JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

  Report Post
  Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 195
  1. Kiganyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2012
   Posts : 1,245
   Rep Power : 1124
   Likes Received
   751
   Likes Given
   452

   Default Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   ======================

   Tokana na wingi wa picha Update zote zimewekwa mwanzo wa habari ili kuhakikisha ujumbe unasomeka kwa wote
   wenye niya ya kutambua nini kinaendelea katika msiba wa Marehemu D. Mwambosi

   ========================

   Quote By Domy View Post
   Wakiongea kwenye mazishi ya mwandishi wa habari aliyeuwawa na polisi.kwa nyakati tofauti Mbunge wa Rungwe Profesa MARK MWANDOSYA na Katibu mkuu wa Chadema Dk W.P.SLAA wameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu Daud Mwangosi.

   Akianza Prof Mark Mwandosya amesema anajitolea kumsomesha mtoto wa kwanza alie kidato cha nne mpaka chuo kikuu.

   Naye katibu mkuu wa Chadema amesema kwa kuanzia wameshatoa kiasi cha fedha na vile vile wameahidi kumsomesha mtoto wa pili ambaye sasa yuko darasa la saba.

   Source.Eborn Fm

   Wawakilishi Mbalimbali wakitoa salam za Pole kwa ndugu wa Marehemu

   Mwakilishi wa Chanel Ten Hamis akitoa pole katika msiba huu muda huu

   Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akitoa pole zake kwa wafiwa

   Mwanaharakati Francis Godwin akielezea Jinsi Mauti yalivyo mkuta Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi

   Rais wa UTPC Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafala wa kuleta Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa anatoa salam za Pole kwa wafiwa.

   Dr Slaa akitoa pole kwa wafiwa wote Muda huu

   Wakina mama wakiwa wenye majonzi makubwa sana na huzuni muda huu

   Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu Muda huu

   Maelfu ya watu wakiongezeka kuja katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi Muda huu

   Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salam kwa Niaba ya Serikali

   Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliaza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu

   Mjane Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi aliye jishika, akiwa na uchungu muda huu
   Ibada ikiwa inakaribia kuanza

   Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu

   Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi Makubwa

   Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .

   Endelea kufuatilia Moja kwa moja hapa

   PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

   Updates; Forever Bold, RIP D. M, Tuonane Mtoni Mkuu!!   Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini

   Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

   Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

   Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi

   Shughuri za kuzika zimeanza

   Mazishi yanaendelea

   Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

   Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

   Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa

   Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa

   Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa

   Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho

   Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake

   Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
   Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua

   Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua

   Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi

   Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi

   Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `

   Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.

   Last edited by Kiganyi; 4th September 2012 at 18:32.
   Lyimo, BAK, August and 29 others like this.

  2. MESTOD's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Posts : 4,531
   Rep Power : 4526151
   Likes Received
   1606
   Likes Given
   300

   Default Re: Chadema,Mwandosya,kusomesha watoto wa marehemu Mwangosi.

   Hawa nyamafu polisi ndo wawajibike! Dah, hadi utumbo nje? Hatuwezi kufarijiwa na kuwasomesha watoto au nini nini kwa familia. Dawa ni hawa nyamafu wanajiona ndo wamiliki wa Tanzania nao watolewe utumbo.
   Unstoppable likes this.

  3. Khakha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2009
   Posts : 2,311
   Rep Power : 1087
   Likes Received
   585
   Likes Given
   584

   Default Re: Chadema,Mwandosya,kusomesha watoto wa marehemu Mwangosi.

   Quote By Domy View Post
   Wakiongea kwenye mazishi ya mwandishi wa habari aliyeuwawa na polisi.kwa nyakati tofauti Mbunge wa Rungwe Profesa MARK MWANDOSYA na Katibu mkuu wa Chadema Dk W.P.SLAA wameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu Daud Mwangosi.

   Akianza Prof Mark Mwandosya amesema anajitolea kumsomesha mtoto wa kwanza alie kidato cha nne mpaka chuo kikuu.

   Naye katibu mkuu wa Chadema amesema kwa kuanzia wameshatoa kiasi cha fedha na vile vile wameahidi kumsomesha mtoto wa pili ambaye sasa yuko darasa la saba.

   Source.Eborn Fm
   ile picha ya Dr Slaa akimfariji yule mtoto wa marehemu imeniuma sana. wamefanya jambo la maana sana kuchukua jukumu la kuwasomesha hao watoto. ALLAH awazidishie na waliohusika wote wafikishwe mbele ya fatou bensouda ndio haki itatendeka.. RIP DAVID.
   Ogah likes this.

  4. #43
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 19,498
   Rep Power : 429501023
   Likes Received
   8942
   Likes Given
   7574

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Akionekana Polisi mtieni humo kaburini atangulie na Mpendwa wetu. Madaktari walimkosakosa mmoja kipindi kile cha Ully

  5. Maundumula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 6,991
   Rep Power : 6902
   Likes Received
   2089
   Likes Given
   9836

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Its sad!

  6. #45
   DCM's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th April 2012
   Posts : 131
   Rep Power : 508
   Likes Received
   32
   Likes Given
   0

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Tunaanza kuzalisha kizazi chenye chuki na visasi ndani ya nchi yetu na hii ni hatari sana!!!Hakuna mtu anayeweza kuvumilia baba yake kuuawa kinyama namna ile bila kosa lolote.
   Unstoppable likes this.

  7. #46
   MTK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th April 2012
   Posts : 3,300
   Rep Power : 85904967
   Likes Received
   1279
   Likes Given
   1243

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Asante kutuweka karibu na tukio, RIP David Mwangosi

  8. ndomyana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 4,671
   Rep Power : 1427
   Likes Received
   641
   Likes Given
   23

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Okambole nyerere okote ekiso ekenunu eke akelekile kyonangike

  9. Facilitator's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2010
   Location : Osoit l'embijata
   Posts : 2,009
   Rep Power : 959
   Likes Received
   870
   Likes Given
   1235

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Quote By Barubaru View Post
   Poleni sana wafiwa Mola ailaze pahala panapostahikhi roho ya marhum.
   Navutiwa sana na jinsi unavyotumia lugha. Huwa nasoma posts zako, wewe mkareeeeee aisee!!
   I'm only responsible for what I say; NOT for what you understand.

  10. unknown animal's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2012
   Location : iringa
   Posts : 333
   Rep Power : 534
   Likes Received
   48
   Likes Given
   138

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   thanx for the pics,endelea kutujulisha tafadhali

  11. Gedeli's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 16th March 2012
   Location : Ilemela - Gedeli
   Posts : 390
   Rep Power : 564
   Likes Received
   106
   Likes Given
   391

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Quote By Smile View Post
   ni kweli pr mwandosya kajitolea kusomesha familia?
   R.I.P Mwangosi, Mkuu ahsante kwa kutuwezesha kujua yanayojiri!!
   Mwadosya alikuwa anawalilisha serikali Je ahadi aliyeitoa ni yakwake mwenyewe au ni ya serikali ? hebu tujulisheni wazee
   Jk kisha tuahidi ahadi kibao bado tunasubiri sijui mpaka lini?

  12. #51
   kiteu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 4th September 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   R.I.P - D.Mwangosi

  13. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,425
   Rep Power : 1304168
   Likes Received
   6931
   Likes Given
   6087

   Default

   Prof Mark Mwandosya
   amesema anajitolea kumsomesha
   mtoto wa kwanza alie kidato cha
   nne mpaka chuo kikuu.
   Smile likes this.

  14. Aristides Pastory's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2012
   Posts : 348
   Rep Power : 560
   Likes Received
   59
   Likes Given
   0

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Pumzika kwa
   amani Marehemu
   Daudi MWANGOSI.

  15. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,425
   Rep Power : 1304168
   Likes Received
   6931
   Likes Given
   6087

   Default

   Quote By Gedeli View Post
   R.I.P Mwangosi, Mkuu ahsante kwa kutuwezesha kujua yanayojiri!!
   Mwadosya alikuwa anawalilisha serikali Je ahadi aliyeitoa ni yakwake mwenyewe au ni ya serikali ? hebu tujulisheni wazee
   Jk kisha tuahidi ahadi kibao bado tunasubiri sijui mpaka lini?
   Mwandosya ndio Mbunge wa Jimbo ambalo Mwangosi amezaliwa. Ahadi ni kama mbunge

  16. brazilian's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2012
   Posts : 609
   Rep Power : 1482
   Likes Received
   103
   Likes Given
   5

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Godamn you KILLER COPS

  17. #56
   Kwayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2007
   Posts : 457
   Rep Power : 804
   Likes Received
   45
   Likes Given
   5

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Wadau kwa nn tusianzishe movement ya kuwaadabisha hawa polisi. ukimkut a hata bar anakunywa unamwekea hata sumu ya panya afe.

  18. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,094
   Rep Power : 8590
   Likes Received
   1063
   Likes Given
   339

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Quote By DCM View Post
   Tunaanza kuzalisha kizazi chenye chuki na visasi ndani ya nchi yetu na hii ni hatari sana!!!Hakuna mtu anayeweza kuvumilia baba yake kuuawa kinyama namna ile bila kosa lolote.

   Yaani inasikitisha sana naona kawekwa kwenye kifurushi maalumu sio sanduku nadhani ni kwa sababu mwili ulikuwa vipande vipande hii picha iatwaumiza watoto,mke ndugu jamaa kwa kipindi kirefu sana inauma kwa kweli

  19. Gedeli's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 16th March 2012
   Location : Ilemela - Gedeli
   Posts : 390
   Rep Power : 564
   Likes Received
   106
   Likes Given
   391

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Quote By Nicas Mtei View Post
   Mwandosya ndio Mbunge wa Jimbo ambalo Mwangosi amezaliwa. Ahadi ni kama mbunge
   kwa hiyo karo itatoka katika mfuko wa jimbo!!

  20. morenja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Location : arusha city
   Posts : 1,306
   Rep Power : 753
   Likes Received
   241
   Likes Given
   31

   Default

   Quote By LINCOLINMTZA View Post
   Mpaka lini? Options zimezingatiwa kweli?
   R.I.P Mwangosi kwa damu yako iliyomwaka cdm haitaonewa tena .tutakukumbuka jina lako siku ya Uhuru wa pili.kama moja wa mashuja wa nchi hi .amen

  21. Ngigana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2010
   Posts : 550
   Rep Power : 696
   Likes Received
   129
   Likes Given
   257

   Default re: Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

   Quote By watu8 View Post
   ukaghone gwa m'yitu....
   mmbule KYALA inyali syosa isi CCM bikubhomba...

   Ukaghone Nkamu!! Tufulele fijo! Lelo Kyala amenye! Tukusibhika syosa mundumbula! Ukaghone!
   A life that influences no one is not worth living! By B B Shonga

  Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...