Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 81
    1. #1
      OPORO's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 368
      Likes Received
      14
      Likes Given
      5

      Post Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Freeman Alkaeli Mbowe anaamini kuwa fursa ya CHADEMA kuchukua nchi ni 2015,hivyo ni fursa muhimu kwake kugombea urais kupitia CHARDEMA,ili afanikiwe ameamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA mwakani ili ajiweke katika nafasi nzuri kinyume na kauli yake kuwa hatagombea uenyekiti tena.

      Ili kufanikiwa kwa sasa mkakati unaoratibiwa na wafanyakazi wa CHADEMA ndani ya chama ni kuandaa na kuratibu mapambano dhidi ya Dr.Slaa anaeonekana kuwa kikwazo kikuu na kisiki cha mpingo kwake,hofu juu ya zitto inazidi kupungua kutokana na umri,kasha zinazozidi kumuandama Kabwe.

      Wapenda haki na mabadiliko ndani ya nchi hii,mwambieni Freeman Mbowe kuwa kwa sasa Dr.Slaa anafaa kwa vigezo vyote japo anamadhaifu mengi kama wanadamu wengine lakini ukimlinganisha na Mbowe utajua umuhimu wa Dr. Slaa.

      Naomba kusema haya kwa kuwa napenda mabadiliko yatakayohakisi maisha ya watanzania na si vinginevyo
      mchakachuaji1 and Panizo like this.

    2. Miaka 50

    3. #61
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,646
      Rep Power : 773
      Likes Received
      493
      Likes Given
      501

      Default

      Quote By JJB
      Sisi kama vuguvugu la madiliko hatuwatambui watu wa visiwani ( Zan & Pemb).
      Zanzibar wana wa2 1.5 million ambao wanaingia mara mbili kwa mji mzima wa Mwanza na wanaingia mara 9 kwa kanda ya ziwa.
      Chadema wanaitaji kushinda kwa kishindo KANDA YA ZIWA, KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, na KANDA YA KASKAZINI. Maeneo mengine ya nchi CDM watagawana kura na vyama vingine.
      Zanzibar haina umuhimu.

      Big up, Big up .....
      Wazenji ni ndugu zetu na wengi ni ndugu wa damu kabisa kwan walipelekwa kwa maana ya utumwa kutokea tanganyika- namaanisha sehem ya wazenji sio wote.

      Hivi karibun bila woga wala aibu ndugu zetu hawa wanatukataa waziwazi hadhalan! Tutajitahid kuwaomba kuimarisha undugu wetu nakama wataendelea kututosa hakuna sabab bali kuachana nao, na 'dhambi ya ubaguzi itakuwa juu yao na kuwafuata kwa kuwatafuna'-mwalimu JK nyerere.

    4. #62
      Mingoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2012
      Location : Not reachable
      Posts : 2,135
      Rep Power : 609
      Likes Received
      241
      Likes Given
      213

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      M4C ni mkakati binafsi wa Mbowe wa kujiimarisha kisiasa na aombe mungu mzee Mtei awepo mpaka kipindi cha uchaguzi vinginevyo jasho pua litamtoka.

    5. #63
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,646
      Rep Power : 773
      Likes Received
      493
      Likes Given
      501

      Default

      Quote By Mingoi
      M4C ni mkakati binafsi wa Mbowe wa kujiimarisha kisiasa na aombe mungu mzee Mtei awepo mpaka kipindi cha uchaguzi vinginevyo jasho pua litamtoka.

      Kama nikwa manufaa ya kuamsha watanzania kuzijua na kuzidai haki zao ni heri aimarike zaid huyo Kamanda Mbowe.

      -mwanza wanafaham haki zao na kwa jumla kanda ya ziwa yote.

      -mbeya wanafaham haki zao na kwa jumla kanda ya nyanda za juu kusin yote.

      -huko kusin tandahimba hawaibiwi korosho zao wanajua haki zao waulize polisi wakueleze

      -huko moro, kilosa nk

      Kama unaongea kwa kubeza na ukijua nguvu ya m4c pole. Kama hujui tembea mikoan ujionee mabadiliko usikalie propaganda wenzio wanahamia kwa Mbowe kwa sabab sera ya maisha bora kwa kila mtanzania imeshindwa na kinyume chake ni maisha balaa kwa watanzania maskin na bora kwa viongozi na familia zao na mafisadi.

      ww pia unakalibishwa upande wa kuzijua na kuzidai haki zako. Kumbuka ndugu zako huko vijijin waislam/wakritu wanataabika. Elim na afya ni aibu kubwa waonee huruma.
      mchakachuaji1 likes this.

    6. #64
      fredmlay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2008
      Posts : 1,515
      Rep Power : 868
      Likes Received
      265
      Likes Given
      931

      Default

      Quote By zomba
      wahesabu na ndugu zao wapenzi walioko bara nao nadhani unawajuwa na hata huko mwanza wako. Kisha hesabu kura zako. Ukishinda uchaguzi wa urais ntatembea uchi siku hiyo. Nakuahidi.
      noted/copied
      zomba likes this.

    7. #65
      kazikubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 600
      Rep Power : 557
      Likes Received
      137
      Likes Given
      7

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By malaka
      Mnataka kuhamisha majoka yenu huku CDM? Hii style ya uroho wa madaraka ipo Mwabwepande tu kaka sio huku. Pole
      Nitarudi baadaye ukishalala.

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,646
      Rep Power : 773
      Likes Received
      493
      Likes Given
      501

      Default

      Quote By Mingoi
      Mbowe ni coward!

      Mingoi ww, kusema tu coward haitosh. unasabab zipi kumwita mtu coward? Inawezekana akawa coward lakin tushawish kwa hoja na wakati unafanya hivyo uwe na mifano hai na vielelezo kuthibitisha kauli yako. Ukishindwa tambua fika ww ndo utakuwa coward.

      Simtetei mbowe, bali ni kuweka kumbukumbu sawa tu.

      Bila kusahau ulinganifu wa uzito wa kashifa mfano:-

      -chenge na vijisent

      -richomond na watawala wetu

      -Ccm na epa

      Nk, nk, nk .......

    10. SG8
      #67
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,555
      Rep Power : 4177
      Likes Received
      771
      Likes Given
      730

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By zomba
      Mie naona kwanza wangejaribu kupata japo nusu kitu (uwakilishi) huko Zanzibar.
      Zanzibar si nchi nyingine? Mwisho wenu 2014 tarehe 26 April siku ambayo katiba mpya itasema Zanzibar na tanganyika ni nchi mbili tofauti...Wewe ndio utakuwa wa kwanza kuruid kwenu Zenji zomba
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    11. #68
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3053
      Likes Given
      1017

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By Ritz
      Mkuu Kimbunga,
      Mbona umefanya makusudi umemsahu Lema na kundi lake.
      Mkuu Ritz kwani Lema naye ana kundi la Urais? Naona Zitto na Mbowe walishaenda kuwaona diaspora na Lema naye alishatia timu bado Dr. Slaa. Mkuu Ritz hayo makundi kwa hakika yapo lakini CDM wanaficha kichwa kama mbuni. Wangeamua tu kwamba mtu akipewa nafasi ya kujaribu apewe mara mbili mfululizo hivyo ingekuwa nafasi ya Dr. lakini kwa kuwa si hivyo basi kila mtu anataka ajipime. Kuna kosa kubwa linakaribia kufanyika nalo linaendana na usemi wao kuwa CDM hata ikiweka jiwe dhidi ya CCM jiwe litachaguliwa. Hii ni psychological war kuwaaminisha watu kuwa wananchi wameichoka CCM kiasi kwamba mtu yeyote anaweza kugombea kwa CDM na kushinda Urais.

    12. #69
      Laizer Ole Naibio's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 93
      Rep Power : 378
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Safari hii watu watajiangaisha sana. Watakwenda kwa waganga, watatumia propaganda, vyombo vya habari rushwa, vyombo vya dola nk. Lakini UKWELI NI KUWA RAIS WA TANZANIA AJAYE MUNGU AMESHAMWANDAA NA HAITEGEMEI CHAMA WALA NINI. KUSUDI LA BWANA NDILO LITAKALOSIMAMA MAWAZO YA WANADAMU YOTE YATAFUTIKA. TUSUBIRI TU MUDA.

    13. #70
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By Gerrard
      Zanzibar si nchi nyingine? Mwisho wenu 2014 tarehe 26 April siku ambayo katiba mpya itasema Zanzibar na tanganyika ni nchi mbili tofauti...Wewe ndio utakuwa wa kwanza kuruid kwenu Zenji zomba
      Kama nyie mna nguvu ya renaissance (M4C) sisi tuna nguvu ya umma. Hapo sasa.

      Umewahesabu na ndugu zao wapenzi wa Zanzibar walioko bara? si unawajuwa kina nani?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #71
      maria pia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 304
      Rep Power : 404
      Likes Received
      31
      Likes Given
      65

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      kweli wa2 cjui wakoje,mbona mnawasiwasi sna na slaa?saizi tupo busy na m4c mtahangaika sana

    15. #72
      Young zee's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 279
      Rep Power : 415
      Likes Received
      67
      Likes Given
      30

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      [QUOTE=Lunyungu;4457179]Akili za akina Mazomba hizi .
      CCM knows kwamba Mbowe amekuwa kisiki na Slaa .Sasa wanaanza majungu .Akili ndogo hizi haziwezi kuongoza kubwa .Mkakati umeshindwa kabla haujaanza .Mbowe is very smart na hana shida na Urais na yeye kugombea uenyekiti tena nakubali maana ameongoza vyema Chadema akiwemo Zitto na wote wana Chadema .Mbona hamsemi Lipumba na KAFU maana mnajua kisiki ni Chadema na viongozi wake[/QUOTE]

      Mkuu, Lunyungu hapo kwenye RED umemaliza. Na hii pia inathihirisha ule msemo " Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe".

    16. #73
      Seif al Islam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2011
      Posts : 1,078
      Rep Power : 538
      Likes Received
      261
      Likes Given
      393

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      huna hoja ndugu yangu.huu ni upuuzi mtupu.kwani wakati slaa alipogombea mwaka jana mbowe hakuwa mwenyekiti?

    17. #74
      makundi4619's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2012
      Posts : 485
      Rep Power : 442
      Likes Received
      135
      Likes Given
      388

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By OPORO
      Freeman Alkaeli Mbowe anaamini kuwa fursa ya CHADEMA kuchukua nchi ni 2015,hivyo ni fursa muhimu kwake kugombea urais kupitia CHARDEMA,ili afanikiwe ameamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA mwakani ili ajiweke katika nafasi nzuri kinyume na kauli yake kuwa hatagombea uenyekiti tena.

      Ili kufanikiwa kwa sasa mkakati unaoratibiwa na wafanyakazi wa CHADEMA ndani ya chama ni kuandaa na kuratibu mapambano dhidi ya Dr.Slaa anaeonekana kuwa kikwazo kikuu na kisiki cha mpingo kwake,hofu juu ya zitto inazidi kupungua kutokana na umri,kasha zinazozidi kumuandama Kabwe.

      Wapenda haki na mabadiliko ndani ya nchi hii,mwambieni Freeman Mbowe kuwa kwa sasa Dr.Slaa anafaa kwa vigezovyote japo anamadhaifu mengi kama wanadamu wengine lakini ukimlinganisha na Mbowe utajua umuhimu wa Dr. Slaa.

      Naomba kusema haya kwa kuwa napenda mabadiliko yatakayohakisi maisha ya watanzania na si vinginevyo
      Mlikaa wapi na Mbowe akakueleza dhamira yake hii? Naona umetumwa na MAGAMBA wanahofia mabadiliko. Poleni sana.

    18. #75
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      283

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By Kimbunga
      Mkuu hujasikia kuna mama anapitapita huku na huku kusafisha njia? Zitto ana kundi la vijana, Dr. Slaa ana ...........
      Hapo kwenye red Mkuu! Vijana walikuwa wanampenda Zitto before year 2009! Baada ya ule uchaguzi na baada Zitto kuandamwa na tuhuma lukuki Zitto kapoteza imani kutoka kwa Vijana wengi sana. Uliza vizuri. Au wewe mwenyewe fanya research hapo mtaani kwako unapokaa, waulize Vijana wanamuonaje Zitto? Utapata tathmini yao.

      TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

      [email protected]
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    19. #76
      Bitabo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 1,375
      Rep Power : 662
      Likes Received
      447
      Likes Given
      261

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini kwa sasa. Itakuwa busara sana uongozi wa juu wa CHADEMA uliopo sasa ukaendelea mpaka 2015 ipite. Tabia ya kubadili makamanda kwenye uwanja wa mapambano huwa unarudisha nyuma morali ya kivita hasa kama vita yenyewe inaelekea kuisha kwa ushindi.
      mchakachuaji1 likes this.
      Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

    20. #77
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,478
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3053
      Likes Given
      1017

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Mkuu TUMBIRI nakubaliana na wewe kwamba ushawishi wa zitto kwa vijana si kama wakati ule. Naamini kumekuwa na juhudi za makusudi za kumchafua. Siamini kama ni mchafu kiasi hicho. Ni kweli kuna vijana huwa wanajivhanganya na sisi wazee kwenye kijiwe chetu cha kahawa wanasema Zitto ni mvurugaji ukiwauliza kwa vipi wanakosa la kusema; wamesoma kwenye magazeti! Pamoja na hayo lakini bado Zitto ana kundi kubwa la vijana ndani ya CDM. Vijana wa CDM wanaungana kupinga uhafidhina ndani ya Chama chao.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    21. #78
      TUMBIRI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 1,856
      Rep Power : 3633
      Likes Received
      1114
      Likes Given
      283

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Quote By Kimbunga
      Mkuu TUMBIRI nakubaliana na wewe kwamba ushawishi wa zitto kwa vijana si kama wakati ule. Naamini kumekuwa na juhudi za makusudi za kumchafua. Siamini kama ni mchafu kiasi hicho. Ni kweli kuna vijana huwa wanajichanganya na sisi wazee kwenye kijiwe chetu cha kahawa wanasema Zitto ni mvurugaji ukiwauliza kwa vipi wanakosa la kusema; wamesoma kwenye magazeti! Pamoja na hayo lakini bado Zitto ana kundi kubwa la vijana ndani ya CDM. Vijana wa CDM wanaungana kupinga uhafidhina ndani ya Chama chao.
      Kimbunga,
      Mi nipo ndani ya CHADEMA kwa muda mrefu najua mambo mengi sana ya chama. Leo hii tukianza kufanya research kukusanya takwimu ya vijana ndani ya CDM ambao ni Pro-ZITTO hawatafika hata hamsini nchi nzima. Ingekuwa kabla ya mwaka 2009 ningekukubalia. Vijana wengi wamemtupa mkono Zitto.

      Ingawa wengi ukiwauliza kwa nini hawamtaki Zitto watakupa ushahidi huo huo wa kwenye magazeti ingawa siyo reliable. Lakini kutokuwepo kwa ushahidi ambao ni reliable haina maana kwamba anapendwa! Imani ni kitu kibaya sana. Watu wakishakuwekea doubt unahitaji kazi ya ziada kurejesha imani yao.

      TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
      [email protected]
      Kimbunga likes this.
      Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu

    22. #79
      mchakachuaji1's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 107
      Rep Power : 454
      Likes Received
      0
      Likes Given
      61

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Watanzania wameamka, M4C imefanya mabadiliko makubwa ya fikra za watu mpaka vijijini.

    23. #80
      blueray's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th September 2012
      Posts : 1,111
      Rep Power : 925
      Likes Received
      194
      Likes Given
      198

      Default Re: Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

      Hawa jamaa wa chadema makini aana, hawawezi kubugi! Hata hivyo muda Wa kuchagua mgombea uraisi bado. Sasa hivi ni kujenga chama.

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...