JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 35 of 35
  1. Baraka F.K's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th August 2012
   Location : Dar es salaam
   Posts : 79
   Rep Power : 485
   Likes Received
   24
   Likes Given
   3

   Default LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Jeneral Ulimwengu anaendesha kipindi cha Jeneral on Monday,
   Mada ni Mauaji ya Mwngosi - Nyororo
   Wachagiaji jaji Mihayo na mwenyekiti wa baraza la Waandishi wa habari


  2. davinho's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 13th February 2012
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Kumuua mtu kwa kiwango kile haiwezi kuwa bahati mbaya...

   Mwangosi amekufa kifo cha kimkakati... Bahati mbaya ni Ile mikakati ya kijinga kabisa kiasi kwamba hata mtoto anajua hili ni la kupanga.

   Familia ya Mwangosi isimame kidete ikisaidiwa na wataalamu wa sheria na haki za binadamu kudai haki.
   --davinho--

  3. rosemarie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 6,553
   Rep Power : 1976
   Likes Received
   1445
   Likes Given
   352

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Quote By jmushi1 View Post
   Mkuu naamini kabisa unachokisema,very sad indeed!RPC aliona kwa macho yake akipigwa na polisi,na kama unavyojuwa,tayari walikuwa wamemkamata mwandishi mmoja,nadhani kwasababu walijuwa yeye ndo mwenyekiti wao,basi walijuwa lazima aende kujaribu kufahamu kulikoni akamatwe.Na polisi walipokuwa wakimpa kichapo,RPC anayemfahamu,akajidai hata hamfahamu,akayafumbia macho,sawa na pilato aliponawa mikono,wahunu wanaojiita polisi,wakammalizia pale pale.Mbele ya mchacho ya RPC na OCD,wakijuwa kuwa wanawafurahisha mabosi wao.Na kuna taarifa za waandishi waliokuwa wamejibanza kwenye kona,ambao walisikia polisi wakijigamba kuwa lazima wauwe siku hiyo,kumbe walijuwa kabisa ni nani wanakwenda kumwua?Then ccm bado wana balls za kusingizia amani tena?labda amani ina maana ya tofauti kwao.
   yule askari aliyemwekea bunduki tumboni alishapewa kazi ya kummaliza Mwangosi,haiwezekani askari afanye vile wakati boss wake RPC akijaribu kumwokoa,nimefurahi kwa sababu hawakujua wapiga picha wanachukua kila tukio,taarifa tulizo nazo zinasema baadhi ya askari hawatoki pale na wameandaliwa kutoka background mbovu kabisa walikotoka,kumbuka kuna ile picha ya mwisho askari amesimama akimshangaa Mwangosi wakati ameshakufa??yule kwa roho yake asingeweza kufanya vile,aliwekwa kwenye lile kundi bila kujua mipango nini kinaendelea,yule aliyempiga bomu ndiye alitumwa kwa kazi ile maalam,amini usiamini sio askari wote wanafurahia mambo yanayofanywa na jeshi hili dhalimu,Mwisho wa huyu MwemA utakuwa kama wa Bilal,yote haya tunayajua kwa kuwa tunaona mbali kuliko waanavyofikiri
   I DEMOLISH MY BRIDGES BEHIND ME THEN THERE IS NO CHOICE BUT TO MOVE FORWARD  4. majorbuyoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Location : Utakaponiona
   Posts : 1,815
   Rep Power : 2975
   Likes Received
   501
   Likes Given
   431

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Quote By raymg View Post
   Subirin Postmoterm report kwanza nauhakika huyo mwandishi aliuliwa na dude fulan la ajabu sana lililorushwa na wafanya fujo toka mbeya!
   Dude la ajabu ndo nini, jini au?. Polisi waache upumbavu wao, Mwangosi kauliwa na bomu la machozi alilolipuliwa nao na polisisiemu. Kuna mwananchi anayemiliki bomu la machozi?

  5. Maarko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 853
   Rep Power : 712
   Likes Received
   175
   Likes Given
   56

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Mwema hatoguswa na mtu yeyote yule,nadhani msilolijua ni kwamba muheshimiwa mwema ni shemeji yake mkuu wa kaya.subirini utawala dhalimu wa ccm uatakapoondoshwa ndiyo watashtakiwa hawa wauaji,polisi ni wauaji wakubwa wako watu wengi sana wanauwawa kila mara bila hao (polisi)wauaji kuchukuliwa hatua yoyote.

  6. majorbuyoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Location : Utakaponiona
   Posts : 1,815
   Rep Power : 2975
   Likes Received
   501
   Likes Given
   431

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Kwa taarifa fupi kutoka Ebony Fm ya Iringa ni kwamba mwili wa marehemu utaagwa usiku huu nyumbani kwa marehemu maeneo ya Kihesa na kesho mwili utasafirishwa kuelekea Mbeya kwaajili ya mipango ya mazishi.


  7. sweke34's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2010
   Posts : 2,521
   Rep Power : 1392
   Likes Received
   746
   Likes Given
   1275

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Hicho kipindi bado kinaendelea?

  8. Mzawa Halisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2009
   Posts : 484
   Rep Power : 749
   Likes Received
   149
   Likes Given
   356

   Default Re: Tamko la jukwaa la wahariri tanzania kuhusu kuuawa kwa daudi mwangosi

   Quote By motochini View Post
   TAARIFA YA JUKWAA LA WAHARIRI (TEF)
   KWA VYOBO VYA HABARI
   KUHUSU KUUAWA KWA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI

   3. Kwa matukio ya aina hii, tunadhani wakati mwafaka kwa uongozi wa Jeshi la Polisi nchini kuwajibika, kuazia kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa na uongozi wa Makao Mkuu, akiwamo Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Saidi Mwema.


   8. Kwa maana hiyo, mbali na uchunguzi ambao utafanywa na polisi, tunatoa wito kwa Serikali kuunda chombo huru, ambacho kitabaini ukweli, na matokeo yake yatangazwe kwa umma, huku wahusika wa aibu hiyo wakichukuliwa hatua za kisheria. Tunasema hivyo, tukifahamu kwamba tayari kuna jitihada za kuficha ukweli na kueneza propaganda za uongo kuhusu tukio zima.


   IMETOLEWA NA:


   NEVILLE MEENA,
   KATIBU MKUU – JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA (TEF)
   SEPTEMBA 3, 2012
   Hapana, hapana, hapana, kuwajibika pekee hakutoshi, wahusika wanapaswa kushitakiwa na kupewa adhabu stahiki kwa makosa waliyofanya.

   Jukwaa la wahariri lilipaswa hata kukataa tume iliyoundwa na jeshi la polisi, kwani haiwezekani kutenda haki na kutokana na ushahidi eye witnesses Polisi ndiyo wahusika wakati RPC anatoa taarifa tofauti. Kuweka statement kuwa pamoja na tume ya polisi, ni dalili ya kuwa tayari kupokea matokeo ya tume hiyo. Sidhani kama ni sawasawa.

  9. #28
   raymg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th June 2012
   Location : Mwanza
   Posts : 838
   Rep Power : 645
   Likes Received
   210
   Likes Given
   29

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Quote By majorbuyoya View Post
   Dude la ajabu ndo nini, jini au?. Polisi waache upumbavu wao, Mwangosi kauliwa na bomu la machozi alilolipuliwa nao na polisisiemu. Kuna mwananchi anayemiliki bomu la machozi?
   alishababu wanayo kibao kaka.....subiri report ya police utaona

  10. kukukakara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 551
   Likes Received
   75
   Likes Given
   11

   Default

   Quote By lutayega View Post
   Kajubi anasema baraza linataka kuanza kutoa mafunzo ya kuchukua taarifa kta mazingira hatarishi kwa kuwa mikutano ya siasa imekuwa sehem hatari, pia ameshauri wahariri kuanza kurinda wandishi wao
   waende jeshini au? Reporters considered to be learned guys in their job. This is black and white murder; dont turn mwangosi a lab mouse. Angefanyaje ktk kundi la ffu kama hilo! Mkajanga and the whole lot seek'the truth and only truth. Labda hizo picha ni za kugushi..

  11. majorbuyoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Location : Utakaponiona
   Posts : 1,815
   Rep Power : 2975
   Likes Received
   501
   Likes Given
   431

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Quote By raymg View Post
   alishababu wanayo kibao kaka.....subiri report ya police utaona
   Sima uhakika kama ni kweli Al-shabaab wanaweza kutumia mabomu ya machozi ktk shughuli zao za kigaidi, ili iweje? Unategemea polisi hao hao waliomuua mwandishi wa habari watoe report ambayo ni fair?. Nashukuru hakuna ndugu yangu wa karibu anaefanya kazi hii ya polisi, ni afadhali ya panzi hutumia akili yake kujifikirisha kuliko polisi anayeamrishwa kila kitu hata kikiwa kibaya.

  12. sahini's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th April 2012
   Posts : 28
   Rep Power : 492
   Likes Received
   3
   Likes Given
   14

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   jaji Mihayo anajitambua.

  13. TUJITEGEMEE's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Location : KUFIKIRIKA
   Posts : 6,316
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1888
   Likes Given
   5710

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Kama na huu utakuwa ni upepo tu...na ukapita, basi watanzania itabidi tubadili mbinu za kudai haki zetu za msingi.
   Udadisi.........

   http://www.jamiiforums.com/member.php?u=31026

  14. Omulangi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2008
   Posts : 932
   Rep Power : 893
   Likes Received
   208
   Likes Given
   12

   Default Re: "Kifo cha Mwangosi" on Jenerali on Monday!.

   Quote By Sobangeja View Post
   Du! tulitegemea jeshi letu baada ya kuingia Said Mwema, IGP, msomi,na aliyefanya shughuli za kimataifa,lingekuwa la kisasa lakini mambo yalinayofanyika na jeshi la polisi na yanayoendelea yameonyesha mapungufu makubwa kwa Mwema.Tunaendelea kusikiliza Channel 10!
   Hivi Said Mwema ameishia darasa la ngapi?

  15. hodogo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th March 2012
   Posts : 239
   Rep Power : 541
   Likes Received
   91
   Likes Given
   60

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Quote By step View Post
   The most important thing to discuss should be the secrets behind the series of killings on opposition rallies. Someone (perhaps high ranking gov officials) who is/are quite should be questioned now. Police receives orders, who gives orders?
   That is simple! Its some body who has got authority on these armed forces! If not, why IGP and The minister of home affair are getting away with this without resigning as part of accountability?

  16. davinho's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 13th February 2012
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

   Quote By director1 View Post
   yule askari aliyemwekea bunduki tumboni alishapewa kazi ya kummaliza Mwangosi,haiwezekani askari afanye vile wakati boss wake RPC akijaribu kumwokoa,nimefurahi kwa sababu hawakujua wapiga picha wanachukua kila tukio,taarifa tulizo nazo zinasema baadhi ya askari hawatoki pale na wameandaliwa kutoka background mbovu kabisa walikotoka,kumbuka kuna ile picha ya mwisho askari amesimama akimshangaa Mwangosi wakati ameshakufa??yule kwa roho yake asingeweza kufanya vile,aliwekwa kwenye lile kundi bila kujua mipango nini kinaendelea,yule aliyempiga bomu ndiye alitumwa kwa kazi ile maalam,amini usiamini sio askari wote wanafurahia mambo yanayofanywa na jeshi hili dhalimu,Mwisho wa huyu MwemA utakuwa kama wa Bilal,yote haya tunayajua kwa kuwa tunaona mbali kuliko waanavyofikiri
   Aliyekwambia RPC alijaribu kumwokoa Mwangosi nani?

   maana taarifa za habari ambazo waandishi wenzie wa habari ndo mashuhuda wa mauaji hayo, mmoja wao akihojiwa amesema wakati Mwangosi anapigwa kwa virungu na mateke, yeye alikimbilia gari la RPC kumsihi azuie vijana wake wasitishe kumshambulia jamaa, lakini anasema RPC alishusha kioo kumsikiliza kisha akapandisha na kuondoa gari kwa honi na ving'ora.

   Shuhuda mwingine anasema ilifikia hatua alimwona askari mwenye nyota 3, akiingilia kile kipigo kumwokoa Mwangosi, na kwenye picha Nafikiri ndo Yule ambaye Mwangosi amemkumbatia, lakini peke yake haikuwezekana, anaonekana askari mwingine akinyooshea mtutu tumboni mwa Mwangosi, na mashuhuda wanaeleza kishindo kikasikika na nyama kutawanyika, huku yule askari aliyekuwa anajaribu kumwokoa jamaa nae akijeruhiwa vibaya miguuni.

   Walikuwa, wanamtafuta... Sasa wamempata, tena bila kujali kuna watoto wanaomtegemea, mke, n.k.

   Huu ushemeji wao kwa bro inaonekana utatukosti vibaya sana. Maana sasa hivi wanatamba tu...
   --davinho--


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...