Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

    Report Post
    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
    Results 81 to 100 of 101
    1. #1
      kapotolo's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 19th September 2010
      Location : Tanzania
      Posts : 2,407
      Rep Power : 1195
      Likes Received
      1282
      Likes Given
      392

      Default Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi aona kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Sasa napata sababu kwa nini serikali haishtuki hata madaktari wakigoma, na pia napata maana ya kauli ya Mizengo Pinda ya Liwalo na Liwe.

      Waziri mwenye dhamana ya afya Hussein Mwinyi akihojiwa BBC leo asubuhi na mtangazaji wa kipindi cha haba na haba Noel Mwakalindile ambaye alitaka kujua kauli ya serikali juu ya upungufu wa madaktari bingwa, waziri akasema kwa sasa focus yao kubwa ni kusomesha wataalamu wa afya wa ngazi ya cheti na diploma kwa kuwa wao ndio wanahitajika zaidi. Amesema kusomesha daktari bingwa ni gharama kubwa kwani daktari bingwa anasoma miaka minne mpaka mitano. Kwanza huu ni uzushi, vyuo vyote tanzania madaktari bingwa wa fani zote wanasoma kwa miaka mitatu tu, isipokuwa KCMC ambako wanasoma kwa miaka minne. Hakuna hata chuo kimoja ambacho daktari bingwa anasoma kwa miaka mitano. Hii inanipa wasiwasi kuona kuwa waziri wetu hajui hata madaktari bingwa wanasoma miaka mingapi, Je waziri wa aina hii anawezaje kutuambia anajua gharama ya kumsomesha huyu daktari bingwa?

      Hivi kweli huduma bora za afya Tanzania zitaimarika kwa kusomesha maafisa tabibu? Hii serikali inayojali afya ya watu wake inawezaje kweli kuona gharama kusomesha madaktari bingwa na badala yake kusomesha maafisa tabibu. Au inatumia ujinga wa watanzania kwamba mtu yeyote anaevaa koti jeupe ni daktari na hivyo wananchi watajua serikali yao imewapelekea madaktari wakati ni maafisa tabibu ambao tiba yao ni ya huduma ya kwanza?

      Nchini kenya kwa sasa madaktari bingwa wako katika ngazi ya hospitali ya wilaya, na wanamkakati wa kuhakikisha kwamba kila mtu anatibiwa na daktari bingwa ili apate tiba ya uhakika na hivyo afya yake kuboreka. Kwetu hata hospitali za rufaa hazina madaktari bingwa wa kutosha achana na hospitali za mikoa ambazo zenye bahati zina bingwa mmoja tu, na tunawaza kuongeza maafisa tabibu. Hivi kwa nini nchi hii badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma?

      No wonder mwaka jana walipunguza budget ya kusomesha madaktari bingwa na hata wale waliopata udahili walikosa udhamini, nilijua serikali haina pesa kumbe kwa mtazamo wao daktari bingwa si muhimu. Namuomba Hussein Mwinyi akiumwa awe wa kwanza kwenda kwa afisa tabibu kutibiwa aone kama hatapewa ppf injection hata kama ana malaria. Waziri Mwinyi ufikiri kwanza kabla ya kukejeli watanzania.

      Naomba kuwakilisha.
      Last edited by kapotolo; 19th August 2012 at 08:07.
      Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu

    2. Miaka 50

    3. #81
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,319
      Rep Power : 12954
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2499

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Anaweza kuwa amekosea kujieleza, lakini kimsingi tunahitaji uwiano wa madaktari bingwa na madaktari wa ngazi za chini

      Katika nchi ambayo dispensary nyingi za vijijini hazina hata maBwana Afya, kuwekeza kwenye madaktari bingwa pekee hakuna maana kwa sababu watu wengi mno wanakufa kwa maradhi ya kawaida ambayo yangesaidiwa kwa kuwepo madaktari wa ngazi ya chini.

      Pia, bila ya kuwepo kwa madktari wa ngazi ya chini, wagonjwa hawataweza kuandikiwa kuonana na daktari bingwa, hivyo huduma ya hawa madaktari bingwa itakuwa kwa wachache zaidi

      Kwa hiyo hapa ni suala la uwiano. Tunahitaji kusomesha madaktari wa ngazi ya chini wa ngapi kwa kila daktari bingwa mmoja?
      ZeMarcopolo and MAKAH like this.

    4. #82
      OLESAIDIMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 1,242
      Rep Power : 732
      Likes Received
      494
      Likes Given
      470

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By LUCIFER
      mwinyi ni daktar bingwa aliyesomea ugiriki..unfortunantly he z not accustomed with local figures(fees..etc)bt he knwz kusomesha dr bingwa its too expensive bcoz yeye ni dr bingwa..
      Empty headed.......yaaan ye kasoma halafu kwa wengine ndo iwe expensive????? Kama hiyo hela ingekuwa inafundisha mtu kuja kushona kandambili sawa.........mtu daktari bingwa uanategemea asome kwa ada ya chini?????? Isn't life the most expensive thing????? Na unaunga mkono ....eti ya kasomea Ugiriki.....sooooo??????

      Hiyo red unamaanisha nini??? Kwani mshara wake upo kwa currency gani??????
      Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)

    5. #83
      fangfangjt's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2008
      Location : MISRATA
      Posts : 483
      Rep Power : 661
      Likes Received
      33
      Likes Given
      18

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      huyu waziri yupo tayari kupeleka mtoto,mke au mzazi wake kwenye hospitali isiyo na daktari bingwa? Labda kupima malaria..... Sasa wananchi watakua wanaenda kwenye mahospitali kupima urefu, uzito, BP na malaria tu? katika jitihada za serikali kuhalalisha msimamo wake dhidi migomo ya madaktari na walimu , wanaishia kuongeza msuguano kati yao na wanataaluma...

    6. #84
      OLESAIDIMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 1,242
      Rep Power : 732
      Likes Received
      494
      Likes Given
      470

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By ZeMarcopolo
      Ukisomesha daktari bingwa inabidi umpe vifaa bingwa ili afanye kazi bingwa. Ukisomesha daktari bingwa bila kumpa vifaa bingwa matokeo ni migomo tu. By the way, kurugenzi ya mafunzo wizara ya afya ndiyo inayotengeneza vipaumbele vya mafunzo, kurugenzi hiyo inaongozwa na madaktari.
      Pro diaspora.....ndo mawazo yenu haya huwa uzalendo kwenu ni zero........sequential events
      Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)

    7. #85
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,181
      Rep Power : 5036
      Likes Received
      2423
      Likes Given
      2224

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By ZeMarcopolo
      Ukisomesha daktari bingwa inabidi umpe vifaa bingwa ili afanye kazi bingwa. Ukisomesha daktari bingwa bila kumpa vifaa bingwa matokeo ni migomo tu. By the way, kurugenzi ya mafunzo wizara ya afya ndiyo inayotengeneza vipaumbele vya mafunzo, kurugenzi hiyo inaongozwa na madaktari.
      Quote By OLESAIDIMU
      Pro diaspora.....ndo mawazo yenu haya huwa uzalendo kwenu ni zero........sequential events
      Mkuu OLESAIDIMU katika nilichoandika hapo ni kipi kilichokosa uzalendo? Au nini ambacho siyo cha ukweli. Ingekuwa vizuri kama tungejenga tabia ya kudeal na hoja badala ya kudeal na majina na maisha ya watu.
      "To greed, all nature is insufficient"

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      Fitinamwiko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Location : Bagamoyo
      Posts : 1,477
      Rep Power : 1996
      Likes Received
      393
      Likes Given
      531

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Dr. Mwinyi is out of touch, Baba alikuwa waziri, baadae Rais, nae anabebwa kulipa fadhila za Mzee. Hizi fikra za Mh waziri wa Afya ni sawa na zile za Mh Mponda kuleta Bajaja ambulancy kwa $10000 each na kuzipeleka vijijini.
      Kujuana, Takrima na Fadhila zinaliangamiza Taifa letu

    10. #87
      Gajungi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th September 2011
      Posts : 83
      Rep Power : 406
      Likes Received
      13
      Likes Given
      18

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By kapotolo
      Mkuu neurosurgery ni superspecialization, hufanywa kwa miaka miwili, isipokuwa anaefanya neurosurgery tayari anakuwa ni specialist, so labda ujumlishe miaka mitatu ya specialization na miwili ya superspecialization ndio inakuwa mitano. Mwinyi alizungumzia specialization, hakuna ya miaka mitano mkuu

      Kuwa neurosurgeon ni kuwa mpasuaji wa ubongo na spinal cord, sasa mtu huyu akiamua ku specialize kwenye ubongo au spinal cord pekee ndio superspecialization{fellowship }.

      It does not mean that this is super specialization of surgery
      ZeMarcopolo likes this.

    11. #88
      yetabula's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 57
      Rep Power : 381
      Likes Received
      9
      Likes Given
      3

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Sio kosa lake, kwani toka lini wizara ya afya na ustawi wa jamii (Tanzania bara) ikawa ya muungano?

    12. #89
      Join Date : 15th August 2012
      Posts : 70
      Rep Power : 10424
      Likes Received
      11
      Likes Given
      1

      Angry Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi aona kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Ndugu yangu unashangaa nini? kwani wao na familia zao wanatibiwa hapa bongo? siwanatibiwa INDIA na Ulaya? Kwani madaktari si walisha waeleza kuwa maofisa wa serikali wanalzimisha kupewa rufaa ya kwenda kutibiwa nje hata kwa ugonjwa unaoweza kutibika hapa bongo?wewe unadhani kinachofanya viongozi wakuu wa bongo wawe wanawarithisha na kuwakingia kifua watoto wao akiwemo MWINYI mwenyewe kushika nyadhifa serikalini nini,si ni kutaka kuepukana na huduma dhaifu za jamii zilizosababishwa na uongozi mbaya wa wazazi wao? Nenda shule za kata kama utamkuta hata mtoto wa wa afisa mtendaji wa kijiji,kama hizo ni shule bora watoto wao si ungewaona?
      THANKS

      Quote By kapotolo
      Sasa napata sababu kwa nini serikali haishtuki hata madaktari wakigoma, na pia napata maana ya kauli ya Mizengo Pinda ya Liwalo na Liwe.

      Waziri mwenye dhamana ya afya Hussein Mwinyi akihojiwa BBC leo asubuhi na mtangazaji wa kipindi cha haba na haba Noel Mwakalindile ambaye alitaka kujua kauli ya serikali juu ya upungufu wa madaktari bingwa, waziri akasema kwa sasa focus yao kubwa ni kusomesha wataalamu wa afya wa ngazi ya cheti na diploma kwa kuwa wao ndio wanahitajika zaidi. Amesema kusomesha daktari bingwa ni gharama kubwa kwani daktari bingwa anasoma miaka minne mpaka mitano. Kwanza huu ni uzushi, vyuo vyote tanzania madaktari bingwa wa fani zote wanasoma kwa miaka mitatu tu, isipokuwa KCMC ambako wanasoma kwa miaka minne. Hakuna hata chuo kimoja ambacho daktari bingwa anasoma kwa miaka mitano. Hii inanipa wasiwasi kuona kuwa waziri wetu hajui hata madaktari bingwa wanasoma miaka mingapi, Je waziri wa aina hii anawezaje kutuambia anajua gharama ya kumsomesha huyu daktari bingwa?

      Hivi kweli huduma bora za afya Tanzania zitaimarika kwa kusomesha maafisa tabibu? Hii serikali inayojali afya ya watu wake inawezaje kweli kuona gharama kusomesha madaktari bingwa na badala yake kusomesha maafisa tabibu. Au inatumia ujinga wa watanzania kwamba mtu yeyote anaevaa koti jeupe ni daktari na hivyo wananchi watajua serikali yao imewapelekea madaktari wakati ni maafisa tabibu ambao tiba yao ni ya huduma ya kwanza?

      Nchini kenya kwa sasa madaktari bingwa wako katika ngazi ya hospitali ya wilaya, na wanamkakati wa kuhakikisha kwamba kila mtu anatibiwa na daktari bingwa ili apate tiba ya uhakika na hivyo afya yake kuboreka. Kwetu hata hospitali za rufaa hazina madaktari bingwa wa kutosha achana na hospitali za mikoa ambazo zenye bahati zina bingwa mmoja tu, na tunawaza kuongeza maafisa tabibu. Hivi kwa nini nchi hii badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma?

      No wonder mwaka jana walipunguza budget ya kusomesha madaktari bingwa na hata wale waliopata udahili walikosa udhamini, nilijua serikali haina pesa kumbe kwa mtazamo wao daktari bingwa si muhimu. Namuomba Hussein Mwinyi akiumwa awe wa kwanza kwenda kwa afisa tabibu kutibiwa aone kama hatapewa ppf injection hata kama ana malaria. Waziri Mwinyi ufikiri kwanza kabla ya kukejeli watanzania.

      Naomba kuwakilisha.

    13. #90
      Tasia I's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2010
      Posts : 1,139
      Rep Power : 693
      Likes Received
      150
      Likes Given
      129

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Hivi mpaka leo hamuamini kua serikali hii ya CCM haipokwa ajili ya wananchi bali ni
      kwa ajili yake yenyewe???
      hata ikifanya jambo lolote, ni kwa ajili ya kuwazuga wananchi tu ili wazidi kuiweka
      madarakani.
      waziri gai bwana hata sauti kukaza anashindwa.........!unaatu.

    14. #91
      MGOGOHALISI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Posts : 78
      Rep Power : 425
      Likes Received
      8
      Likes Given
      69

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      nilishasema mimi zamaniiiii, ukiwa mjinga na mpiga domo sana kwa ccm unafaa sana kuwa kiongozi. Kwa hili usishangae mzee ni kawaida sana kwa magamba kupuuza wataalamu. Kwani umesahahu prof Maghembe alipokuwa waziri wa elemu aliposema wanafunzi wa vyuo vikuu wanaotaka computer eti wanatafuta anasa!!!!!!!!!

    15. #92
      Kapax's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th February 2011
      Posts : 176
      Rep Power : 454
      Likes Received
      17
      Likes Given
      2

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Mmmmmh niaheri unyimwe mikono so akili tanzania bana!

    16. #93
      langei's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2009
      Location : endim
      Posts : 325
      Rep Power : 548
      Likes Received
      162
      Likes Given
      64

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      mwinyi akamalizie intern nadhali anakosa mengi,shame on her

    17. #94
      OLESAIDIMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 1,242
      Rep Power : 732
      Likes Received
      494
      Likes Given
      470

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By ZeMarcopolo
      Mkuu OLESAIDIMU katika nilichoandika hapo ni kipi kilichokosa uzalendo? Au nini ambacho siyo cha ukweli. Ingekuwa vizuri kama tungejenga tabia ya kudeal na hoja badala ya kudeal na majina na maisha ya watu.....
      Were you pro-his explanation opposed or you were just a neutral observer mkuu.Well you sound offended let me say m sorry for that but as you say let us deal with the issues of which are not hanging in vacuum.

      The doers must be along the actions letting these issues on their own makes it difficult to deal with these matters.Tukiwahusisha watendaji na matendo inakuwa mwanzo mzuri wa watu kuwa responsible na matendo na matamshi yao na hiki kimekuwa kichaka kikubwa sana cha watu kujificha kwa kisingizio cha "tujadili mada na sio mtu"

      Well we can do that lakini ukweli ni kwamba waanzishaji wa mada, waathirika wa mada husika ni watu hao tunaoshauriwa tusiwahusishe in one way or another.

      It is true that we are to follow rules and principles but sometimes exceptions should be considered.

      Vivuli vyetu vitatufuata tu, tujiandae kuwa navyo
      .
      Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)

    18. #95
      LUCIFER's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th August 2012
      Posts : 100
      Rep Power : 361
      Likes Received
      32
      Likes Given
      41

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By OLESAIDIMU
      Empty headed.......yaaan ye kasoma halafu kwa wengine ndo iwe expensive????? Kama hiyo hela ingekuwa inafundisha mtu kuja kushona kandambili sawa.........mtu daktari bingwa uanategemea asome kwa ada ya chini?????? Isn't life the most expensive thing????? Na unaunga mkono ....eti ya kasomea Ugiriki.....sooooo??????

      Hiyo red unamaanisha nini??? Kwani mshara wake upo kwa currency gani??????
      hayupo kwenye dunia ambayo we upo...

    19. #96
      Sigma's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th February 2011
      Location : The 2nd House on the Left
      Posts : 4,258
      Rep Power : 0
      Likes Received
      915
      Likes Given
      613

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi aona kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By kapotolo
      Waziri Mwinyi ufikiri kwanza kabla ya kukejeli watanzania.

      if at all ana kichwa,
      he is another variant of coconut technology.
      kasongoro likes this.

    20. #97
      kasongoro's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 18th August 2012
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      inatisha sana mim naona viongozi wote wakubwa wangenyimwa kutibiwa nje wangeona faida ya madaktari bingwa

    21. #98
      Wachovu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 223
      Rep Power : 1112
      Likes Received
      44
      Likes Given
      0

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Quote By meningitis
      mzanzibar aliyeshika wizara isiyo ya muungano.
      Sio kosa lake hawa wapemba wana matatizo sana na watatuharibia nchi. Huyu bwana kwanza kasoma masomo ya kuunga unga si unajua tena mtoto wa mkubwa . Huko alikotokea na udaktari wake uchwara akaja kuomba kazi Muhimbili wakamtolea nje kaenda kwa Kairuki kwa kushikwa mtoto wa mkubwa maana baba yake ndiye aliyetoa kibali cha Kairuki kuufungua hospital private enzi zile kwwa hiyo wakawa wanalipa fadhira. Udaktari wakuunga kauacha katumbukia siasa . Mtoto kapewa vyeo lukuku si hajabu ndie kiongozi mkuu ajaye . tunategemea nini kwa mpemba kama huyu. Walalamishi hawa watu hawana maana . Kwa hiyo akiongelea mabingwa kutokuwa na muhimu najua ni upeo wake wa kufikiri.
      Jamani watu wengine kuwa mawaziri msidhani ni sababu ya bongo kuchemka ni watoto wa mafisadi wnabebwa

    22. #99
      Lawrence Luanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 604
      Rep Power : 499
      Likes Received
      51
      Likes Given
      0

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Huyu kaenda mbali na ukweli, madaktari bingwa wasipotakiwa upasuaji utafanywa na kina nani cuz naona wao ndo wanazifanya sana hizi....ni waTZ wangapi wana uwezo au link za kupelekwa nje ya nchi kutibiwa....inawezekana ile hoja ya Mh Ndugai kwamba kuna waheshimiwa wanachanganyikiwa kwa viroba na msuba ikawa na mashiko kwa kauli kama hizi

    23. #100
      maingu z's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 136
      Rep Power : 387
      Likes Received
      20
      Likes Given
      101

      Default Re: Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

      Lakini tuliwachagua wenyewe tena kwa mbwembwe na ushabiki .....ccm ni no one...nani wa kulaumiwa?

    Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...