Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    Report Post
    Page 4 of 13 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 249
    1. #1
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3352
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

      Baada ya kulalamikiwa tangu enzi za Mkapa, Bandari ya DAR walijidai watarekebisha na watarahisisha utaratibu wa kutoa mizigo

      Sasa hivi unaambiwa kuwa hali imezidi kuwa mbaya. Yaani Meli ikishashusha makontena Dar inaelekea Mombasa basi wewe unaweza kutoa Contena au LORI lako kule Mombasa kwa chini ya masaa 12 tuu wakati DAR kuna UHAKIKA wa mizigo kukwama kwa MIEZI 4 mpaka 6

      Sasa nishachoka kuwa mzalendo mfuata bendera

      Nawashauri ndugu zanguni, kama muna Mizigo yenu au Magari yenu basi maneno MOMBASA

      Na suala lingine ni la NUMBER PLATE registration

      Hivi kama Tanzania ni nchi moja kwa nini Gari ziwe na number plate za ZANZIBAR? kwa faida ya nani? na kwa nini mtu ulipie kuwa na number plate za Zanzibar wakati nayo ni Tanzania? jE UNAPATA MATATIZO KUTOA MAGARI YAKO DAR?

      Solution: SHUSHA GARI ZAKO ZANZIBAR achana na DAR kule kuna wazimu mtupu

      CARGO AIRPORT:

      Kule nako hali ni mbaya zaidi kuliko na solution za kule sizijui ila najua kuwa ukishusha ile moniitor ya APPLE COMPUTER basi jiandae kuambiwa kuwa NI KIFAA CHA SINEMA hivyo utatozwa kodi ya TV

      ndio hali hiyo huko Nyumbani mnakopigiwa makelele muende kupeleka Investments

      Last edited by Game Theory; 12th August 2009 at 20:08.

    2. Miaka 50

    3. #61
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,006
      Rep Power : 1408
      Likes Received
      177
      Likes Given
      103

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      ...tutafanya kila kitu lakini bila kukomesha rushwa maendeleo ni ndoto!
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    4. #62
      deny_all's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2008
      Posts : 414
      Rep Power : 656
      Likes Received
      9
      Likes Given
      5

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Tatizo kuu ni kuwa si viongozi au sisi wananchi walio wengi tumeiweka nchi yetu moyoni, kila mtu kwa nafasi aliyonayo anafikiria tu kula afaidike yeye na familia yake.

      In fact wazo la kuwezesheza bandari za Mtwara na Tanga kufanya kazi sawa na Dar es Salaam kwa usalama wa nchi ni muhimu vile vile, ili ziwe fallback ikitokea lolote baya linatokea kwa Dar es Salaam port nchi bado itakuwa inaweza kupitisha shehena.

    5. #63
      Congo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th March 2008
      Posts : 454
      Rep Power : 661
      Likes Received
      49
      Likes Given
      39

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha TICTS. Pale TICTS zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio TRA inagwa nao wana mapungufu yao.
      Kwa maoni yangu eneo la Kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na TPDC. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.

    6. #64
      Mzalendo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Posts : 164
      Rep Power : 708
      Likes Received
      17
      Likes Given
      42

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      wana ndugu,
      kuna Tangazo lakazi pale sasa hivi,kazi ya director of finance (TRA) inlikuwa inakaliwa na Mzee Mwangunga (mume wa waziri wa utalii wa sasa) aliyestaafu mwaka jana mwishoni aina mtu,ambao mnauwezo kabla aijafisadishwa(na assume bado) wawasiliane na delloitte tanzania wao ndio wanahandle mchakato wa hiyo,mtu yeyote anaweza kuapply,ofcourse vitu kama mstrs,exprience ya miaka kama tano ya senior management na maswala ya ACCa sijui (ma accountant na ma auditors in general)
      "Though I love my country, I do not love my countrymen." - Lord Byron

    7. #65
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,744
      Rep Power : 1162
      Likes Received
      251
      Likes Given
      2511

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      kwa experience yangu tatizo la msongamano, bandarini ni tra/customs

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Tiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2008
      Posts : 1,656
      Rep Power : 884
      Likes Received
      362
      Likes Given
      468

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Wana JF,

      TRA haiwezi hata kidogo kusema haihusiki na na ucheleweshaji wa mizigo kutoka bandarini. Ukweli ni kwamba TRA wanahusika kwa asilimia themanini. Sina uhakika kama tatizo ni competency ya waajiriwa pale au wanafanya makusudi ili wapewe rushwa kwanza. Kwa utaratibu wa sasa hivi, tax assessment inafanywa na kampuni tofauti na TRA na wakashamaliza (it takes two to three days) assessment unaenda na docs kulipia benki kabla ya kupeleka docs zako long room. Hapo sasa ndio kimbembe kinaanza mara watakwambia rate zimekosewa mara wakwambie huo mzigo bei imekuwa under rated na vitu kama hivyo. Hapo unaweza kuchukua si chini ya wiki kulimaliza hilo tatizo. Ujanja wao hizo query hawaziandiki kwenye faili bali wanatengeneza kitu kama routing slip na kuibana kwa steppler. Ukikubaliana na matakwa yao ukakata kitu kidogo, basi hiyo slip inanyofolewa na suala limekuwa limefungwa.

      Cha kujiuliza, ni nini maana ya kuwa na kampuni ya kufanya tax assessment kama TRA nao wanakuja wanataka kufanya hesabu zao? Nafikiri TRA wanapashwa kufacilitate movement ya hizo documents ikiwa ni pamoja na kukagua mzigo na kutoa ruhusa ya mtu kuchukua mzigo wake (Release).

      TRA hapajakaa sawa hata kidogo. I think we need a strong management pale ili kuweka mipaka inayoeleweka kati ya TRA na kampuni ya assessment otherwise, tutawalaumu bandari na TICTS mpaka asubuhi kama kwanza hatuwezi kuirekebisha TRA.
      blackmail likes this.

    10. #67
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By Congo
      Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo..

      congo unakosea sana unaposema hii habari ni ya kutunga ...just kwa kuwa kwenye introductory yangu nimeanza kuelezea mtiririko tofauti....kama umefanya literature.....unajuwa kuwa ukiwa unapresent kitu kuna opening remark....kutegemea na unachotaka kuongelea ...una chaguo la kuanza moja kwa moja na point au iunaweza kuanza na kitu tofauti kabisa ili kumfanya mtu apende kusoma mbele kuna nini ...ukaweka point zako kati au mwisho.....sijui nikuiteje ...unapoweza ku rull out kuwa ni fiction just kwa kuwa nimetumia style niliyoiona inafaa...afteral being there done that ...its not a big issue ..thats everday life!!!

      pili inaonekana wewe ni mfanyakazi wa TRA au unafaidika nao....,in one way or another...unakuwa kipofu huoni au kiziwi husikiiiiiii!!

      Mimi najua nafanya nini...ndio maana kwa uchungu niliopata pale wageni walipokuwa wakiponda mfumo wetu wa kodi bandari....na namna tusivotekeleza upanuzi wa tanga na mtwara ...nilisema lazima nije niliseme hapa!!

      nakubaliana na wewe kuwa kupanua bandari upande wa kigamboni ni muhimu...nadhani lile eneo ni la serikali...maaana kuna wafanyabiashara wajanja kama manji wasijewaka wameshalikamata wakingoja bandari walitake....mpango huo ni vema ukaenda sambamba wakati daraja la kigamboni litaaza kujengwa soon....Tena ni bora kujenga upande wa kigamboni kuliko bagamoyo..[efficiency]

      kiusalama kuna mjumbe ameongelea si vema kutegemea bandari moja tu kimkakati ....HILO NI SAWA...SIJUI KAMA WATUNGA SERA WANAONA HILO....LAZIMA KWA PAMOJA TUSUKUME MIRADI YA MTWARA,TANGA,NA MIUNDOMBINU HUSIKA YA RELI NA BARABARA ...ITEKELEZWE!

    11. #68
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      ..mikakati wa muda mfupi wa kunusuru bandari ni kuondoa ukiritimba .....na kuwaondoa maofisa waliozowea chai pale bandarini.......we have to put maximum penalty acceptable for culprits.....

    12. Tom
      #69
      Tom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2007
      Posts : 504
      Rep Power : 715
      Likes Received
      17
      Likes Given
      30

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      clearing agents (hasa wafanya kazi wao binafsi) nao wamegeuka kua 'chai' agents. Watakuambia doc imekwama na inatakiwa 'chai kidogo' na kumbe si kweli , na ili kuhalalisha rushwa wanakata kidogo kwa maofisa TRA etc, hata kama hawakudai hiyo rushwa. Hivyo clearing agents nao ni kikwazo.
      Ilikua hivyo zamani nilipokua napitisha bidhaa hapo, nafikiri hali hiyo bado ipo. Wanafanya makosa makusudi ili kuvuta muda ili mteja akae sawa kutoa rushwa.

    13. #70
      Watu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,031
      Rep Power : 769
      Likes Received
      225
      Likes Given
      134

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By congo
      uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa tra hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha ticts. Pale ticts zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio tra inagwa nao wana mapungufu yao.
      Kwa maoni yangu eneo la kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na tpdc. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.
      tatizo ni ticts hawana vifaa .... Rate ya kutoa kontena kwenye meli ni ndogo.

    14. #71
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,006
      Rep Power : 1408
      Likes Received
      177
      Likes Given
      103

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      ...hata tukiongeza uwezo wa kushusha makontena na kuweka system yenye uwezo wa super computer kukusanya kodi na fees haitasaidia sana,kitakachosaidia ni kukomesha rushwa na uzembe wa watu kutokufanya kazi...sijui kwanini inakuwa ngumu kiasi hicho kuwafanya watu wafanye kazi wakati unawalipa?dawa ni kuanza kudeal na wale wa juu...tabia ya viongozi wa Tanzania kusingizia wa chini/juu yao mambo yakienda vibaya lazima iishe ndio tusonge mbele,haya mambo ya kulaumu karani wa kodi huku mkurugenzi akiachiwa aendelee na kazi wakati yeye ndio msimamizi wa shughuli zote za idara ndio mwanzo wa matatizo yote,umeshindwa kazi au idara unayoiongoza ina matatizo resign mwenyewe au risk kuwa fired,nimejifunza the hardway hii culture ya kuachia kazi hata kama sio kosa lako,excuse hazina nafasi,what matters ni results tuu!
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    15. #72
      Watu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,031
      Rep Power : 769
      Likes Received
      225
      Likes Given
      134

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By koba
      ...hata tukiongeza uwezo wa kushusha makontena na kuweka system yenye uwezo wa super computer kukusanya kodi na fees haitasaidia sana,kitakachosaidia ni kukomesha rushwa na uzembe wa watu kutokufanya kazi...sijui kwanini inakuwa ngumu kiasi hicho kuwafanya watu wafanye kazi wakati unawalipa?dawa ni kuanza kudeal na wale wa juu...tabia ya viongozi wa tanzania kusingizia wa chini/juu yao mambo yakienda vibaya lazima iishe ndio tusonge mbele,haya mambo ya kulaumu karani wa kodi huku mkurugenzi akiachiwa aendelee na kazi wakati yeye ndio msimamizi wa shughuli zote za idara ndio mwanzo wa matatizo yote,umeshindwa kazi au idara unayoiongoza ina matatizo resign mwenyewe au risk kuwa fired,nimejifunza the hardway hii culture ya kuachia kazi hata kama sio kosa lako,excuse hazina nafasi,what matters ni results tuu!
      tatizo ni ww unayetoa hiyo ruswa, anza leo kuto kutoa na subiri docs zako as long as it takes ...

    16. #73
      Koba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Pasadena California
      Posts : 4,006
      Rep Power : 1408
      Likes Received
      177
      Likes Given
      103

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By watu
      tatizo ni ww unayetoa hiyo ruswa, anza leo kuto kutoa na subiri docs zako as long as it takes ...
      ..ni kweli hakuna mtu yeyote anatakiwa kutoa/kupokea rushwa lakini lip service tuu ya kusema watu wasitoe rushwa bila kuwepo na system/workforce ya kuwasaidia matatizo yao haitasaidia chochote na wataishia kutoa rushwa ili kuondokana na karaha za TRA ikibidi.
      "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

    17. #74
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By Tom
      clearing agents (hasa wafanya kazi wao binafsi) nao wamegeuka kua 'chai' agents. Watakuambia doc imekwama na inatakiwa 'chai kidogo' na kumbe si kweli , na ili kuhalalisha rushwa wanakata kidogo kwa maofisa TRA etc, hata kama hawakudai hiyo rushwa. Hivyo clearing agents nao ni kikwazo.
      Ilikua hivyo zamani nilipokua napitisha bidhaa hapo, nafikiri hali hiyo bado ipo. Wanafanya makosa makusudi ili kuvuta muda ili mteja akae sawa kutoa rushwa.

      ..well said mzee ..ma clearing agent is another axis of evils.......

      ..tatizo ni makampuni vishoka...yanashirikiana na maafisa wa tra kama ma agent wa kukusanya pesa...ma agent wanashindana na watu wa tra ..kukusanya rushwa sometimes[sio wote]......nadhani bw .itieno ..yule chairman wao anajuwa....

      lakini mnajuwa ma clearing proffessional ie SDV, and the like wale huwa hawakati chai..tatizo lao kubwa watu wanawakimbia ni gharama...wanakimbilia kwa hawa vishoka ..ambao ukweli ni cheaper but unaweza kulipa zaidi bila kujuwa hasa ukiwa mgeni bandarini........miimi dawa yao huwa ..kila bill atakayoleta napeleka mwenyewe benki .....pesa yake ya udalali nampa mkononi......lakini najuwa watu wengi ambao ni waagizaji wa mara ya kwanza ...wanazungushwa na fees ambazo wala hazipo....na kibaya kuna ambao hadi wana mihuri ya benki....au risiti feki za kuwaibia wateja...

      kikubwa ni kuwa na makamppuni yenye uwezo wa kufanya kazi kitaaluma na kuondoa vishoka wote pale...

      kuna makampuni mengine yalishakufa ...lakini kwa kuwa wana leseni..vishoka hupitishia kazi kwenye kampuni hizo...na kutoa as low as 20,000 kutumia mihuri ya makampuni yaliyofilisika ..while making millions...,maafisa wa TRA nao wana makampuni yaoo...

      tuongeze minimum requirement za kuwa na kampuni za clearing ..ikiwemo..kuajiri wataalamu..,kukagua ofisi mara kwa mara[zenye hadhi]..,wawe na magodown at least kusaidia kuhifadhi mizigo....,,..sasa wengi wenye ofisi za 2.5 m squire pale nkrumah ..na kwningineko itabidi waweke viwango....kwani kama ni kupewa muda wa kujijenga kama wazawa...tayari wameshachuma...fikiria tangu enzi ya utawala wa awamu ya 2..haya makampuni yamekuwa yakitengeneza faida..na ushahidi upo kwani waliokuwa serious na biashara kama jambo freight..,cargo stars[malinzi],trh[wote wazawa].etc..tayari nao wamekuwa na hadhi sawa na sdv..etc...

    18. #75
      skasuku's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th April 2008
      Posts : 111
      Rep Power : 592
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: TRA/Customs ndio chanzo cha mlundikano bandarini!

      Same thing happend at JKN Airport. Serekali inatakiwa kua na nia yakutokomeza rushwa. If they are really serious basi waanze ku introduce performance based employment. Viwango vinawekwa, na kama hivi viwango havifikiwi basi watu wanawajibishwa. Hasa viongozi wa hizi sehemu husika. Kwa mfani kila wiki wanaweka x amount of ships need to be processed, x amount of containers need to be cleared and so on. Cheza huna kazi.

      Pia introduce secret shopper. Randomly pitisha mizigo kujua kikwazo kipo wapi. Kwa mfano, serekali/idara inaagiza containers using fictisious names, then unapitisha through system na kuweza kukamata hawa wala rushwa. Ukikutwa red handed au una chelewesha process basi fired on the spot. Hakikisha employment laws inaruhusu hili kupunguza kesi mahakama ya kazi.

      Weka majukumu kwenye timu nzima, mmoja akishikwa basi timu nzima will suffer. Hapa utakuta ufanisi unapanda, and watu wanakua serious na kazi zao. Rushwa haitatokomea bali itakua nafuu.

      There are other drastic measures to take, ila nikuanza pole pole.

    19. #76
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By Congo
      Uko mbali sana na ukweli. Na kimsingi hii habari yako ni ya kutunga kwa kueleza kuwa ulikuwa umekaa mahali ukipumzika na blaa blaa mpaka umemaliza. Kwa taarifa yako kwa hali ilivyo sasa TRA hawacheleweshi mizigo. Tena utaratibu wao wa sasa kimsingi unaharikisha utoaji wa mizigi kuliko awali. Tatizo ni ufinyu wa bandari hasa kitengo cha TICTS. Pale TICTS zinaegeshwa meli mbili tu kwa wakati mmoja ili kupakua makontena. Hali ya eneo kuwa la meli 2 tu ipo tangu miaka 20 iliyopita. Lakini biashara inakua hali kadhalika ongezeko la meli. Bandari inatakiwa kuongeza eneo la kupakulia meli za makontena kuwa zipakue hata meli 10 kwa wakati mmoja. Ndio maana shedi namba 8 imevunjwa ili walao kuongeza eneo la meli kuegesha kupakua makontena. Hivyo basi ucheleweshaji mkubwa unaouona ndio sababu kubwa. Sio TRA inagwa nao wana mapungufu yao.
      Kwa maoni yangu eneo la Kigamboni pale linalotazamana na bandari lingejengwa ili kuwa bandari. Ule upande wa jeshi na TPDC. Pale panatosha na sehemu nzuri tu. Jeshi linaewza kuhama au kusogea pembeni.

      PM angalia unagusa maslahi ya watu. Hawa jamaa wa TRA watakushambulia sana kwa kutaka kuwamwagisha unga. Ila PM unesema kweli Rushwa ni ugonjwa wa Cancer bandarini kuanzia Assessment mpaka kwenye ku reliese.
      Last edited by Hofstede; 10th February 2009 at 19:18.

    20. #77
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By Tom
      clearing agents (hasa wafanya kazi wao binafsi) nao wamegeuka kua 'chai' agents. Watakuambia doc imekwama na inatakiwa 'chai kidogo' na kumbe si kweli , na ili kuhalalisha rushwa wanakata kidogo kwa maofisa TRA etc, hata kama hawakudai hiyo rushwa. Hivyo clearing agents nao ni kikwazo.
      Ilikua hivyo zamani nilipokua napitisha bidhaa hapo, nafikiri hali hiyo bado ipo. Wanafanya makosa makusudi ili kuvuta muda ili mteja akae sawa kutoa rushwa.
      Hivi hakuna uwezekano wa hawa kuwa-merge na TRA wakawa ni kitengo ndani ya TRA. Kama unamzigo wako unawasiliana nao pamoja na cost zake zinajumlishwa kwenye gharama zote kuanzia Tax etc.

    21. #78
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,032
      Rep Power : 1416
      Likes Received
      609
      Likes Given
      44

      Default Re: TRA/Customs ndio chanzo cha mlundikano bandarini!

      Wakuu sidhani kama haya yanayosemwa hayafahamiki. Yanafahamika sana, tatizo ni kuwa yanaondolewa vipi? Watu wanaokula rushwa na kudai(sio kuomba) rushwa wanafahamika, lakini hawachukuliwi hatua na hwafanywi kitu. Solution ya bandari ni kuleta staff wote kutoka nje, waje waingereza waindeshe utashangaa kuona jinsi taifa, wafanya biashara na wananchi watakavyonufaika.

    22. #79
      August's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2007
      Posts : 2,744
      Rep Power : 1162
      Likes Received
      251
      Likes Given
      2511

      Default Re: TRA/Customs ndio chanzo cha mlundikano bandarini!

      Quote By Bongolander
      Wakuu sidhani kama haya yanayosemwa hayafahamiki. Yanafahamika sana, tatizo ni kuwa yanaondolewa vipi? Watu wanaokula rushwa na kudai(sio kuomba) rushwa wanafahamika, lakini hawachukuliwi hatua na hwafanywi kitu. Solution ya bandari ni kuleta staff wote kutoka nje, waje waingereza waindeshe utashangaa kuona jinsi taifa, wafanya biashara na wananchi watakavyonufaika.
      inawezekana Ma-God father wanawa linda hivyo inabidi tumpe changa moto board ya tra na management kwenye hili

    23. #80
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Mh:rais tra/customs chanzo cha mlundikano bandarini-ondoa!

      Quote By Hofstede
      PM angalia unagusa maslahi ya watu. Hawa jamaa wa TRA watakushambulia sana kwa kutaka kuwamwagisha unga. Ila PM unesema kweli Rushwa ni ugonjwa wa Cancer bandarini kuanzia Assessment mpaka kwenye ku reliese.
      ..bora ..umeona eeh!!..lakini rushwa zote mbaya ila hii yao ..imezidi ile ya njaa..zamani tuliwaita watu kama hawa MABWANYENYE...maana yanakula yananenepa lakini hayashibi..dawa kuwashika koromeo..chakula kiwakwame!!!

    Page 4 of 13 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Replies: 4
      Last Post: 16th December 2011, 06:17
    2. Kashfa kubwa ya ufisadi yaitafuna CHADEMA
      By Ritz in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 93
      Last Post: 7th September 2011, 23:19
    3. Replies: 0
      Last Post: 9th August 2011, 15:06
    4. Kashfa mpya ya Ufisadi Tanesco
      By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 27th April 2011, 07:46

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...