Re: Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

By
Lokissa
acha porojo zako walimu wa UDSM hawako pale kufundisha siasa
labda kwa wale wa political science
nchi hii imejengwa na wengi waliopitia pale
Na ndio sababu iko hivi kisiasa. Poor tanganyika.
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Follow Us Here