Re: January Makamba, vipi ile ahadi juu ya makampuni ya simu?

By
Mess
Wana JF,
Labda mimi nipo nyuma ya wakati, huyu kijana aliahidi kushughulikia kero za simu kwa watumiaji. Ikiwamo message zinazoingia bila mpango, charges za simu, kutopatikana kwa simu wakati iko on, muingiliano wa mawasiliano, huduma za kutuma pesa na vitu vinginevyo.
Hivi amefikia wapi? Au ile ilikuwa ndo style ya kuingilia kula pesa kwa makampuni ya simu?
Naomba kujuzwa
Bunge la bajeti limeisha jana. Tumpe muda wa utekelezaji!
"If men can not live as men, they must atleast die as men" J.K. Nyerere.
Follow Us Here