Re: Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015-
Ni jambo ambalo kila mtanzania mwenye mapenz mema na taifa hili anayasubiria.
Leo napenda kuandika juu ya mabadiliko makubwa ktk siasa za tanzania hasa pale chama tawala cc kitashindwa ktk uchaguzi wa urais baada ya uchaguzi kurudiwa. Watanzania tutegeme mabadiliko makubwa ktk uchumi wa Taifa hili maana ndipo ule wakati wa kila mtu kula kwa jasho lake, kutakuwa na ajira zakutosha,mfumuko wa bei utashuka.
Na kila mtanzania atapata staiki ya jasho lake. 2016, kutakuwa na kupandishwa mahakaman kwa watawala wengi kutokana nakutumia viti vyao vibaya.
Kwakweli ni mabadiliko makubwa sana Mungu atutangulie.
a daydreamer.................... ................lakini endelea kuota hizi njozi bila ya kuziwekea minofu......................ja ribu kujibu swali la "how" cdm itaweza kutafuna mfupa uliomshinda mzee fisi ambaye ni ccm?
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Follow Us Here