JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

  Report Post
  Page 3 of 8 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 148
  1. Mkwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th June 2011
   Location : Kalenga
   Posts : 1,203
   Rep Power : 116689899
   Likes Received
   1157
   Likes Given
   878

   Default Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Attachment 63295Attachment 63294Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX .

   Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema.

   Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126
   Last edited by Mkwawa; 29th August 2012 at 22:50.
   Nilijitoa mhanga kwa watu wangu; watoeni watawala wadhalimu na mafisadi kwa ustawi wa nchi yetu.


  2. Mikael P Aweda's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th December 2010
   Posts : 2,935
   Rep Power : 237330241
   Likes Received
   3830
   Likes Given
   3533

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By Kimbunga View Post
   Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

   Hapo kwenye Red nimefurahia sana, labda ungesema mwingine. Mbowe kwa biashara zake halali ana uwezo wa kwenda ulaya kila mwezi akitaka. Pesa za Chadema haziwezi kumsumbua Mbowe kwa kadri ninavyomjua. Hivi kwa Siku Mbowe kwenye bishara zake anaingiza sh ngapi mkuu mpaka aende US kwa ajili ya Posho? Hii hapana mkuu, umepotosha makusudi.

   TANGANYIKA KWANZA

  3. Kiganyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2012
   Posts : 1,245
   Rep Power : 1131
   Likes Received
   752
   Likes Given
   452

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Marriot Hotel Houston - Ulipofanyika mkutano wa CHADEMA
   Wadau wa Houston - John na Mbowe
   Mdau Abdulkarim na Katibu wa CDM Houston Nd.Mlay

   Wadau wa Houston

   Mdau wa Atlanta, Dada Linda ndani ya nyumba

   Wadau wa Houston na Atlanta

   Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot

   Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot

   Sehemu ya Wadau wa Houston wakisikiliza sera za Vua Gamba Vaa Gwanda

   Wadau Sekulu na Himid

   Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM

   Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe

   Mh.Mbowe na wadau wa Houston

   Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta

   Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi

   Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV
   Kwa picha zaidi bofya read more

   Mh.Sugu akiwa na Nd.Ngalawa

   Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston

   Sehemu ya umati wa wadau
   Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba
   Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

   Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

   Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

   Mdau Lenny wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda

   Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda
   Future M4C wa Houston

   Wadau

   Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe
   Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM
   Mdau Jerome akipokea kadi ya CDM kutoka kwa Mh.Mbowe

   Mwenyekiti wa CDM Taifa akisaini kadi za wanachama wapya

   Mwenyekiti wa Muda wa CDM-Houston, Bw,Fue O. Fue akiwa na Mh.Mbowe, Dada Maggie na Mdau

   Mh.Sugu akiwa na Nd.George Kasapira

   Mh.Mbowe akiwa na Nd.Martin Mhumbira

   Mh.Mbowe akiwa na Nd.Andrew Sanga

  4. Orio Lilio's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st August 2012
   Posts : 11
   Rep Power : 473
   Likes Received
   3
   Likes Given
   2

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   nani kakuambia Hai kunashida ya kila namna,nenda kaangalie jimbo la huyo mwigulu nchemba ndo kuna neema?mwache kamanda apige kazi ya ukombozi wana Hai tunatambua mchango wake awepo Hai au atakapo kuwa nje ya Hai.Mbowe komboa taifa kata anga kupigania ukombozi,mwenyekiti shupavu asiye yumbishwa na magamba

  5. Mandown's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th April 2012
   Location : CHINI YA MBUYU
   Posts : 1,524
   Rep Power : 794
   Likes Received
   296
   Likes Given
   133

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By Mkwawa View Post
   Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX . Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema. Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126
   mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!

  6. kipisi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Posts : 30
   Rep Power : 571
   Likes Received
   16
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By Tata View Post
   Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
   Sasa ngoja nikupe fact wana diaspora sio lazima tupige kura ila tunachofanya ni kukisaidia chama tunatoa magari, pikipiki Na hata helcopter yote hii kwa ajili ya kujenga chama kuanzia ngazi ya chini, ccm 2015 hamtoki, lazima chadema ichukue nchi mtake msitake habari ndiyo, wana wa diaspora houston tawi la chadema tutatoa pikipiki 126


  7. Precise Pangolin's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 10,538
   Rep Power : 408523
   Likes Received
   2561
   Likes Given
   955

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By zomba View Post
   Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.

   Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
   USA CCM walimpeleka Diamond kuhamasisha kwanini msingepeleka na komba na lile scania kwaajili ya kuongeza Nguvu? kwi! kwi! kwi! teh!

  8. kisururu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2011
   Posts : 331
   Rep Power : 622
   Likes Received
   91
   Likes Given
   267

   Default

   Quote By Tata View Post
   Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
   Sina uhakika kama wanapiga maana NEC iko ovyo haitaweza kuwafikia watu wote.ila kwa support yao ya mawazo na fedha za kujenga chama ni muhimu sana

  9. Zipuwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Posts : 2,957
   Rep Power : 25998
   Likes Received
   541
   Likes Given
   285

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Nape anazidi kuchanganyikiwa hapa
   Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!

  10. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,237
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   haya mliokuwa mnataka picha, picha hizo hapo juu, mumeziona????

  11. POMPO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 6,694
   Rep Power : 85902788
   Likes Received
   2371
   Likes Given
   821

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

  12. Chuck j's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2011
   Location : DAR ES SALAM/KINONDONI
   Posts : 942
   Rep Power : 721
   Likes Received
   120
   Likes Given
   5

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   zisiwe za kichina tuu manake za kichina
   otto

  13. sosoliso's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Mwembekiuno
   Posts : 6,673
   Rep Power : 429498406
   Likes Received
   4800
   Likes Given
   5433

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By kingxvi View Post
   watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi
   Unaweza kuzitaja hizo shida za kila namna ambazo zipo kwenye jimbo la Hai..?

  14. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,899
   Rep Power : 17198995
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Mbowe afanya maajabu houston

   Quote By kipisi View Post
   Mh mbowe amefanya kile kilichowashinda wanasisa wengi wa tanzania walio waliowahi kutembelea houston, ktk mkutano uliofanyika mariot hotel watanzania zaidi ya 100 waliweza kuchua Card za chadema, kabla ya mh mbowe mh Sugu alitoa hotuba fupi akiwaomba wananchi waunganishe nguvu kuutoa utawala mbovu wa ccm, Sugu alienda mbali akisema ccm wanawaogopa wana diaspora, chadema wanawahitaji sana Hawa watu, watasaidia sana kujenga uchumi wa nchi yetu
   weka picha uumbuke.hakuna kitu kama hicho,watu walikuwa 20 tu.punguza maneno.unamdanganya nani???

  15. POMPO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 6,694
   Rep Power : 85902788
   Likes Received
   2371
   Likes Given
   821

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By zomba View Post
   Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.

   Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
   Mzee kinana nae anfuata chakula? hii ndio tofauti ya CDM na NyinyiEM shame on you,
   mnawaza kula tu< hivi bila kuandaa chakula kwenye shughuli zenu watu hawaji?


   chama cha ubwabwa


   chama makini kwa watu makini M4C forever
   "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

  16. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,899
   Rep Power : 17198995
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Mbowe afanya maajabu houston

   picha yenye watu wengi kuliko zote ina watu 23,ndio unasema haijawahi kutokea???

   kawadanganye wasiojiuliza ie akina YES BOSS

  17. andrewk's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th April 2010
   Posts : 2,997
   Rep Power : 1193
   Likes Received
   414
   Likes Given
   118

   Default Re: Mbowe afanya maajabu houston

   swali zuri sana, maana naona wimbi la kuwakimbilia limekuwa kubwa sana..... lakini pia michango yao ya hali na mali invisaidi hivyo vyama!

   Quote By Tata View Post
   Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?

  18. Manyanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Look Behind You......
   Posts : 4,446
   Rep Power : 25607
   Likes Received
   1203
   Likes Given
   933

   Default

   Quote By Mandown View Post
   mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!
   safari za Kikwete zina tija gani ktk maendeleo ya nchi? Kazi zinazofanywa na viongozi wa CDM matunda yake yanaonekana

  19. Lyimo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Posts : 3,798
   Rep Power : 26586
   Likes Received
   1979
   Likes Given
   825

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By Kimbunga View Post
   Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
   Mkuu Kimbunga diasporas wanamichango yao pia. Licha ya michango ya mawazo kutokana na exposure zao, pia wanachangia materials zinazosaidia kujenga chama na katika maendeleo pia. Ukichukulia hizo pikipiki 126, gari la wagonjwa nk si haba ukilinganisha na safari za hawa wakuu. Ila naungana na wewe katika kuzidi kuhamasisha tuliopo nchini tuweze kujitolea zaidi katika kidogo tulichonacho ili kujenga chama na maendeleo yetu kwa ujumla. Natumaini tunaweza kufanya makubwa zaidi kuliko diasporas walioko nchi mbalimbali, ila nao ni vizuri wakashiriki pia.
   "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

  20. Bulesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2008
   Posts : 5,953
   Rep Power : 32129417
   Likes Received
   1272
   Likes Given
   191

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Quote By Mikael P Aweda View Post

   Hapo kwenye Red nimefurahia sana, labda ungesema mwingine. Mbowe kwa biashara zake halali ana uwezo wa kwenda ulaya kila mwezi akitaka. Pesa za Chadema haziwezi kumsumbua Mbowe kwa kadri ninavyomjua. Hivi kwa Siku Mbowe kwenye bishara zake anaingiza sh ngapi mkuu mpaka aende US kwa ajili ya Posho? Hii hapana mkuu, umepotosha makusudi.

   Alikuwa anamsema mkweree ambae maisha yake yote ni ya mshahara tu na hajawahi kufanya kazi za kujiajili; shamba lake la kwanza amelipata akiwa waziri na vingine vyote baada ya kuingia magogoni!! Ndio maana katika utawala wake hana concept ya self-reliance kila siku kutembeza bakuli!!

  21. Mark Francis's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th November 2010
   Location : Ubungo, DSM
   Posts : 605
   Rep Power : 747
   Likes Received
   296
   Likes Given
   60

   Default Re: Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

   Kuna umuhimu wa kuweka utaratibu kwa diaspora kupiga kura huko waliko.... Balozi zetu huko nje zitumike kwa kazi hiyo kipindi cha uchaguzi!!
   "Better to be hurt by the truth than comforted with a lie"


  Page 3 of 8 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...