Pamoja kuwa Nape Nnauye aliahidi kuwa angeweka hadharani mpango wa CHADEMA kupokea pesa za misaada ktoka nje kwa siri,lakini baada ya kuhojiwa na kituo cha redio cha magic FM ameendeleza porojo;
fuatilia hapa:
Pamoja kuwa Nape Nnauye aliahidi kuwa angeweka hadharani mpango wa CHADEMA kupokea pesa za misaada ktoka nje kwa siri,lakini baada ya kuhojiwa na kituo cha redio cha magic FM ameendeleza porojo;
fuatilia hapa:
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
mbona watangazaji hawakumwuliza Nape kwa nini hajataja wafadhili wa ccm na mapato ya miradi ya ccm? mbona Nape anataka wachangiaji wa chadema tu waanikwe majina yao ili wawadhibiti siyo? wawajue ni akina nani halafu waanze kuwaandama kupitia serikali ya ccm na vyombo vya usalama?
BAK, Kibarua kikianza kukuvua nguo mbele za watu kama kinavyomvua Mizengwe P ni afadhali nikakiacha na kurudi kijijini nikalime! Kuna maana gani kuishi hapa duniani without a mm of self pride. Huku ni kudhalilishana au kujidhalilisha. Nchi ikiongozwa na watu wa namna hiyo hata siku moja haiwezi kupanga wala kuchagua yanayowafaa wananchi wake. Kinyume chake ni kuwa mambo muhimu huamuliwa na watu wasio na uchungu na nchi.
Je akiambiwa aeleze tangu CCM imeanzishwa imeshapata kiasi gani kutoka nchi zilizojifanya marafiki wa CCM ataweza kutaja? Siamini kama anafahamu ukubwa wa jambo analojaribu kuanzisha. Na sijui kama anafahamu kuwa wapo watu wanafahamu mambo mengi ambayo hataweza hata kuyasikiliza licha ya kuyaelewa.
This position needs matured politician. i am sorry but that is my position. Enough is enough! hatuwezi kuendelea kusikiliza pumba nyingi kiasi hiki. Muda mwingi sana unapotea wakati Taifa linazidi kutumbukia katika lindi la umaskini.
I can't take this anymore! Tunawaomba waandishi na wanahabari waache kutoa na kusambaza habari kama hizi kama vile ni habari muhimu sana. Watume watoto wa chuo walioko mazoezini wakahojiane naye. Arudhishwe dawatini huyu loh!
This is too cheap!
Nape yupo vizuri sana ila ni kazi sana kutetea uovu, uongo, ufisadi, umalaya na kuiteteea ccm ambapo mambo sasa yapo hadharani hata mtoto anajua kuwa ccm ndio inayo tutesa. mfano angevaa gwanda atetee maslahi ya wananchi mngeona kuwa nape ni kichwa. nape yupo vzr ila ccm ndiyo inamfanya aonekane chizi mfano kusimama kwenye umati wa watu na kusema maisha bora yameletwa na ccm hapo lazima uwe huna akili timamu kidogo ndio unaweza kuongea
Chezea nguvu ya umma wewe; utaumia
Follow Us Here