Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Nape bana yeye anatuita sisi watani kwani chadema huwa tunautani na mnyonyaji ccm?
Corolite imeathiri ubongo wake
m4c inawatesa wanakuja na kila mbinu wanabomolewa kaz kweli peeeoplzzzzzzzzzzzz makupa, rits, mkigoma, mwiba, nape, njiwa.......... Poweeeeeeeeeeeeeeeeeer wimbo mzuri kweli na mtaucheza sana huu mziki
I support Nape because he is not totally wrong. He should only be told that the moivement might mean death to his party, so, he might be right somehow na nampongeza kwa kuona mbali
I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.
Nape, Mwigulu, Ridhiwani, Lusinde na vijana wengi ndani ya CCM ni WAFUNGWA wajao
Hakina mtoa mada akili amewaachia watoto wake
Chadema is making M4death for CCM
Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu
In politics every word you say its taken sarious.we dont jok it politics.jokes peleka kwenye usimba na yanga mr nape.only a dunce can make such a joke.
Hv nepi nae ni mwanasiasa?na wewe mleta mada umevimbiwa pilau ya eid kiasi kwamba unashindwa kumuelewa nepi?ni hv M4C=Chadema na m4death =ccm manyang'au...umenisoma?
Kuna umuhimu kwa wanasiasa wawe wanaenda kwanza kwenye Vyuo Maalum vya Siasa kuondoa Ujinga....
so ndo akili ya Nape ilipoishia?
kwa wanaokumbuka historia ya taifa letu, watanzania waliweka matumaini yao kwa chama cha TANU na baadae CCM hasa wakati wa Mwalimu, walifanikiwa kujenga misingi ya inch yetu ambayo iliipatia Tanganyika na baadae Tanzania sifa kemukemu. LAKINI KWA SASA HALI NI TOFAUTI,MAMBO YANAKWENDA KOMBO, WATANZANIA HAWANA MATUMAINI NA CCM NA SERIKALI YAO KWA UJUMLA. JAMBO HILI LINADHIHILISHA KUWA CCM ILIKUWA TUMAINI NA SASA INAKUFA NA KIKUNDI KIKUBWA CHA WATU WAKIONGOZWA NA NAPE WAME "INITIAT" MOVEMNT FOR DEATH OF CCM KWA INCHI NZIMA NA WAMEANZA KWA MWENYEKITII WAO, WAMEMLISHA UNGA WANDELE KIASI CHA KWAMABA HATA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UMEPUNGUA NA UMEKUWA MDOGO NDANI NA NJE YA CHAMA.
IFIKIE KIPINDI CCM WAKUBALI NOW THEIR APROCHING TO DEATH, THEY SHOULD PRAY BEFORE SOME ONE PRAY FOR THEM, BECAUSE 2015 IS AROUND THE COURNER.
hapo nape hilo wazo aliliwaza kwa mda wa mwezi mzima,mwenyewe anaona hiyo ni bonge ya strategy,brainless politcian
Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.
Follow Us Here