Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015-

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 22 of 22
    1. #1
      TumainiEl's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2010
      Posts : 513
      Rep Power : 582
      Likes Received
      92
      Likes Given
      0

      Default Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015-

      Ni jambo ambalo kila mtanzania mwenye mapenz mema na taifa hili anayasubiria.

      Leo napenda kuandika juu ya mabadiliko makubwa ktk siasa za tanzania hasa pale chama tawala cc kitashindwa ktk uchaguzi wa urais baada ya uchaguzi kurudiwa. Watanzania tutegeme mabadiliko makubwa ktk uchumi wa Taifa hili maana ndipo ule wakati wa kila mtu kula kwa jasho lake, kutakuwa na ajira zakutosha,mfumuko wa bei utashuka.

      Na kila mtanzania atapata staiki ya jasho lake. 2016, kutakuwa na kupandishwa mahakaman kwa watawala wengi kutokana nakutumia viti vyao vibaya.

      Kwakweli ni mabadiliko makubwa sana Mungu atutangulie.
      Dark City and Ame like this.


    2. #21
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,630
      Rep Power : 6255
      Likes Received
      526
      Likes Given
      421

      Default Re: Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015-

      Ni Kama vile Kwetu Pazuri

    3. #22
      ChiefmTz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2008
      Posts : 1,504
      Rep Power : 871
      Likes Received
      112
      Likes Given
      38

      Default

      Quote By Micro E coli View Post
      Bunduki muhimu usitegemee magamba wataachia nchi kilaini hilo sahau kabisa mkuu
      Itabidi uanze kumuua mama yako kama bado hujamfanya ndondocha

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...