Update kutoka facebook:-
Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba"
wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
Attachment 62326Attachment 62329Attachment 62350
Update kutoka facebook:-
Mwigulu ansema "Vua gwanda valisha mbwa ndiyo operation niliyoianzisha imezinduliwa iramba"
wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
Attachment 62326Attachment 62329Attachment 62350
Last edited by Kibanga Ampiga Mkoloni; 18th August 2012 at 19:56.
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Mwigulu najuta kuku support kwenye mbio zako za kuingia mjengoni kama ningali fore see kuwa kijana mwenzetu badala ya kuleta mapinduzi ya kifikra una behave kama unavyofanya hasa baada ya kupewa asali kwa ncha ya kisu would have never supported you kuingia mjengoni. Mara hii umesahau tuliyoya ongea wakati ule?
Hata hivyo kama hata mbwa wanakubali mabadiliko who cares?
Mwigulu! Mwigulu! Mwigulu duuuh jamaaa unajua kukera! Haya bana, operation vua gwanda valisha umbwaaa! Yaaan umbwa anavaa chadema? Yaan kwa iramba mbwa ndio wafuasi wa chadema!
Hahaha.. this is interesting
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
kweli hili amekufuru na kama akili yake inafanya kazi basi akapimwe
Siasa ya tanzania kwa sasa ni uadui na uhasama
Jimbo lishachukuliwa '15 na M4C...ametuokolea muda na energy!!CDM hakuna kujibu chochote kwa hili. We have a lott to do for this country not this **** and insane nigga!!
siku ikifika watajificha wapi? ni utoto wa kisiasa na hajabalehe kisiasa
I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!
Lengo na maudhui ya Mwigulu ni kukitabiria CHADEMA mabaya kwani wengi wetu twamchukulia mbwa kama ishara ya ubaya. Kwahilo hata mwenyekiti wake, JK na CCM watamchukia kwa hofu kubwa ya revenge ya wanaCDM. Nasikitika nyota yake Mwigulu imeshaingia gizani kwa laana ya wanyama na watanzania wa leo wanaoamini ukombozi wao uko mikononi mwa CHADEMA. Pole ndugu Mwigulu, ungehamisisha wanakijiji kujenga japo chumba kimoja cha walimu kule kijijini kwetu ingelipa zaidi.
Kwa upande mwingine kiuwkeli Mbwa ndiye mnyama pekee anayeheshimika na kupewa malazi bora, lishe bora, elimu hususan ya ulinzi na maisha bora. Ndiye mnyama ambaye hapendi uchafu ukiwemo nguvu za giza n.k. Uchafu huo CDM haumo. Hivyo kwa walewa wa wanyama hususan mbwa na paka. Umekipaisha CDM kwasana.
Kwakuwa ulikuwa na lengo baya kwa mnyama huyo, tunakushukuru sana Mwigulu kwa kutuonyesha tena kuwa tulikuchagua kwa makosa, hukustahili hata kidogo kuwa hata balozi wa nyumba kumi na tunakuahidi kuwa hatutorudia makosa hayo 2015.
Kazi anayo yani kamkutano kamoja tuu walichofanya CDM ndo kime m mweusha hivi.
Mwigulu ana matatizo ,tokea awali mambo yake ni mikosi tu,tena hiyo oparation yake ikiendelea itamfikisha pabaya inaonesha hajui hata maana ya bendela,hivi leo ikichukuliwa bendela ya ccm ikavishwa kenge au paka tutafikishana wapi?
Peoples Powerrrrrrrrrr inawachanganya magamba
Follow Us Here