Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

    Report Post
    Results 1 to 10 of 10
    1. #1
      keulankubha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th May 2012
      Posts : 33
      Rep Power : 361
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Fikiri kabla ya kutenda. Nidhairi kuwa viongozi wetu wana ufinyu wa fikra, ili jambo haliingii akilini na linasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa. Inakuwaje? Ikulu tuna muuzia Marekani. Watanzania niwajibu wetu kulikomboa taifa ili tuachane na ushabeki wa chama.

      Ni wajibu wa kila mmoja wetu kusimama na kulitetea na kulikomboa taifa letu ambalo kwasasa liko katika mikononi mwa wanyang’anyi.
      Pili ningependa kila mtanzania ajue kuwa Tanzania hatuko huru bali uhuru wa bendera. Tatu ikumbukwe kuwa viongozi wetu ni madikteta, mfano mzuri tuangalie Kigamboni ambayo imeuzwa, imeuzwa kwa lidhaa ya nani?

      Kama sio udikteta, nimatumaini yangu kuwa kila kitu kinachofanyika viongozi wetu ujiuliza kuwa watatufanyeje hawa zezeta? Ili linaonesha kuwa huu ni udikteta usiokuwa na mfano, wana Kigamboni wana atimiliki za maenoe yao lakini hawakuusiswa katika sakata la kuuzwa sehemu yao. Lakini ili ni kwasababu yao serikali kujua uhozo wanaofanya katika nchi hii na sisi kukaa kimya.

      Tena wanapokuja katika kapeni tunawapa ridhaa ya kuongoza taifa tena kama vile hatuoni uhozo wao. Naili inabidi tuliangalie kwa umakini.. Ndugu zangu watanzania ili tusiliachie wananchi wa Kigamboni ilinatuhusu sisi pia kama watanzania wazalendo na wapenda haki.


      Ninapenda viongozi wajue ni wajibu wao kama viongozi kabla ya kufanya kitu chochote kinacho husu wananchi wanaokaa katika eneo ilo au lolote kwanza wakubaliane kabla ya kutenda/kufanya kitu chochote. Hapa inasemekana hakuna mwananchi mwenye haki katika nchi hii.


      Wananchi swala la Kigamboni tusiwaachie kigamboni tu. Ili ni swala la kitaifa tuachane na uzezeta wa kushangilia eti Tanzania itakuwa kama Ulaya, ndugu zangu mtegemea cha nduguye ……………………… kwanini tusifaye yetu? Kama tunataka tuwe kama Ulaya tutakuwa kama Ulaya kwa kulinda na kusimamia mali za taifa letu.

    2. Miaka 50

    3. #2
      mwakidondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 449
      Likes Received
      52
      Likes Given
      51

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Quote By keulankubha
      Fikiri kabla ya kutenda. Nidhairi kuwa viongozi wetu wana ufinyu wa fikra, ili jambo haliingii akilini na linasikitisha sana kuwa na viongozi kama hawa. Inakuwaje? Ikulu tuna muuzia Marekani. Watanzania niwajibu wetu kulikomboa taifa ili tuachane na ushabeki wa chama. Ni wajibu wa kila mmoja wetu kusimama na kulitetea na kulikomboa taifa letu ambalo kwasasa liko katika mikononi mwa wanyang’anyi.....
      Mkuu umeandika kwa uchungu sana na kujaribu kuonyesha kuwa wewe ni mzalendo, ninavyojua uzalendo unaenda sambamba na uasilia wengine hupenda kuita uzawa. Naomba kuuliza wee kweli ni mtanzania mwenzetu au magumashi, pitia sehemu nilizoweka red.

    4. #3
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,177
      Rep Power : 810
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      maumivi ya kichwa huanza taratibu

    5. #4
      Autorun's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2008
      Location : Point of Marginal Utility
      Posts : 489
      Rep Power : 949
      Likes Received
      85
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By Makupa
      maumivi ya kichwa huanza taratibu
      na yakiendelea fuata ushauri wa daktari

    6. #5
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 5,057
      Rep Power : 0
      Likes Received
      228
      Likes Given
      1

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Hatuwezi kubaki karne ya saba wakati sisi ni sehemu ya dunia inayoingia kwa kasi katika teknologia ya kisasa ya sayansi na electronic.usitumie uwekezaji wa kigamboni kutafuta umaarufu


    7. #6
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 5,057
      Rep Power : 0
      Likes Received
      228
      Likes Given
      1

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Una hoja nzuri lakini usitumike kisiasa

    8. #7
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Nchi ishauzwa sisi ni wapangaji tu...
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    9. #8
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      323
      Likes Given
      111

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Nyimbo ile ile lakini muimba mwingine, leteni mambo mapya bana sio kurudia haya haya.

    10. #9
      Makala Jr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 1,672
      Rep Power : 726
      Likes Received
      348
      Likes Given
      0

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Kuna watz wajinga kweli,eti hatuwezi kurudi nyuma kwenye uwekezaji wa kisasa-Kigamboni.Kwani uwekezaji wa kisasa ndo hauhitaji maoni na ushirikishwaji wa wananchi? Hata kwenye ubinafsishaji magamba mlifanya hivyo hatimaye uozo kibao.

    11. #10
      Sometimes's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th December 2010
      Posts : 1,372
      Rep Power : 761
      Likes Received
      233
      Likes Given
      39

      Default Re: Watanzania muda umefika wa kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wanyang'anyi

      Watu tayari wameshawekewa mpango wao Uswisi!

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...