Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

    Report Post
    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast
    Results 81 to 100 of 128
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,709
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3963
      Likes Given
      426

      Default Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Vuguvugu la M4C linaloongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA limeonekana kutikisa chama cha wananchi CUF wilayani Kilosa ambapo mbali ya wanachama wengi sana wa CUF kujiunga CHADEMA pia Mjumbe wa mkutano Mkuu CUF Taifa Bwana Wille Lemi alijitoa rasmi katika CUF na kukabidhiwa kadi na Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.

      Katika mkutano huo Dr Slaa aliwataka wananchi wa vyama vyote kuunganisha nguvu kwa pamoja chini ya vuguvugu la M4C ili kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wananchi wanapata serikali itakayojali maslahi yao chini ya CHADEMA.

      Dr Slaa pia alishukuru mwitikio wa wanakilosa kutokana na mkutano huo kufurika umati mkubwa wa watu.Mbali na CUF kupoteza wanachama wengi pia mamia ya wanaCCM walikihama chama chao na kujiunga rasmi CHADEMA kuunganisha nguvu katika vuguvugu la M4C.Idadi ya wanachama wapya waliojiunga CDM katika mkutano wa Kilosa ulikuwa zaidi ya elfu moja.
      Kilosa ilikuwa ni mojawapo ya maeneo yenye wanachama wengi wa CUF lakini inaonekana ziara ya Dr Slaa imesimika rasmi CHADEMA kama chama kinachopendwa zaidi Kilosa.


      Last edited by Molemo; 17th August 2012 at 11:31.


    2. #81
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,709
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3963
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By HUGO CHAVES View Post
      baadhi ya watu wana mawazo HASI kuwa mabadiliko hayawezekeni ,ukweli ni kwamba mabadiliko yana wezekana wasiwe na hofu na wasiwasi wakubali wao wenyewe kubadilika na uzuri wa watanzania wa leo ni wajanja hawadanganyika
      Ni kweli mkuu hakuna lisilowezekana chini ya jua....

    3. #82
      mgen's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 5,773
      Rep Power : 3985
      Likes Received
      732
      Likes Given
      149

      Default

      Quote By njiwa View Post



      why -

      a ) chadema ni wakabila

      b) chadema ni chama cha kikanda

      c) chadema ni wadini "anti muslims"


      conclusion - chadema they will never ever kuja kukama madaraka tanzania "FACT" No discussion
      Ndio demokrasia hiyo bro! huwezi ukaizuia! Mimi nilie muiskamu, Mkristo au, Mmakonde, ima wa kanda ya kusini nikiona CDM Itanitetea nikuhofu wewe njiwa eti CDM haifai wewe ni nani? Utakufa wewe na kijiba cha roho! na sitashangaa kwa hiyo roho uliyo nayo nikisikia umekunywa sumu ya panya.

    4. #83
      Activister's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Location : ARUSHA
      Posts : 187
      Rep Power : 418
      Likes Received
      27
      Likes Given
      171

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Quote By dotto View Post
      ccm inakufa halafu kuna watu wanategemea mbinu za zamani za vyombo vya dola kama mlango wa kutokea. Piga taswira yaliyotokea huko mtwara jana ndo ujue mambo hayo yameshakwisha ndani ya mioyo ya watanzania.
      жзшеъщляхйфюююююююю:d
      Mfia nchi

    5. #84
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,540
      Rep Power : 37793
      Likes Received
      5014
      Likes Given
      2350

      Default

      Quote By njiwa View Post
      hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

      mmmh! Element za bange hizi!

    6. #85
      Mlengo wa Kati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2011
      Posts : 1,382
      Rep Power : 0
      Likes Received
      197
      Likes Given
      11

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Kulikua na Uchaguzi Kilosa? Chadema imepata kura ngapi? CUF wamepata kura ngapi? Ni uchaguzi wa nini?


    7. #86
      Concrete's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 1,741
      Rep Power : 987
      Likes Received
      461
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Chadema jamani basi inatosha, muda wa kampeni mbona bado halafu nyie mnaendelea tu, Tendwa na Sadi Mwema mpo wapi? Tunaomba muwazuie hawa.

    8. #87
      Mzizi wa Mbuyu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 3,398
      Rep Power : 1313
      Likes Received
      592
      Likes Given
      439

      Default

      Quote By njiwa View Post
















      Relax Dudes! the gentleman is trying to be realistic i mean come on!
      really ????? .. chadema kukamata madaraka ya hii nchi..??! that will
      never ever gonna happen!

      usijali Cuf ndio watashika dola huku nchi ikiongozwa kwa sharia!

    9. #88
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,424
      Rep Power : 25475
      Likes Received
      1146
      Likes Given
      913

      Default

      Quote By Ritz View Post
      Mkuu njiwa,
      Naona maneno yako yamekuwa sumu kila mmoja anakujibu kivyake mpaka wamesahu mada yao ya CUF kusambaratika.
      endeleeni kupeana faraja lakini CUF ndi hiyo inakufa kibudu na kule Zanzibar wamekuja na harakati za uamsho yaani CCM ni hoi taabani

    10. #89
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,486
      Rep Power : 2493
      Likes Received
      974
      Likes Given
      385

      Default

      Quote By njiwa View Post
      hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

      katiba yetu ya nchi inawaruhusu watu kama wewe kuja na maoni yenu hata kama ni ya aina hii

    11. #90
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,486
      Rep Power : 2493
      Likes Received
      974
      Likes Given
      385

      Default

      Quote By Communist View Post
      Umoja ni nguvu
      Utengano ni udhaifu, tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu

    12. #91
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,803
      Rep Power : 809
      Likes Received
      541
      Likes Given
      533

      Default

      Quote By njiwa View Post



      why -

      a ) chadema ni wakabila

      b) chadema ni chama cha kikanda

      c) chadema ni wadini "anti muslims"


      conclusion - chadema they will never ever kuja kukama madaraka tanzania "FACT" No discussion

      NJiwa wewe ni mwanadam, anafikiria, anatambua, anahisi na kutathimin.

      Ukabila
      Mbeya, mwanza, arusha mtwara nasasa morogoro cdm haikamatiki Niukabila gani unaouzungumza hapa? Isitoshe cdm inawabunge kutoka kanda zote hapa tz thibitisha kauli yako kuipinga yangu.

      Ukanda
      Unaongelea kanda gan?
      kigoma - zito
      Mwanza- Highness na Wenje
      Mbeya - Joseph
      Singida- Lisu
      Mara, Dar, Iringa nk. Kwa muundo na upatikanaji wa wabunge hawa thibitisha hoja yako ya ukanda kukanusha yangu kwamba hakuna ukanda bali majungu yasio na tija wala mantiki.

      Udin
      Udin unaletwa na watu kama wewe njiwa, usikubali kutumika tumia akili yako kama ulivyopewa na mungu.

      Prof safari, zito, mnyika, lisu ni mix ya waislam/wakristu sawa?

    13. #92
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,696
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      786

      Default

      Quote By Communist View Post
      Sijakuelewa, au ndo unaamka usingizini.
      Kalewa boha!

    14. #93
      hendeboy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th November 2010
      Posts : 151
      Rep Power : 467
      Likes Received
      12
      Likes Given
      5

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      viva viva CDM

    15. #94
      MARCKO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 1,590
      Rep Power : 724
      Likes Received
      183
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      ITV Wanatuhabarisha, TBC hawataki, lakini ngoja kidogo watabaki na nape pekeyake, maana hata JK sura yake inaonekana ka-give up.

    16. #95
      NG'ONGOVE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th April 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 5172
      Likes Received
      19
      Likes Given
      13

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Quote By njiwa View Post
      hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

      Endelea kuota ukiamuka kumbuka kupiga mswaki

    17. #96
      kibogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Location : MBEYA
      Posts : 1,805
      Rep Power : 722
      Likes Received
      448
      Likes Given
      337

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      CDM Inapiga kotekote aje CUF tunachukua aje CCM Ndo usiseme

    18. #97
      NG'ONGOVE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th April 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 5172
      Likes Received
      19
      Likes Given
      13

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Quote By Concrete View Post
      Chadema jamani basi inatosha, muda wa kampeni mbona bado halafu nyie mnaendelea tu, Tendwa na Sadi Mwema mpo wapi? Tunaomba muwazuie hawa.
      Mweee! huyu naye, " huwezi kuzuia moshi kwa kipande cha kanga" hujui hilo?

    19. #98
      TERREL's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th August 2011
      Posts : 50
      Rep Power : 408
      Likes Received
      4
      Likes Given
      6

      Default Re: Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

      Tunajua unaringia hiyo mitutu! Kumbuka hata goliath hakuamini kama david angemuadhiri vile. Wote walimdharau ama wewe! Hawakuamini, wani tuliye naye ni mkuu kuliko bundui na mabomu. Cdm wanayo busara na akuli wao wanayo maguvu na ujinga. Wapi na wapi. Tofauti kama usiku na mchana vile.

    20. #99
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,709
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3963
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By TERREL View Post
      Tunajua unaringia hiyo mitutu! Kumbuka hata goliath hakuamini kama david angemuadhiri vile. Wote walimdharau ama wewe! Hawakuamini, wani tuliye naye ni mkuu kuliko bundui na mabomu. Cdm wanayo busara na akuli wao wanayo maguvu na ujinga. Wapi na wapi. Tofauti kama usiku na mchana vile.
      Pamoja sana kamanda...Umenibariki sana kwa andiko lako hili..

    21. #100
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,345
      Rep Power : 1077
      Likes Received
      756
      Likes Given
      1005

      Default

      Quote By njiwa View Post



      why -

      a ) chadema ni wakabila

      b) chadema ni chama cha kikanda

      c) chadema ni wadini "anti muslims"


      conclusion - chadema they will never ever kuja kukama madaraka tanzania "FACT" No discussion
      kiingereza chenyewe kibovu ka nini sijui, ukisha taja chadema huna haja tena ya kusema 'they' maana hiyo 'they' inawakilisha chadema. Kwa hiyo ulipaswa kuandika 'chadema will never ever... bla bla bla' huu muda unaopoteza kuleta utumbo hapa kwa kufuata mkumbo utumie kufanyia mazoezi hilo.

    Page 5 of 7 FirstFirst ... 34567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...