Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

    Report Post
    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567
    Results 121 to 131 of 131
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,394
      Rep Power : 10868
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Post Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
      Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
      Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.

      Source:RAI Alhamisi

      My Take:
      Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.

    2. Miaka 50

    3. #121
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,394
      Rep Power : 10868
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Mercyless
      Hahahahahaha, CCM ina itikadi gani? Kweli ujinga ni mzigo mzito saaaana!!!!!! Hivi kipindi chote kile alipokuwa NCCR MAGEUZI kumbe lengo lilikuwa kujaza tumbo tu? sasa yupo na akina tumbo tumbo akili haifikiri tena. Hivi hakuna mwenye busara katika CCM nyakati hizi? Akisimama Mukama utumbo, akisimama Nape uozo mtupu, Wasira akisimama upuuzi tu, akisimama Pinda liwalo na liwe (huku akilia), akisimama Bagenda naye kumbe ndio matope matupu. Sipati jibu tulifikiaje kunaongozwa na watu hawa.
      Hakika kwa hili Bagenda amejivua nguo na kubaki mtupu.....

    4. #122
      OMEGA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2011
      Posts : 392
      Rep Power : 475
      Likes Received
      111
      Likes Given
      51

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Ninakumbuka huyu mzee alivyojificha chini ya kiti kule Tanga wakati wa kikao cha NCCR,hana jipya ni njaa inamsumbua,anapata vijisenti kwa kutumikia gazeti la Fisadi,hata hivyo anazeeka vibaya kwa aibu.

    5. #123
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,712
      Rep Power : 2263
      Likes Received
      599
      Likes Given
      783

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Duhhh watu wanaazeeka vibaya, Jamani JF kumbukeni neno hili, fainali uzeeni.
      Simple life is healthier than egoism.

    6. #124
      Omonto wa-hene's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 147
      Rep Power : 388
      Likes Received
      39
      Likes Given
      37

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Quote By fmpiganaji
      Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
      Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
      Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.

      Source:RAI Alhamisi

      My Take:
      Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.
      Pana mwanajamvi mmoja nilimshikia panga kwa makosa. Kumbe anayestahili ni huyu Prince!

    7. #125
      juu kwa juu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 206
      Rep Power : 451
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      mallya we ndio uliyemuua wangwe?

    8. Study Abroad

    9. #126
      Ulimakafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Itabanya Balasi
      Posts : 10,905
      Rep Power : 2595
      Likes Received
      690
      Likes Given
      1609

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      bure kabisa........

    10. #127
      Idimi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2007
      Location : Ikwiriri
      Posts : 4,648
      Rep Power : 13618
      Likes Received
      834
      Likes Given
      318

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Quote By Katavi
      Dah....!! aliandika hadi kitabu cha kumsifia JK?
      Ndio.
      Ilikuwa ni immediately baada ya JK kuwa raisi, kilitoka mwanzoni mwa 2006, kwa matarajio kwamba JK angemkumbuka kwenye ufalme wake. Kipindi hicho JK alikuwa hajateua DCs na RCs. Upo hapo?
      A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
      [email protected]

    11. #128
      Zak Malang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2008
      Posts : 4,835
      Rep Power : 1921
      Likes Received
      187
      Likes Given
      2

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Ushauri kwa MODS: badilisha heading ya thread hii isomeke: "Prince Bagenda ashambuliwa vikali kwa kuinanga M4C." Nasema hivyo kwa sababu kutokana na great majority of posts zilizowekwa humu, ni hakika yeye Bagenda ndiyo ameshambuliwa vikali!
      Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

    12. #129
      Monyiaichi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 540
      Rep Power : 454
      Likes Received
      113
      Likes Given
      69

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      mwaka 1982/83 kama sikosei kulikuwa na ile mob ya kupindua serikali ya J.K.N hivi bagenda aliyehusika ni huyu au mwingine?

    13. #130
      TERREL's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th August 2011
      Posts : 50
      Rep Power : 404
      Likes Received
      4
      Likes Given
      6

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Prince sio mwanasiasa mongwe, huyu ni mharibifu mkongwe wa siasa za vyama vingi atia uganga njaa tu

    14. #131
      IsayaMwita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2008
      Location : Tarime
      Posts : 1,037
      Rep Power : 868
      Likes Received
      81
      Likes Given
      6

      Default Re: Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

      Quote By ChescoMatunda
      Kumbe nae Bangenda yupo!! Sijasahau uvurugaji walioufanya kwenye chama cha Nccr kumbe walikuwa hata hawaamini walichokuwa wanasema wakati ule na asome alama za nyakati huyo mzee sasa. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
      Bagenda amesahau kigezo cha muda, mitandao(internet) leo tunaweza kujadili kinacho endelea ktk taifa letu kwa kutumia mitandao na pia uwelewa wa kizazi hiki ajue kuwa watu hawawezi tena.Hawawezi kutulisha utumbo wao tena, no feedback..

    15. FemaTV & Radio
    Page 7 of 7 FirstFirst ... 567

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...