Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Chadema acheni kabisa usanii

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 47
    1. #1
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 809
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default Chadema acheni kabisa usanii

      Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

      1. kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      2. kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      3. kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      4. kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

      Last edited by Makupa; 19th August 2012 at 17:18.
      The Magnificent likes this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      OKW BOBAN SUNZU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 1,486
      Rep Power : 786
      Likes Received
      547
      Likes Given
      613

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      hata sisi tuliojazana kiasi cha kukosa sehemu ya kutema mate pale Gairo, Kilombero juzi, jana na leo ni picha ya 2010..............daaah, kweli mmerukwa na akili
      ''Rais usigeuke POPO, daily tunakusikia angani na FastJet

    4. #22
      kibogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Location : MBEYA
      Posts : 1,673
      Rep Power : 691
      Likes Received
      418
      Likes Given
      312

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Quote By Makupa
      Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
      (i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      (ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      (iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      (iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
      Hapo kwenye RED CDM wanakusanya fedha waziwazi na zinaonekana na juhudi za matumizi yake zinaonekana, CCM wao wanatumia njia mbaya zaidi kukusanya fedha kupitia upandishaji wa bidhaa mbalimbali kama Sukari, Mafuta(Fuel), Vinywaji, Gharama za Umeme ambazo zinaonyesha ingawa Tz ni nchi masikini lakini tunaongoza kwa gharama za umeme kuwa juu,pia CCM wanatumia mbinu ya kupunguza bei za mazao (Pamba, Korosho) ili hao wanunuzi ambao wengi ni makada wa CCM wanunue na kuuza kwa bei ya juu ambayo pia watu hao hutoa michango mikubwa kwa CCM, kwa hiyo kwa maoni yangu CCM ndo inayokandamiza walahoi wa nchi hii kwani hata matumizi ya fedha hizo hatuyaoni zaidi ya kujitajirisha tu kwa viongozi wetu.

    5. #23
      TEMILUGODA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2012
      Posts : 954
      Rep Power : 557
      Likes Received
      134
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Makupa
      Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
      (i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      (ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      (iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      (iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
      Tatizo lenu maproccm hamjitesi kwa fikra pevu,mawazo yenu ni light sana.

    6. #24
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 0
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Mleta uzi utakuwa una usingizi mzito mno.

    7. #25
      nya2nya2's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 113
      Rep Power : 381
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      kwani lazima uandike unaweza kuchangia tu za wenzio,maana hueleweki unalalamika au unalia.

    8. Study Abroad

    9. #26
      peri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 1,193
      Rep Power : 651
      Likes Received
      372
      Likes Given
      40

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      toa hoja mkuu, acha kulalamika.
      Siasa ni sera za kueleweka sio visingizio na kulalama.

    10. JJB
      #27
      JJB's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 198
      Rep Power : 395
      Likes Received
      96
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Makupa
      Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
      (i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      (ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      (iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      (iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
      U could have done better than this. Kwa hiyo ndo umeandika nini?

    11. #28
      fugees's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 586
      Rep Power : 457
      Likes Received
      62
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      masikin makupa nayd amepata ugonjwa huu tumuombee atapona maana hali yake ni mbaya.

    12. #29
      The Magnificent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : chini ya jua
      Posts : 940
      Rep Power : 612
      Likes Received
      148
      Likes Given
      549

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Quote By Makupa
      Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:
      (i)kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      (ii) kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      (iii).kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      (iv).kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.
      Haki ya Mungu natamani nikutukane tusi kubwa...
      "Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.

    13. #30
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,175
      Rep Power : 809
      Likes Received
      249
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By JJB
      U could have done better than this. Kwa hiyo ndo umeandika nini?
      mbona umecomment mkuu

    14. #31
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Chadema acheni kabisa usanii

      Quote By patakazi
      Umefungulia sasa unajmaba jamba tuuuu leo haya jiachiee kwa afya yako
      Yaani tulikua tumetulia kweli huu mwezi wa ramadhan. Nahamu wangekua wanafunga mwaka mzima
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    15. #32
      mtoto wa mikindani's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 22nd July 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      huyo kada wa ccm alie filisika mawazo. inawezekana kabisa katumwa huyo.

    16. #33
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,175
      Rep Power : 0
      Likes Received
      2994
      Likes Given
      13624

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.

    17. #34
      Makala Jr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 1,547
      Rep Power : 700
      Likes Received
      317
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Kwa hiyo magazeti yote yanatuunga mkono CHADEMA kiasi cha kukiuka maadili ya uandishi wa habari? Ama kweli ukiwa mwanaccm una asilimia kubwa ya kuwa Zobha!

    18. #35
      uttoh2002's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 579
      Rep Power : 483
      Likes Received
      195
      Likes Given
      8

      Default

      Unamegwa

      QUOTE=Makupa;4459420]Nimekuwa nikufuatilia mwenendo wa cdm hasa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka 2010 , nilichogundua ni kwamba hiki chama kimekuwa kinatumia njia mbali mbali ili kuwahadaa watanzania kuwa cdm inapendwa na watanzania hasa kwa kufanya yafuatayo:

      1. kukusanya michango kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania.
      2. kutumia picha za kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010 na kuziweka kwenye magazeti na mitandao ya kijamii ili kuwadaa watanzania kuwa mikutano cdm inahudhuriwa na umati wa watu.
      3. kulalama kwenye mikutano kuwa Tanzania ni nchi maskini sana bila ya wao kutoa njia mbadala ya kupunguza umaskini.
      4. kuwa na matumizi yanayozidi mapato ya chama kwa mwezi.

      [/QUOTE]

    19. #36
      Mundali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2010
      Posts : 689
      Rep Power : 643
      Likes Received
      144
      Likes Given
      77

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Masikini magamba, wenzao wanafanya kazi ya siasa wao ni kazi waliyoizoea "MAJUNGU". Hivi mpaka lini mtatambua kwamba majungu si mtaji? CHADEMA songa mbele tumechangia, tunaendelea kuchangia na tutazidi kuchangia kwa manufaa ya nchi yetu.
      "TANZANIA NCHI YANGU, BABU NA BIBI ZANGU WAMEZALIWA TANGANYIKA, BABA NA MAMA YANGU WAMEZALIWA TANGANYIKA, NIMEZALIWA TANZANIA, NIMESOMEA TANZANIA, NIMEOA MTANZANIA, NIMEBARIKIWA WATOTO WATANZANIA, NINAITUMIKIA TANZANIA KWA MOYO WANGU WOTE NA KWA AKILI ZANGU ZOTE, MTU AWAYE YOTE ANAYEIANGAMIZA MAMA TANZANIA NI ADUI YANGU NAMBARI MOJA". "NAIPENDA CHADEMA, KWANI NINA IMANI NA CHAMA HIKI, KWAMBA NDIYE MKOMBOZI PEKEE WA MAMA TANZANIA". "NINAICHUKIA CCM, MAANA NDIE SABABU KUU YA ANGUKO LA MAMA TANZANIA".

    20. #37
      Kima Mchanga's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : Dynamic
      Posts : 4,479
      Rep Power : 11220
      Likes Received
      599
      Likes Given
      446

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Hoja mufilisi kweli kweli!
      M4C inazidi kusonga mbele ikivuta mamilioni ya watanzania.

    21. #38
      Lawrence Luanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 602
      Rep Power : 499
      Likes Received
      51
      Likes Given
      0

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      Tulieni tuu mkijanyolewa ndo mtajua ni kuwaadaa au sio?

    22. #39
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,601
      Rep Power : 818
      Likes Received
      278
      Likes Given
      51

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      jinyoooooooooooooooooooooooooo nge
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.

    23. #40
      miti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th June 2012
      Posts : 111
      Rep Power : 371
      Likes Received
      10
      Likes Given
      16

      Default Re: Chadema acheni kabisa usanii

      umetumwa nini! au ndo sera zenu zille zile za matusi kama ya lusinde? kama umechoka kanywe uji ukalale mpuuzi mkubwa wewe.

    24. FemaTV & Radio
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...