Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Report Post
    Page 12 of 12 FirstFirst ... 2101112
    Results 221 to 236 of 236
    1. #1
      Candid Scope's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Posts : 7,606
      Rep Power : 15261
      Likes Received
      3731
      Likes Given
      2865

      Default PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi



      Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.




      Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.



      Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.



      Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

      Picha kwa hisani ya Mjengwa blog

      Quote By Kapo Jr
      Wana Jf,msafara wenye majonzi kuelekea itete nyumbani kwao marehemu Daud Mwangosi kwenda kumzika,kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr W. Slaa akiwa na makamanda wa m4c wameambatana na wafiwa kwenda kuzika.Huzuni imetawala kwa wana-rungwe.

      BAK, jmushi1, Papizo and 15 others like this.

    2. Miaka 50

    3. UKI
      #221
      UKI's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 12th June 2012
      Location : Mali
      Posts : 681
      Rep Power : 485
      Likes Received
      149
      Likes Given
      176

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi





      Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

      Picha kwa hisani ya Mjengwa blog


      [/QUOTE]

      hii picha imeniharibia siku kabisa nimejikuta natokwa na machozi imenizidishia hasira huko nyumbani dah! siku si nyingi machozi yetu yatajibiwa hakika nawaambieni.

    4. Jao
      #222
      Jao's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 27
      Rep Power : 441
      Likes Received
      0
      Likes Given
      6

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Pumzika kwa amani kaka na ndugu yetu Daud Mwangosi. Mungu atatenda lililo jema kwa familia yako ulioiacha hapa duniani. Hakika ni simanzi isiyokuwa na mwisho.

    5. #223
      Az 89's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2011
      Posts : 844
      Rep Power : 547
      Likes Received
      156
      Likes Given
      32

      Default Re: PICHA: Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

      Quote By mkomatembo
      wasiache kumpa na picha ya aliesababisha haya kwa kukaidi amri ya serikali. Sasa slaa atamsomesha mtoto huyu? Very sad!
      bora ban tu, we nakutukana
      The mistake shall not be of our children, but ours, that we failed to prepare the good future for them on the presence of CCM... and we were not blind.

    6. #224
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,812
      Rep Power : 1144
      Likes Received
      187
      Likes Given
      0

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By Candid Scope


      Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.




      Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.



      Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.



      Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

      Picha kwa hisani ya Mjengwa blog



      Slaa ndio muuaji mwenyewe kwani ndio ameleteleza kifo cha Mwangosi kwa kukaidi amri halali ya Polisi yakutofanya mikutano wakati wa sensa. Huyu ndio muuaji na awajibu familia yake

    7. #225
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,601
      Rep Power : 819
      Likes Received
      278
      Likes Given
      51

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      sasa nasema hivi,nisije nikakutana na mtu wa nyinyiem kwenye uchochoro wenye gizagiza shingo yake halali yangu.
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.


    8. FemaTV & Radio

    9. #226
      kibaya-kenya's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 390
      Likes Received
      32
      Likes Given
      1

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Ndugu zangu wa Tz, sasa asiyejua yote yametimia, kwamba tunaongozwa na kundi dogo la kimafia linatumia nguvu za dola ktk kuwatisha na kuwaua watu wasio na hatia, lakini wakumbuke falme zote zilizolindwa na mkono wa chuma wote wamesambaratika kwa aibu kubwa sana na madhara kwa vizazi vyao, mfano utawala HITLER, PINOCHET, MUSSOLINI. NICHOLAUS WA URUSI na wengine wote wakatili bila kusahau wakina FORDEI SANGA NA TAYLOR,
      CCM kamwe hawata kwepa kivuli cha matendo yao hasa kwa WATZ wasio na Hatia, wakumbuke hata wale vibaraka wa watiifu wa HITLER wote walinyongwa kwa kufanya kazi chini ya amri ya HITLER na Vibaraka wa CCM ijueni kinacho wasubiri na uzao wenu.
      Hongera sana Dr Slaa kwa kuwa pole Familia ya shujaa wetu DAUDI MWANGOSI.
      MUNGU CKU ZOTE HUWAIBISHA WAOVU.

    10. #227
      MALAMSSHA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 43
      Rep Power : 442
      Likes Received
      8
      Likes Given
      98

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Siasa tufanye ila tusichezee roho za watu na maisha yao kwa ujumla.
      Wewe uliyemvua huyo kijana unajisikiaje ukiona hawa watoto waliobaki bila baba? mama bila mume?
      Umepata na nini? Viongozi wakuu mna la kujibu mbele za Mungu.
      Its sad.

    11. #228
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By Galileo Galilei
      Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema
      Kumbeeeeee, nilifikiri alikuwa katika shughli za uandishi. Kumbe yote ya kuwa kama mwandishi kwenye tukio ilikuwa zuga tu?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    12. #229
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 5,979
      Rep Power : 2634
      Likes Received
      1200
      Likes Given
      501

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Kweli Dr. Slaa ndiye Raisi pekee nchi hii ambaye anajua kuna mtanzania!!! Tunashukuru kwa kutuwakilisha msibani na kwenye Maziko Dr. na kuahidi kusomesha huyo mtoto mmoja. Mungu akuzidishie na kukujaliz tele. SSM wameahidi ngapi? Msiniambie msaada wa Mwandosya maana yeye kama yeye amejitolea kumsomesha mtoto wa kwanza hadi Chuo kikuu. Nilitaka SSM kama SSM, yaani Nape awepo atamke neno.
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    13. #230
      nguluvisonzo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 452
      Rep Power : 516
      Likes Received
      50
      Likes Given
      21

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By jmushi1
      Hapo kwenye huo mti iwe ni sehemu ya kumbukumbu,panatakiwa pawekwe jiwe la msingi la kumbukumbu pakiwa na jina lake na maelezo ya kilichompata "briefly".May he rest in Enternal Peace.

      Inauma sana yatima wanaongezeka bila sababu,hilo tawi linatakiwa kuitwa'DAUDI MWANGOSI' watoto wake wahudumiwe au watafutiwe mfadhili na Makao makuu ya CDM,kwani baba yao alikuwa katika harakati za kutangaza shughuli za CDM.
      we only provide aid directly to governments that reduce poverty; respect human rights(ushoga)and etc.Ms Bower stated.

    14. #231
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4299
      Likes Given
      5491

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By nguluvisonzo
      Inauma sana yatima wanaongezeka bila sababu,hilo tawi linatakiwa kuitwa'DAUDI MWANGOSI' watoto wake wahudumiwe au watafutiwe mfadhili na Makao makuu ya CDM,kwani baba yao alikuwa katika harakati za kutangaza shughuli za CDM.
      Alkuwa kwenye harakati za kupigania haki ya mtanzania.Watanzania tutamuenzi kwa hilo.
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    15. #232
      Moony's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Location : Oshakati, Namibia
      Posts : 1,109
      Rep Power : 631
      Likes Received
      260
      Likes Given
      279

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By Filipo
      Hao sio wa kuwategemea sana maana they'll be behind bars soon baada ya cdm kuunda serikali!
      Au sure? ni yale yale ya Ulimboka, Usa River, Igunga, Mrgr, Mwanza yanajirudia. Hakuna mambo ya behind bars kwani walipewa amri ya kuua, so watakuwa protected.

    16. #233
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,959
      Rep Power : 3699
      Likes Received
      3576
      Likes Given
      5754

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By JF-MBUNGE




      Na hakika uchungu wa huyu mtoto utalipa siku si nyingi, mungu hachezewi wala hajaribiwi kwa madaraka na fedha za duniani
      Kila nikiiangalia hii picha machozi hayaachi kunitoka ..RIP kamanda
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    17. #234
      Ney wa Barca's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th February 2011
      Posts : 210
      Rep Power : 461
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Kilio cha huyu mjane na hawa watoto, machozi yao kamwe hayakudondoka bure, kila chozi lililodondoka hakika Mungu atajibu mchana kweupe, inauma zaidi ya sana why! why! why!!!!!!

    18. #235
      dubu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2011
      Posts : 2,396
      Rep Power : 959
      Likes Received
      583
      Likes Given
      143

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Mungu awatie nguvu

    19. #236
      MJINI CHAI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2010
      Location : INAPOPATIKANA CHAI
      Posts : 371
      Rep Power : 502
      Likes Received
      25
      Likes Given
      32

      Default Re: PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

      Quote By nguluvisonzo
      Inauma sana yatima wanaongezeka bila sababu,hilo tawi linatakiwa kuitwa'DAUDI MWANGOSI' watoto wake wahudumiwe au watafutiwe mfadhili na Makao makuu ya CDM,kwani baba yao alikuwa katika harakati za kutangaza shughuli za CDM.
      yote hayo wewe unayajua......... kutangaza CDM tu kwa ahadi gani? au katumwa na nani?
      HILI=NDIYO...HILI=SIYO, LAKINI WAKATI UKIFIKA UKWELI UTAJULIKANA TU.

    Page 12 of 12 FirstFirst ... 2101112

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...