeeeeeee
V
SENGEREMA...
When will M4C go to Singida (Nchemba's constituency ???) I will personnally (sp) contribute for fuel and other related costs including allowances etc
Ccm fanyeni mikutano yenu yoote, mjaze watu hadi wakose pa kusimama(kwa malori) ila mtambue Igunga hamna chenu!!!
Nina imani ukweli wa ninachokisema hata nyinyi pia mwakijua!!
Wana Igunga shikamaneni ccm inarudi kuwaueni tena!!
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Magamba matupu hayo, ujue hapo yamekamata karibu watu wa wilaya nzima kwa mafuso
Mkuu acha propaganda za ccm. hiyo picha ya mwaka gani na wapi? mia.
Frema 120, kama nimekuelewa vema unamaana wasukuma ni watu wakubebwabebwa tu! kama ndivyo pole sana! akili hiyo yako walikuwa nayo, na bdo wanayo akina mwigulu! Ogopa sana mtu anayetumia muda mwingi kukusoma, akija kukuelewa ndg utajuta, wasukuma na wana-igunga wamedanganywa vya kutosha, baada ya elimu ya uraia kuwaingia na kujua ukweli....ogopa!
hehehe lameck mkumbo na comedy zake
Ndugu mleta mada unapoonyesha picha tu na kusema mwigulu kafunika bado haujaeleweka tunaomba tupatie maelezo angalau kwa ufupi aliyoongea Mwigulu ambayo yataendana na heading yako sio kuleta ushabiki tu, mkutano kuwa na watu wengi usifikiri ndo mafanikio unaweza kukusanya watu wengi na mwisho wa mkutano wote wakakudharau kutokana na kauli zako kwa hiyo ikawa sio umefunika bali umefunuka, tumeshuhudia hata kwenye misiba ya Majambazi watu huwa wengi sana usifikiri wamefika kwa hudhuni ya kufa kwa huyo jambazi bali hufika kwa ajili ya kuhakikisha kweli jamaa kafa? kwa hiyo hata hao unowaona wanahudhuria mikutano ya CCM ni kuhakikisha kama kweli CCM imekufa na hii inadhibitika kutokana na maneno yanayotolewa katika mikutano hiyo. nafikiri umenipata Koffie
By the time a man comes to realize that his father was right, he usually has a son who think he is wrong.
Mtoa mada, tunao ishi igunga tunajuwa ukweli. Aache uwongo
Kumbe CCM wanaweza 'kufunika' namna hiyo !!
- Sasa kwa nini huwa wanalazimika kutumia polisi kuzuia mikutano ya Chadema ??
- Si wangeiachia tu mikutano hiyo ya Chadema??
- Mbona wanalazikima mpaka kuua watu wasio na hatia ili kuzuia mikutano ya Chadema ??
- Mbona huwa wanalazimika kuiba kura wakati wa uchaguzi ??
Hivi kweli 'wanafunika' hivyo au ...??
"Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17
Follow Us Here