Kuna polisi mmoja alijeruhiwa mguu wakati Mwangosi anauawa. Ni yule aliyemkumbatia Mwangosi kabla hajauawa na bereti nyeusi. Mbona polisi wenzake hawamzungumzii? Na inaelekea aliumia sana, huenda mguu ulivunjika. Anaitwa nani na kalazwa wapi? Inawezekana kapelekwa MOI anonymously.
Na huenda sababu ya kuwafikisha mahakamani (kama itakuwa kweli) wale wanaodaiwa kuuwa ni hasira ya polisi kumuumiza mwenzao kwa kufyatua bomb kizembe. Kusingekuwa na polisi aliyeumia sana sidhani kama wangefikishwa mahakamani.
Tujadili

Reply With Quote
Follow Us Here