re: JK kumkaribisha raisi wa Malawi kutembelea Tanzania, Membe na Lowasa wanajisikiaje?

By
Phillemon Mikael
Kwenye Sanaa ya Negotiation walichofanya Lowassa na Membe ....kinaweza kukubalika na hata kwenye War Strategies ..ni sawa....,kulikuwa na mikakati miiwili kwenye hili ambapo yote ingeweza kuwa sawa.
1. Membe na Lowassa ...wangeweza kushukua msimamo baridi ...Alafu Kikwete angekuja na msimamo Mkali zaidi
2. kwenye meza ya mazungumzo baadhi ya wajumbe wanawaza wakafanya. Storming...kubwa na hata..kutoka nje ya chumba ....ili kulainisha msimamo wa wapinzani........
PM ni kweli kabisa...wale wamesaidia kazi ya Rais kuwa nyepesi bila hata kutambua.
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Follow Us Here