Kuna tafrani ya kutupiana maneno kati ya mzee Mudhihiri na Membe kuhusu kujengwa kwa kiwanda cha saruji kilomita 35 kutoka eneo lenye malighafi ambalo ni Mchinga ambapo Mudhihiri ndio Mbunge.
Kitu ambacho kinanishangaza ni hili la kwamba Membe anania ya kugombea urais mwaka 2015 (ana haki kama mtanzania kufanya hivyo). Alipoulizwa (Membe) iwapo anahisi matamshi ya Mudhihir yana msukumo wa maadui wake kisiasa ambao wanahisi anaweza kugombea urais 2015, Membe alisema kwa vyovyote itakuwa hivyo.
Hivi kuwa waziri wa mambo ya nje ndio ticket Tanzania kuwa rais?
__________________ “Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM.
Kama kweli atagombea,basi ni pandikizi la 'uovu' membe-kama-membe is not independent of his own!watakuwa wamemuweka wahuni hawa,ili asijekufikiria kuirevise katiba!
tunamtaka rais ambae akiingia tu,anaanza na kuirevise katiba
Re: Nani alisema kuwa Waziri wa Mambo ya Nje ndio Ticketi ya kugombea au kuwa Rais Tz
Lakini Membe hawezi kugumbea Urais,kwa sababu ana uhusiano na Kikwete,uhusiano wa aina fulani,shemeji or something.
Inashangaza kuona kwamba Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania sasa anakuwa Crown Prince.Lakini ni kwa ajili ya zile big,big,fat bags wanazopitisha airports. Umeyaona mabego yao hawa diplomats? It is xxxxx unbelievalable,yale mabegi yalivyokuwa makubwa.
Hao ndio aina ya watu wanaotaka kutuongoza katika nchi hii. Tutaendelea kusema pasipo vitendo hadi kiama. Jamaa kapania kuwa Rais kwa gharama yoyote ile. Lakini tukikataa asiwe Rais nani kwa mtazamo wako unadhani anafaa kuwa Rais wetu ajaye ndani ya CCM.
Hili ni Swali zuri sana ma tunatakiwa tuwe tunauliza maswali haya mapema kabla muda haujatufikia usoni. Nani tunamtaka awe rais wetu? Na kwa nini tunazungumzia 2015, kwani hatuna uchaguzi 2010, au ndo kusema...?
Mie nina khabari kuwa mheshimiwa hana 'digrii', sasa CCM si hawaitaki hiyo kitu ya kutokuwa na angala shahada1!!! itakuwaje? au ameisha andaa ya chonga!!?
__________________
Heri kupendwa na mwenye akili mmoja, kuliko kupendwa wapumbavu maelfu!
Mie nina khabari kuwa mheshimiwa hana 'digrii', sasa CCM si hawaitaki hiyo kitu ya kutokuwa na angala shahada1!!! itakuwaje? au ameisha andaa ya chonga!!?