Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.
Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea
Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?
halafu tunatafuta mchawi
cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni
profile ya kampuni ya MUBADALA na ABUDHABI INVESTMENT AUTHORITY hizi hapa:
Mubadala Development Company PJSC (Mubadala) was established in October 2002 as a Public Joint Stock Company and is a wholly owned investment vehicle of the Government of Abu Dhabi, in the United Arab Emirates.
Mubadala’s mandate is to facilitate the diversification of Abu Dhabi’s economy. Its focus is on managing long-term, capital-intensive investments that deliver strong financial returns and tangible social benefits for the Emirate. The company pursues opportunities with the potential to deliver strong social returns for Abu Dhabi as well as generating a commercial profit.[1]
Aerospace
Mubadala Aerospace aims to establish Abu Dhabi as a global aerospace hub, a cornerstone of the Emirate’s economic diversification strategy, through long-term, capital intensive investments. The integrated approach to the aerospace sector encompasses comprehensive manufacturing through to Maintenance Repair Overhaul (MRO) services. Mubadala has entered into collaboration agreements with global aerospace and aviation companies to build a high tech, end-to-end technology and manufacturing base.[3] Assets
Mubadala Capital serves as the primary vehicle for the company’s financial investing activities. Their investment strategy is based on value investing principles. The company invests throughout the capital structure in a diversified portfolio of global public and private securities by capitalizing on market dislocations. The unit manages a number of existing Mubadala investments including public market investments in AMD and GE, along with private investments in the Carlyle Group and the Related Companies. They also manage Mubadala’s fund investment activities.[9] Assets
GE
Advanced Micro Devices (AMD)
The Carlyle Group
Mubadala Infrastructure Partners
Energy
Mubadala Energy builds on Abu Dhabi’s heritage in oil and gas to pursue opportunities that will meet the Emirate's current and future energy demands. The primary focus is on upstream oil and gas opportunities. The company has expanded in regions including MENA, Central and South East Asia and the Caspian Sea. Mubadala is also active in R&D in the renewable energy sector and in developing technologies that will facilitate the commercialization and widespread adoption of alternative energy sources.[10] Assets
Nursultan Block (N Block)
Dolphin Energy
Masdar
Petrofac Emirates
PSN Emirates
Libya (Block 103)
Mukhaizna (Block 53)
Habiba (Block 62)
Karawan (Block 54)
Pearl Energy
Tatweer Petroleum
Healthcare
Mubadala Healthcare is playing an important role in the creation of a private healthcare sector for the Emirate. They do so by establishing long-term partnerships with international medical institutions to build sustainable businesses, create regional capability, and stimulate the overall development of the sector. Their first priority has been to address the region’s most pressing healthcare needs through the creation of specialist patient care facilities and ancillary services.[11] Assets
Abu Dhabi Knee & Sports Medicine Centre (ADKSMC)
Arzanah Wellness & Diagnostic Centre
Imperial College London Diabetes Centre (ICLDC)
Cleveland Clinic Abu Dhabi
Minhaal
Tawam Molecular Imaging Centre, Al Ain
National Reference Laboratory
Wooridul Spine Centre
Industry
Mubadala Industry pursues investment and development opportunities in those capital, energy or intellectual property-intensive sectors that can contribute to the wider diversification of Abu Dhabi’s economy. They invest in the upstream and mid-stream metals and mining industry, with the objective of facilitating the creation of a cluster of metals-related businesses in Abu Dhabi. The company is also supporting a growing requirement regionally for the provision of utilities and support services.[12] Assets
Mubadala Information & Communications Technology (ICT) invests in and develops a portfolio of global ICT assets to bring industry-leading facilities to the region. They have structured themselves to develop new projects, while managing existing assets in the three core areas of IT and technology, telecoms and satellite communications. The company’s goal is to establish a world-class cluster of ICT businesses in Abu Dhabi, creating employment opportunities and bringing expertise and knowledge to a sector that has been identified as important to the Emirate’s economic diversification.[13] Assets
du - Emirates Integrated Communications
Etisalat Nigeria
Injazat Data Systems
Prodea Systems
Al Yah Satellite Communications Company (Yahsat)
Infrastructure
Mubadala Infrastructure is helping to deliver the supporting infrastructure essential to the economic transformation of the Emirate of Abu Dhabi. They achieve this by entering into Public Private Partnerships (PPPs) and by working with global partners. They finance, build, own and operate state-of-the-art facilities in the United Arab Emirates, with major assets that include the UAE University, Paris-Sorbonne University, New York University and Tawam Hospital. Their initiatives also allow for third party investment in other areas of infrastructure, such as transportation.[14] Assets
Paris-Sorbonne University Abu Dhabi
UAE University
Zayed University, Abu Dhabi
Real estate and hospitality
Mubadala Real Estate & Hospitality (MREH) develops strategic commercial, residential and leisure districts that are central to Abu Dhabi’s long term development plans. These major projects are part of the Government’s Plan Capital 2030. Key developments include Arzanah, a 1.4 million square meter residential and mixed-use community development; Sowwah Island, the heart of Abu Dhabi’s new Central Business District; and the Mina Zayed Waterfront, a mixed-use leisure and entertainment district.[15] Assets
Sowwah Island
Sowwah Square
Rosewood Abu Dhabi
Four Seasons Hotel Abu Dhabi at Sowwah Island
Viceroy Abu Dhabi
Mina Zayed
Medini, Nusajaya, Malaysia
Viceroy Maldives
Partners
Capitala
John Buck International
Viceroy Hotel Group
PF Emirates
Services ventures
Mubadala Services Ventures develops and manages business in service-based industries which advance and support the diversification of the Abu Dhabi economy. They focus on financial services and leasing; defense (non-aerospace); maritime transportation; and integrated logistics.[16] Assets
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu Waziri wa mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Khalid Ghaanim Al Ghaith wakati yeye na ujumbe wake walipowasili kwa mazungumzoIkulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mhe.Ghaith anashughulikia pia masuala ya uchumi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka Umoja wa Falme za kiarabu(UAE) unaongozwa na Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Falme hizo mhe.Khalid Ghaanim Al Ghait (wapili kulia) wakati ujumbe huo ulipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Tanzania inawakaribisha wawekezaji ambao wataisaidia nchi, kutafuta, kuwekeza na kuongeza thamani zaidi ya maliasili ya gesi na mafuta kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Rais Kikwete amesema hayo leo asubuhi Ikulu, katika mazungumzo yake na Mheshimiwa Khalid Ghaanim Al Ghaith , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia mambo ya Uchumi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). “Tunawakaribisha wawekezaji kuja tusaidiane katika kutafuta mafuta na gesi, kwenye matumizi na hata kwenye kuwekeza katika viwanda ambavyo vitaongeza thamani zaidi kwa kutengeneza biadhaa zinazotokana na gesi.” Rais amesema. Naibu Waziri huyo amefuatana na wafanyabiashara wakubwa ambao wamekuja nchini kufanya mazungumzo na kuelezea nia yao ya kuwekeza hapa nchini. Wafanya biashara hao wametoka Shirika la Nishati la Abu Dhabi (Abu Dhabi National Energy), Shirika la Maendeleo la Mubadala (Mubadala Development Company, Shirika la Mawasiliano la Etisalat (Etisalat Telecommunication) na kutoka Shirika la Ndege la Fly Dubai. Wafanyabiashara hao pia wamefanya mazungumzo na maafisa wengine wa serikali katika wizara husika wakati huo huo Rais Kikwete leo amewaapisha Majaji wawili wa Mahakama ya Rufani na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama. Majaji walioapishwa leo ni Jaji Semistoclis Simon Kaijage na Jaji Kipenka Msemembo Mussa, na Kamishana wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Jaji Edward Mkandara Kakwezi Rutakangwa. Wakati huo huo Rais Kikwete leo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Vodacom group Bw. Peter Moyo na pia kuagana na Balozi Amour Zacarias Kupela wa Msumbiji ambaye anamaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Katika mazungumzo yao, Rais Kikwete na Balozi Kupela wameelezea uhusiano maalum uliopo baina ya Tanzania na Msumbiji kuwa ni wa kihistoria na ambao umezifanya nchi mbili hizi kuwa ndugu. Tanzania na Msumbiji zimekuwa mstari wa mbele katika mapambano ya Uhuru na Ukombozi wa nchi zilizo Kusini mwa Afrika kupitia vyama vya Frente De Libertacao de Mocambique (FRELIMO) na Tanganyika African National Union (TANU). Rais Kikwete na Balozi Kupela pia wamefahamiana miaka mingi ambapo kwa pamoja walikuwemo kwenye jumuiya za vijana za vyama vyao (Youth League) TANU kwa Tanzania na FRELIMO kwa Msumbiji. Katika kipindi hicho shughuli za ukombozi zilipewa umuhimu mkubwa kwamba ukipigania Msumbiji ni sawa na kuipigania Tanzania. Tanzania, Chini ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilitoa mchango mkubwa katika kukijenga chama cha FRELIMOhadi kuwa Chama imara cha Ukombozi nchini Msumbiji na Kusini mwa Afrika kwa ujumla.
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By Jasusi
Ndugu yangu J4Mayoka, ukitaka kujua thamani ya wanyama waulize Wachina. Au usiende mbali sana, waulize Afrika Kusini.
Sisi wetu tunagawa bure kwa sababu ya mentality hii kwamba wanyama wana thamani gani. Panda wa China, ambaye unamkuta kwenye zoo la Marekani, Uingereza na Ujerumani, anaiingizia China dola milioni moja kila mwaka, na akizaa, mtoto ni mali ya China, na baada ya muda, anarudishwa kwao. Sisi je? Tungeweza kuwaazima hao waarabu simba wetu kwa makubaliano ya malipo ya kila mwaka na baadaye waturudishie. Wanyama wana thamani.
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By J4MAYOKA
Nimeuliza twiga mmoja kiasi gani?
au nguchilo mmoja kiasi gani?
nyie kweli mnaishi dunia ya ajabu
sasa mnathamani wanyama kuliko binadam?
Nimekujibu Wachina walijipangia bei wenyewe. Dola milioni moja kwa mwaka kwa kila panda mmoja. Kuna ubaya gani kumtoza Mwarabu dola $200k kwa kila twiga kwa mwaka? Wewe ndiye unayeishi dunia ya ajabu. Afrika kuna sehemu zilinunuliwa na wazungu kwa shanga na kipande cha kitambaa. Naona wewe unatoka sehemu hiyo.
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By Jasusi
Nimekujibu Wachina walijipangia bei wenyewe. Dola milioni moja kwa mwaka kwa kila panda mmoja. Kuna ubaya gani kumtoza Mwarabu dola $200k kwa kila twiga kwa mwaka? Wewe ndiye unayeishi dunia ya ajabu. Afrika kuna sehemu zilinunuliwa na wazungu kwa shanga na kipande cha kitambaa. Naona wewe unatoka sehemu hiyo.
sasa 51% ya wabunge na mawaziri wenu wana degree feki au hawana kabisa
sasa mnamlaumu nini mwarabu? kosa lao ni nini hasa?
halafu Panga thamani yake huwezi linganisha na Nguruwe au Nguchilo
Panda sifa yao kubwa hawazai ndio maana thamani yao kubwa
sasa huwezi kulinganisha thamani yao na wale nguruwe waliopo serengeti
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By J4MAYOKA
sasa 51% ya wabunge na mawaziri wenu wana degree feki au hawana kabisa
sasa mnamlaumu nini mwarabu? kosa lao ni nini hasa?
halafu Panga thamani yake huwezi linganisha na Nguruwe au Nguchilo
Panda sifa yao kubwa hawazai ndio maana thamani yao kubwa
sasa huwezi kulinganisha thamani yao na wale nguruwe waliopo serengeti
Hiyo ya digrii fake anzisha thread yake tuchangie.
Lakini wanyama mwitu hawapatikani uarabuni. Sidhani kuna twiga uarabuni. Hiyo peke yake inatosha kumpa twiga bei kubwa kama nchi ya kiarabu inataka kumwazima au kumnunua kumweka kwenye zoo lake.
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By Jasusi
Hiyo ya digrii fake anzisha thread yake tuchangie.
Lakini wanyama mwitu hawapatikani uarabuni. Sidhani kuna twiga uarabuni. Hiyo peke yake inatosha kumpa twiga bei kubwa kama nchi ya kiarabu inataka kumwazima au kumnunua kumweka kwenye zoo lake.
Tayari ipo na kama kawaida mnaendelea kubishana nchi hii ishawahi kuwa na waziri wa fedha mwenye degree feki na wote mkawa comfortable nayo.
SYMBION wanakuibieni kila sekunde mbona hamlalamiki? mmekuwa emotional kwa sababu ya nguruwe huku binadam hawana dawa...hata sielewi priorities zenu ziko wapi
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
By J4MAYOKA
Tayari ipo na kama kawaida mnaendelea kubishana nchi hii ishawahi kuwa na waziri wa fedha mwenye degree feki na wote mkawa comfortable nayo.
SYMBION wanakuibieni kila sekunde mbona hamlalamiki? mmekuwa emotional kwa sababu ya nguruwe huku binadam hawana dawa...hata sielewi priorities zenu ziko wapi
Nani? Mkullo? Kuna wengine wanasema si Mtanzania, Ni Mmalawi/Mnyasa. Symbion imeletwa na Kikwete. Tunalalamika kuwa na rais mwizi katika Ikulu yetu lakini baadhi yenu mnamuona kuwa ni mtu makini sana kwa sababu zenu.
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
Kuna wawekezaji matapeli sana wanakuja nchini hapa na proposal za kijinga wakijua watz wamelala... Washasikia tuna mafuta na gas kila mtu anakimbilia bongo safi sana watimueni watu kama hawa wanataka kuja kusafisha hela za chafu za madawa ya kulevya kwa kisingizio cha kuwekeza

By mtotowamjini

yah kweli
hawa waarabu wa Abudhabi wanataka kuja kutuibia gesi yetu, mafuta yetu, nguruwe na nguchiro wetu
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
Pata muda upitie ibara # 2.2 (National Interest versus Market Forces) ya Sera ya Taifa ya Nishati ya 2003 ambayo inasisitiza maslahi ya nchi kuliko misukumo ya masoko na kibiashara pekee. Yeyote anatetaka kufanya biashara au kuwekeza hapa nchini lazima awe tayari kushindana na wengine na pia kufuata sheria na taratibu za nchi yetu zilizowekwa. Rudi kwa hao jamaa zako uwaulize kama walikuwa tayari kufuata taratibu za ushindani watakujibu. Tukiishi kwa kuangalia tu assets za kampuni inayotaka kuwekeza bila kutathmini vigezo vingine, inaweza kuwa hatari sana kwa Taifa. Ninashauri kuwa Wizara zote zifuate msimamo wa the extractive industries transparency initiative (EITI).
Have you ever wondered which hurts the most: saying something and wishing you had not, or saying nothing, and wishing you had?
Re: Waziri wa nishati na madini Mh Muhongo afukuza mwekezaji aliyetaka kuwekeza Usd 20 BILLION Tanz
Kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ktk kumruhusu mwekezaji kuwekeza, siyo Company Profile tu, na si kuvutiwa na kiasi cha pesa eti ni matirioni mangapi. Waziri kapewa dhamana hiyo, aaminiwe, kazi anayoifanya anaijua vema. Au unataka kusema wewe unajua kuliko yeye? Je waweza kutuambia tungefaidi vipi kupitia uwekezaji huo? Tusipende kulalama kwa kila jambo, huenda hata Zitto anajua ndo maana kakaa kimya.Au unafikiri nae kuna walakini? Na wewe unajua, ebu tuambie kizuri kilichomo ktk uwekezaji huo, siyo kutupa Profile tu na Currency exchange. profile ni maandishi tu.
Je Mheshimiwa JK unayo habari kuwa kuna mwekezaji (serikali ya UAE) alikuja Tanzania miezi 2 iliyopita na kuahidi angewekeza kwenye uchumi wa Tanzania dola bilioni 20 kwa mwaka kwenye miradi ya maendeleo na uchumi Tanzania kwa sharti la kutaka proposal yake ipitiwe lakini kilchotokea ni kuwa waziri SOSPETER MUHOGO aliwatimua na aligoma hata kujibu proposals walizokuja nazo hawa watu
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue alishapatiwa taarifa lakini kuna habari kuwa barua za malalamishi hazijafika kwa bosi wake...yaani JK.
Kuna watu wanajaribu kuizima hii habari lakini hii ndio Tanzania, nchi ya kufikirika ambayo wananchi wanafichwa na hawaambiwi kinachoendelea
Hivi mnajua 20 billion USD ni sawa na trilioni ngapi za Tanzania?
halafu tunatafuta mchawi
cha ajabu Zitto Kabwe ambaye ni waziri kivuli anajua hii habari lakini naye hakusema kitu bungeni zaidi ya kulalamika pembeni
profile ya kampuni ya MUBADALA na ABUDHABI INVESTMENT AUTHORITY hizi hapa:
Mubadala Development Company PJSC (Mubadala) was established in October 2002 as a Public Joint Stock Company and is a wholly owned investment vehicle of the Government of Abu Dhabi, in the United Arab Emirates.
Mubadala’s mandate is to facilitate the diversification of Abu Dhabi’s economy. Its focus is on managing long-term, capital-intensive investments that deliver strong financial returns and tangible social benefits for the Emirate. The company pursues opportunities with the potential to deliver strong social returns for Abu Dhabi as well as generating a commercial profit.[1]
Aerospace
Mubadala Aerospace aims to establish Abu Dhabi as a global aerospace hub, a cornerstone of the Emirate’s economic diversification strategy, through long-term, capital intensive investments. The integrated approach to the aerospace sector encompasses comprehensive manufacturing through to Maintenance Repair Overhaul (MRO) services. Mubadala has entered into collaboration agreements with global aerospace and aviation companies to build a high tech, end-to-end technology and manufacturing base.[3] Assets
Mubadala Capital serves as the primary vehicle for the company’s financial investing activities. Their investment strategy is based on value investing principles. The company invests throughout the capital structure in a diversified portfolio of global public and private securities by capitalizing on market dislocations. The unit manages a number of existing Mubadala investments including public market investments in AMD and GE, along with private investments in the Carlyle Group and the Related Companies. They also manage Mubadala’s fund investment activities.[9] Assets
GE
Advanced Micro Devices (AMD)
The Carlyle Group
Mubadala Infrastructure Partners
Energy
Mubadala Energy builds on Abu Dhabi’s heritage in oil and gas to pursue opportunities that will meet the Emirate's current and future energy demands. The primary focus is on upstream oil and gas opportunities. The company has expanded in regions including MENA, Central and South East Asia and the Caspian Sea. Mubadala is also active in R&D in the renewable energy sector and in developing technologies that will facilitate the commercialization and widespread adoption of alternative energy sources.[10] Assets
Nursultan Block (N Block)
Dolphin Energy
Masdar
Petrofac Emirates
PSN Emirates
Libya (Block 103)
Mukhaizna (Block 53)
Habiba (Block 62)
Karawan (Block 54)
Pearl Energy
Tatweer Petroleum
Healthcare
Mubadala Healthcare is playing an important role in the creation of a private healthcare sector for the Emirate. They do so by establishing long-term partnerships with international medical institutions to build sustainable businesses, create regional capability, and stimulate the overall development of the sector. Their first priority has been to address the region’s most pressing healthcare needs through the creation of specialist patient care facilities and ancillary services.[11] Assets
Abu Dhabi Knee & Sports Medicine Centre (ADKSMC)
Arzanah Wellness & Diagnostic Centre
Imperial College London Diabetes Centre (ICLDC)
Cleveland Clinic Abu Dhabi
Minhaal
Tawam Molecular Imaging Centre, Al Ain
National Reference Laboratory
Wooridul Spine Centre
Industry
Mubadala Industry pursues investment and development opportunities in those capital, energy or intellectual property-intensive sectors that can contribute to the wider diversification of Abu Dhabi’s economy. They invest in the upstream and mid-stream metals and mining industry, with the objective of facilitating the creation of a cluster of metals-related businesses in Abu Dhabi. The company is also supporting a growing requirement regionally for the provision of utilities and support services.[12] Assets
Mubadala Information & Communications Technology (ICT) invests in and develops a portfolio of global ICT assets to bring industry-leading facilities to the region. They have structured themselves to develop new projects, while managing existing assets in the three core areas of IT and technology, telecoms and satellite communications. The company’s goal is to establish a world-class cluster of ICT businesses in Abu Dhabi, creating employment opportunities and bringing expertise and knowledge to a sector that has been identified as important to the Emirate’s economic diversification.[13] Assets
du - Emirates Integrated Communications
Etisalat Nigeria
Injazat Data Systems
Prodea Systems
Al Yah Satellite Communications Company (Yahsat)
Infrastructure
Mubadala Infrastructure is helping to deliver the supporting infrastructure essential to the economic transformation of the Emirate of Abu Dhabi. They achieve this by entering into Public Private Partnerships (PPPs) and by working with global partners. They finance, build, own and operate state-of-the-art facilities in the United Arab Emirates, with major assets that include the UAE University, Paris-Sorbonne University, New York University and Tawam Hospital. Their initiatives also allow for third party investment in other areas of infrastructure, such as transportation.[14] Assets
Paris-Sorbonne University Abu Dhabi
UAE University
Zayed University, Abu Dhabi
Real estate and hospitality
Mubadala Real Estate & Hospitality (MREH) develops strategic commercial, residential and leisure districts that are central to Abu Dhabi’s long term development plans. These major projects are part of the Government’s Plan Capital 2030. Key developments include Arzanah, a 1.4 million square meter residential and mixed-use community development; Sowwah Island, the heart of Abu Dhabi’s new Central Business District; and the Mina Zayed Waterfront, a mixed-use leisure and entertainment district.[15] Assets
Sowwah Island
Sowwah Square
Rosewood Abu Dhabi
Four Seasons Hotel Abu Dhabi at Sowwah Island
Viceroy Abu Dhabi
Mina Zayed
Medini, Nusajaya, Malaysia
Viceroy Maldives
Partners
Capitala
John Buck International
Viceroy Hotel Group
PF Emirates
Services ventures
Mubadala Services Ventures develops and manages business in service-based industries which advance and support the diversification of the Abu Dhabi economy. They focus on financial services and leasing; defense (non-aerospace); maritime transportation; and integrated logistics.[16] Assets
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu Waziri wa mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Khalid Ghaanim Al Ghaith wakati yeye na ujumbe wake walipowasili kwa mazungumzoIkulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mhe.Ghaith anashughulikia pia masuala ya uchumi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na ujumbe kutoka Umoja wa Falme za kiarabu(UAE) unaongozwa na Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Falme hizo mhe.Khalid Ghaanim Al Ghait (wapili kulia) wakati ujumbe huo ulipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Tanzania inawakaribisha wawekezaji ambao wataisaidia nchi, kutafuta, kuwekeza na kuongeza thamani zaidi ya maliasili ya gesi na mafuta kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Rais Kikwete amesema hayo leo asubuhi Ikulu, katika mazungumzo yake na Mheshimiwa Khalid Ghaanim Al Ghaith , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia mambo ya Uchumi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). “Tunawakaribisha wawekezaji kuja tusaidiane katika kutafuta mafuta na gesi, kwenye matumizi na hata kwenye kuwekeza katika viwanda ambavyo vitaongeza thamani zaidi kwa kutengeneza biadhaa zinazotokana na gesi.” Rais amesema. Naibu Waziri huyo amefuatana na wafanyabiashara wakubwa ambao wamekuja nchini kufanya mazungumzo na kuelezea nia yao ya kuwekeza hapa nchini. Wafanya biashara hao wametoka Shirika la Nishati la Abu Dhabi (Abu Dhabi National Energy), Shirika la Maendeleo la Mubadala (Mubadala Development Company, Shirika la Mawasiliano la Etisalat (Etisalat Telecommunication) na kutoka Shirika la Ndege la Fly Dubai. Wafanyabiashara hao pia wamefanya mazungumzo na maafisa wengine wa serikali katika wizara husika wakati huo huo Rais Kikwete leo amewaapisha Majaji wawili wa Mahakama ya Rufani na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama. Majaji walioapishwa leo ni Jaji Semistoclis Simon Kaijage na Jaji Kipenka Msemembo Mussa, na Kamishana wa Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Jaji Edward Mkandara Kakwezi Rutakangwa. Wakati huo huo Rais Kikwete leo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Vodacom group Bw. Peter Moyo na pia kuagana na Balozi Amour Zacarias Kupela wa Msumbiji ambaye anamaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini. Katika mazungumzo yao, Rais Kikwete na Balozi Kupela wameelezea uhusiano maalum uliopo baina ya Tanzania na Msumbiji kuwa ni wa kihistoria na ambao umezifanya nchi mbili hizi kuwa ndugu. Tanzania na Msumbiji zimekuwa mstari wa mbele katika mapambano ya Uhuru na Ukombozi wa nchi zilizo Kusini mwa Afrika kupitia vyama vya Frente De Libertacao de Mocambique (FRELIMO) na Tanganyika African National Union (TANU). Rais Kikwete na Balozi Kupela pia wamefahamiana miaka mingi ambapo kwa pamoja walikuwemo kwenye jumuiya za vijana za vyama vyao (Youth League) TANU kwa Tanzania na FRELIMO kwa Msumbiji. Katika kipindi hicho shughuli za ukombozi zilipewa umuhimu mkubwa kwamba ukipigania Msumbiji ni sawa na kuipigania Tanzania. Tanzania, Chini ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilitoa mchango mkubwa katika kukijenga chama cha FRELIMOhadi kuwa Chama imara cha Ukombozi nchini Msumbiji na Kusini mwa Afrika kwa ujumla.
usichanganyikiwe na fedha wewe mleta mada. angalia madhumuni ya huyo mtu ana nia nzuri..usiwe mtu wa kukimbilia figure tu..utakuja kuoza watoto wako hata kwa watu wabaya kisa pesa..unaonekana wewe unafikiria kila kitu ni hela tu siyo mkuu.. na usifikiri miradi mikubwa kama hiyo kama ina nia nzuri Prof. siyo mwendawazimu akatae tu hivi hivi. hivi nikuulize unajua maana ya prof? na je mpaka kumwona yeye propsal hyo imepitia hatua ngapi? unafikiri Prof hana washauri? usitake kila mwenye hela akubaliwe kuwekeza kama na hivyo ukitangaza hata jioni haifiki wataitokeza hata mia 2. usikurupuke tumia akili kama huna za kutosha omba msaada kwa wenye za kutosha. maana nyinyi mnafikiri kujua kupost humo basi hapana post hivi vyenye majibu ya maswali ya msingi kabisa. Ahsate kwa kunielewa
Follow Us Here