Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Benson Bana kwa hili Umejipambanua

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 44 of 44
    1. #1
      Inkoskaz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : URT
      Posts : 4,495
      Rep Power : 7372
      Likes Received
      1105
      Likes Given
      1165

      Default Benson Bana kwa hili Umejipambanua

      Akizungumzia hitimisho la bunge lililopita ameainisha mambo mbalimbaliambayo hakika yamepambanua upeo wake kisiasa

      1.amezungumzia utoro wa wabunge unavyowakosesha umakini wa kufuatilia hoja na uhalali wao wa kuwawakilisha wananchi

      2.amezungumzia majibu ya mawaziri..hayalengi uhalisia wa mifumo ya nchi yetu bali yapo kibinafsi mno na kizimamoto zaidi ,amemchana naibu waziri wa Elimu mh Mulugo kwa namna anabyoyafanyia kazi matattizo ya walimu

      3.Ameupongeza upinzani kwa hoja zao..hususani Mh Tundu lissu kuwa japo hoja yake ilipingwa lakini ina ukweli.hoja ilikuwa ni udhaifu katika uteuzi wa majaji ambao ni nguzo katika muhimili wa tatu wa dola,hili halina ubishi kuwa nguzo hii si imara tena kwani nondo zilizotumika kuijenga ni dhaifu,pia amepongeza hoja ya Zitto na na Chenge katika marekebisho ya vifungu vya bajeti ya wizara ya fedha,ambavyo waziri na naibu walishavifumbia macho licha ya kujadiliwa na kamati ya fedha na kutolewa maamuzi

      4.amezungumzia tuhuma za rushwa kwa wabunge na kampeni za kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini kuwa ni jambo baya sana kwa bunge,japo tunasubiri taarifa ya kamati ya maadili iliyowahoji tayari ni dosari kubwa kwa watunga sheria

      5.amezungumzia upimaji wa uwajibikaji wa wa maamuzi ya bunge..yaani maazimio na utekelezaji.yaani maazimio wanayopitisha hayafuatiliwi utekelezaji wake,na wanapoanza kikao kingine hakuna tathmini ya ya kuangalia milestone na waliyokubaliana awali

      6.Ametoa rai yake kuwa kero yake kuu bungeni ni ileile tunayolia nayo hapa jf ya wabunge na mawaziri kupoteza muda wa bunge kutoa pongezi hadi kwa beki tatu na drivers na kuacha hoja za msingi

      Pia kazungumzia mfumo wa uhitimishaji budget ya fedha kuwa mwishoni ili kuchambua wizara nyingine vizuri..haina maana kupinga wakati mlishakubaliana katika overall budget ya fedha

      bravo Benson,kwa mtazamo huu umejipambanua
      Source:clouds FM PB on saturday


    2. #41
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,204
      Rep Power : 1859
      Likes Received
      1445
      Likes Given
      1560

      Default Re: Benson Bana kwa hili Umejipambanua

      Huyu ndie Dr Benson Bana..baada ya kuukosa ukuu wa wilaya na ubunge wa kuteuliwa sasa anafunguka.
      Inkoskaz likes this.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"




    3. #42
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st February 2012
      Posts : 3,122
      Rep Power : 0
      Likes Received
      741
      Likes Given
      0

      Default Re: Benson Bana kwa hili Umejipambanua

      Saa nyingine kumbe anafichaga ujinga wake akinyimwa buku mbili mitaa ya lumumba.
      Inkoskaz likes this.

    4. #43
      Fitinamwiko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Location : Bagamoyo
      Posts : 1,607
      Rep Power : 2026
      Likes Received
      421
      Likes Given
      560

      Default Re: Benson Bana kwa hili Umejipambanua

      Benson Bana anaelekea kuzuri, Serikali ya CCM ni mzigo na kuibeba ni ghalama
      Inkoskaz likes this.

    5. #44
      Inkoskaz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : URT
      Posts : 4,495
      Rep Power : 7372
      Likes Received
      1105
      Likes Given
      1165

      Default Re: Benson Bana kwa hili Umejipambanua

      Quote By MTK View Post
      Good for him; may help redeem his stature a bit maana wengi tulishamchukulia kama a mere piper blowing the tunes called by his paymasters! hasa remarks zake mbali mbali kwenye talk shows na upuuzi wa Ridet.
      Political Maturity!
      Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...