Re: Pongezi nokia na microsoft kwa kuonesha mpaka unapita katikati ya ziwa nyasa
VIONGOZI WETU WAKOMAE WASIJESHINDWA KWENYE INTERNATIONAL COURT OF JUSTICE,
NIMESIKITIKA NILIPOSOMA KWENYE SITE YA nyasatimes.com KWAMBA ETI KIKWETE AMEWAAMBIA WALIOZUNGUMZIA MAMBO YA VITA NI VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI, WAKATI KILA MTU ANAJUA KWAMBA NI MEMBE, SITTA NA LOWASSA.
SIO VYEMA KUWASINGIZIA UPINZANI, HIYO NI NIDHAMU YA UOGA (KAMA KILICHOSEMWA KWENYE NYASATIMES NI KWELI RAISI WETU KAKISEMA)
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA - Hosea 4:6
BADO GOOGLE, NDIO WAMEONESHA MPAKA UNAPITA PEMBENI MWA ZIWA WAKIMAANISHA LIPO MALAWI JAPO WAMEWEKA DOTS KUONESHA KWAMBA KUNA BORDER DISPUTE
hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka ICC eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea ICC?
Re: Pongezi nokia na microsoft kwa kuonesha mpaka unapita katikati ya ziwa nyasa
By chimbuvu
hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka icc eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea icc?
usikurupuke ku insult mkuu.
1. Kwanza sio icc, ni icj - icc ni court of criminal, na icj ni court of justice.
2. Pili, hii niliyoweka hapa haina uhusiano na ushahidi wetu icj its the matter of facts kwamba kumbe sio sisi wenyewe tuliomezeshwa kwenye geography ya darasa la tano kwamba mpaka unapita kati kati ya ziwa, it means zipo ramani nyingine zinazoonesha kwamba mpaka unapita katikati kama un law of the sea inavyosema, ambazo ramani hizo ndo hizo zilizotumiwa na nokia na microsoft.
Kama hujaelewa ninacholenga basi iddi njema....!!!

mi napita bana ctaki kuwamember wa hiyo kambi yenu ya mjini.
Re: Pongezi nokia na microsoft kwa kuonesha mpaka unapita katikati ya ziwa nyasa
Yaani kwa jinsi mlivyomshambulia huyu bwana mleta mada nimefarijika kwamba hili kumbe ama wengi wanalielewa ila wamekaa kimya tu. Sikutegemea mashambuli makali kama haya. Nadhani wanaotudanganya kuwa tunaweza kushinda kesi hii ya Malawi inabidi wajipange vilivyo na si kuleta facts za kitoto ambazo ushambuliaji huu ni dhahiri kwamba wengi wamechoshwa na porojo wanataka fact zijadiliwe.
TUmechoka na ushahidi wa kitoto unaotumika kujadili international agreements.
By Concrete
Halafu hizo ndio facts ambazo ujumbe wa Tanzania unaoenda kujadiliana na Malawi leo utazitumia.
By Amavubi
Kati ya NOKIA (kampuni) na MPAA WA ZIWA (UKOLONI) kipi kilianza?
By Chimbuvu
hivi na wewe unajiona umefikiriaa?nokia ni nani?microsoft ni nani? Kwa hiyo huo ndo ushahidi wa kupeleka ICC eti nokia ama microsoft ilhali wenzako wanaonesha signed documents,,nasi tuingie na facts zetu zikionyesha muingereza alitukabidhi vp na kama tunazo hizo documents tuzipresent sio nokia ama microsoft ndo watatutetea ICC?
By Edson
hiyo ramani ya pili mpaka unaonyeshwa kwa doti maana yake kuna mgogoro katika mpaka huo.....
.."ni heri Dr. Willibrod Slaa ashinde na aingie Ikulu, kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge na kuingia Bungeni"......Jakaya Mrisho Kikwete, Oct. 2010.
Re: Pongezi nokia na microsoft kwa kuonesha mpaka unapita katikati ya ziwa nyasa
By Nikupateje

Follow Us Here