Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Safari za Kikwete zazaa matunda...

    Report Post
    Page 14 of 14 FirstFirst ... 4121314
    Results 261 to 279 of 279
    1. #1
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

      Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

      Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

      Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    2. RukaaJuu Final

    3. #261
      tubadilike-sasa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2012
      Posts : 480
      Rep Power : 465
      Likes Received
      99
      Likes Given
      278

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Nani aliokudanganya?
      Aliyenidanganya nini?

    4. #262
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By Allen Tarimo
      Hata aibu huna!!!!!!hivi waalimu 47 wanaweza kutoa elimu kwenye shule ngapi nchi hii?kwann asiboreshe maslah ya waalimu wazalendo walioko kwenye mgomo baridi ili wafanye kazi yao vizuri?kwann asijenge maabara zinazokidhi ili wanafunzi wa masomo ya sayansi wafanye practical?sasa hao wamarekani 47 wamekuja na maabara zao?hebu tubadilike tuwe na uchungu na mustakabali wa elimu katika nchi yetu,sio kusifia UJINGA.
      Hivi wewe unaakili sawasawa? kama unazo, pitia nyuma huko, umekurupuka, hilo lishajadiliwa. Usidandie treni kwa mbele.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    5. #263
      Mr. Zero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2007
      Posts : 4,076
      Rep Power : 1436
      Likes Received
      481
      Likes Given
      72

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

      Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

      Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

      Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.

      Mtamtetea sana lakini hateteeki, mtambeba sana lakini habebeki...................... ........ Kwenye zile ahadi za Kigoma kuwa Dubai, Mwanza kuwa California, Kujenga uwanja wa ndege Bukoba, Kununua Meli Ziwa Nyasa (ambalo siyo letu).......................n. k. Hii ya kuleta walimu kutoka Marekani aliitolea mkoa gani vile???
      "The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)

    6. #264
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By msnajo
      We Zomba kweli unaona ni sahihi kuleta mamluki wa kuiangamiza elimu yetu kabisa!! Curriculum ya Tanzania ni tofauti na ya US, hawa walimu watafundisha kitu gani walichosoma US? Ukitazama hawa walimu kutoka US, mara nyingi wanakuwa shallow sana. Bora wangekuwa wametoka UK! Kuna ugumu gani kuandaa hawa walimu wa science na kuwalipa vizuri ili waweze kuitumikia Nchi yao?? Huku naona ni kuwapoteza kabisa watoto wa maskini. Hawa walimu wengi wanakuwa wanafundisha mamichezo tu!! Je hawa walimu watalipwa au kujitolea?? Zomba jiulize swali moja, "watafundisha mjini au ni hadi vijijini"? Kama watafika hadi vijijini, mtawaweka wapi, ni kule walimu wetu waliozea shida wanakoishi au?? Hapa mnazidi kutupoteza ndg yangu!!
      Tujadili kwa kina Mkuu!
      Kama hujui aliyeiangamiza elimu, tuulize tuliokuwepo. Pitia juu huko tumeelezea kwa uchache.

      Kwa kukujuza tu, somo la sayansi, ni moja uwe China uwe USA, uwe Tanzania, unaonesha hujui science ni nini.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    7. #265
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By tusichoke
      Wale ni watalii sio walimu,wamekuja kuangalia namna bora ya kuvuna URANIUM toka kwenye nchi waliouziwa, fuatilia wanafunzi wanaokwenda kusoma marekani wa kidato cha tatu kwa mwaka mmoja wakirudi wanapelekeshwa sana na wenzao waliowaacha tanzania, timizeni na wapeni walimu wazawakipaumbele kwa kuwalipa stahiki zao na maslahi bora muone performance itakavyokuwa sio kupiga siasa tu
      Uranium imeshaanza kuchimbwa, umelala?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    8. Miaka 50

    9. #266
      rmashauri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Location : Ng'wanza Sukuma
      Posts : 2,863
      Rep Power : 1201
      Likes Received
      354
      Likes Given
      684

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

      Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

      Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

      Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.
      Zomba unauhakika gani kama hawa ni walimu kweli na si majasusi wakupeleleza kujua vizuri rasilimali zetu waje waibe. Binafsi nilishapoteza imani na Wamarekani.
      Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)

    10. #267
      rmashauri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Location : Ng'wanza Sukuma
      Posts : 2,863
      Rep Power : 1201
      Likes Received
      354
      Likes Given
      684

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Kama hujui aliyeiangamiza elimu, tuulize tuliokuwepo. Pitia juu huko tumeelezea kwa uchache.

      Kwa kukujuza tu, somo la sayansi, ni moja uwe China uwe USA, uwe Tanzania, unaonesha hujui science ni nini.
      Waulize waliosoma Mkwawa High School miaka ya 90 watakuambia vizuri habari za mwalimu mmoja wa kemia kutoka Uingereza Mr. Gordon alivyokua "mweupe" na kituko darasani. Aliiona syllabus ya A-level ya TZ kama Chuo kikuu kwao, mambo yalikuwa yanamwia vigumu.
      Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)

    11. #268
      fugees's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Location : dar es salaam
      Posts : 586
      Rep Power : 458
      Likes Received
      62
      Likes Given
      0

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      zomba your in possession of counterfeted brain in your head. Which fruits are talking about? those maembe from tanga? Or which one! Can 47 teachers cover the gape? Nhaa be serious friend. Or that one of transfaring our few survived animals to arab emirate? Or which one or that of iranian vessels fraging with our frag? How poor you are. I didnt see the kidness ever before. Ha ha ha ha let make a small justerposion between we and our fellow Rwanda it is fun to head of state dont know even simple question that why your people are poor. Dont make your head patient of religious foliousity try to help your country without point of religious control. The time when you will walkout frow day dreaming it will be to rate to your country. Who is your real enemy? If you known join him to fight withn his womb .my friend it is time renew your thnught and come up with a new sensable thread other wise you bf with malicious error to your presiden and if some one is behind your though tell enough is enough. Or are happy to see many restondings to your thread?
      Nicholas likes this.

    12. #269
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,269
      Rep Power : 3568
      Likes Received
      3074
      Likes Given
      464

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Waalim wa sayansi 47 kutoka USA wameapishwa leo ubalozi wa Merekani. Wamejitolea kuja kufundisha shule za Sekondari za Tanzania baada ya kuombwa rasmi na Mheshimiwa Rais Kikwete.

      Ahsante Kikwete. Inanikumbusha wakati nasoma, enzi hizo, tulikuwa na Waalim kutoka Australia, India, Uingereza kwa uchache na mambo yallikuwa swaafi kabisa,

      Hii ni fursa kubwa kwa Waalim wetu kujifundisha mbinu za wenzetu nasi kuwaonesha uwezo wetu nao wajifunze kutoka kwetu.

      Haya wanafunzi, kazi kwenu na Mungu awasaidie muwe wanafunzi wazuri wa kuigwa na hawa Wamerekani wapeleke salaam njema kwao ili waje na wengine wanaosuasua.

      Nyerere alikuwa hafanyi ziara Nje tulikuwa na Waalimu wa Kinorway; Kiswidish; Australia; Kirusi; Kimarekani; Kidemnark

      Sasa Unasema hizo trip 50 za US anapata waalimu 47? Oh, Tutafika kweli? Na ni Shule Gani hao 47 watafundisha?

      Shule za Kata, Shule za Jamii, Shule za Serikali au Shule za Private?

    13. #270
      hukumundo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th October 2011
      Posts : 89
      Rep Power : 403
      Likes Received
      26
      Likes Given
      7

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Walikuwepo kabla ya Nyerere na Keneddy au hulijui hilo?
      Kama ni Peace Corps, basi ilianzishwa na John F. Kennedy. Haikuwepo kabla yake.

    14. #271
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By hukumundo
      Kama ni Peace Corps, basi ilianzishwa na John F. Kennedy. Haikuwepo kabla yake.
      Hapana naongelea Waalimu, hata Nyerere alikuwa na Mwalim wa Kimerekani, au hujui hilo? wakati huo peace corps walikuwa hawajaanzishwa na Kennedy.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    15. #272
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By nngu007

      Nyerere alikuwa hafanyi ziara Nje tulikuwa na Waalimu wa Kinorway; Kiswidish; Australia; Kirusi; Kimarekani; Kidemnark

      Sasa Unasema hizo trip 50 za US anapata waalimu 47? Oh, Tutafika kweli? Na ni Shule Gani hao 47 watafundisha?

      Shule za Kata, Shule za Jamii, Shule za Serikali au Shule za Private?

      Waalimu wanakuja wengi sana, kila mwaka tena wakujitolea kutoka nchi tofauti duniani, usibadili mada, hawa nnawaongelea mimi wamekuja mahsusi kwa kendeleza masomo ya sayansi pekee. Na hivi karibuni wanakuja wengine wa hayo hayo masomo ya sayansi kutoka India, hii ni effort aliyoitangaza Kikwete bungeni mwaka 2010 ya kupa kipaumbele masomo ya sayansi. na ameona baada ya kufanya vizuri kwenye vyuo vikuu sasa aje kwenye grass roots awapate wanasayansi kuanzia chini. Funguka.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #273
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By rmashauri
      Waulize waliosoma Mkwawa High School miaka ya 90 watakuambia vizuri habari za mwalimu mmoja wa kemia kutoka Uingereza Mr. Gordon alivyokua "mweupe" na kituko darasani. Aliiona syllabus ya A-level ya TZ kama Chuo kikuu kwao, mambo yalikuwa yanamwia vigumu.
      Na Mkwawa hiyo hiyo ndio kuligunduliwa the "mpemba effect", unaijuwa?
      rmashauri likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    17. #274
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,848
      Rep Power : 2972
      Likes Received
      2454
      Likes Given
      3538

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Zomba,

      ..hivi ndivyo Jenerali Ulimwengu alivyo-summarise kuhusu mfumo wa elimu ya Tanzania.

      Quote By Jenerali Ulimwengu

      TUNAWEZA kuteua, kama Taifa: ama tutafute elimu endelevu ama tutafute ujinga endelevu.

      Ninasema tunaweza “kuteua” si kwa sababu jamii inaweza kuteua, kwa makusudi, kuendeleza ujinga, na kwa kweli kila mara itakuwa inasema kwamba inatafuta elimu.

      Kinachoifanya jamii hatimaye ionekane kama iliyoteua ujinga ni jinsi inavyoenenda katika kutafuta hiyo elimu inayosema inaitafuta.

      Kwa mfano, tunateua kuendeleza ujinga na kujenga misingi ya ujinga endelevu nilioujadili huko nyuma kwa kukazana na ujenzi wa vyumba vya “madarasa’ katika “shule’ zisizokuwa na walimu wenye sifa za ualimu wala vitabu.

      Tunaweza tukaangalia majengo mazuri na tukaamini kwamba tumepata shule, kumbe ni majengo matupu ambayo yangeweza kutumika kama maghala ya tumbaku au vyumba vya kuhifadhia maiti (mochuari).
      Jasusi likes this.

    18. #275
      kookolikoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 1,954
      Rep Power : 754
      Likes Received
      281
      Likes Given
      147

      Default

      Quote By zomba
      Kama hujui aliyeiangamiza elimu, tuulize tuliokuwepo. Pitia juu huko tumeelezea kwa uchache.

      Kwa kukujuza tu, somo la sayansi, ni moja uwe China uwe USA, uwe Tanzania, unaonesha hujui science ni nini.
      technology has no ideology
      zomba likes this.

    19. #276
      Tram Almasi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Location : Marsabit
      Posts : 753
      Rep Power : 672
      Likes Received
      217
      Likes Given
      92

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Ninapata uoga sana kuona hii picha ya kuthamini na kusifia wataalam kutoka nje kuwa ni mwarobaini wa matatizo yetu. Ninatatizika kuona baadhi yetu tunaamini kwamba matatizo ya elimu hapa nchini yatatuliwa na waalim toka nje ambao watakuja na kukaa kwa kipindi kifupi sana. Je, uwepo wa hawa waalim unasaidia matatizo ya waalim nchini?
      Ndio haya matatizo ya kuamini daktari toka India anayekuja na kukaa kwa wiki moja anaweza kutatua matatizo ya afya ya watanzania wakati yeye anakuja kibishara zaidi na hasa hasa 'ku-poach' wagonjwa wa kwenda kutibiwa kwao.
      Let us wake up na kutukuza na kukitunza chetu,. Proudly Tanzanian!
      Jasusi and JokaKuu like this.
      "YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs

    20. #277
      Matawana's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 127
      Rep Power : 441
      Likes Received
      25
      Likes Given
      0

      Cool Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By Father of All
      Upuuzi mtupu. Ukilinganisha gharama za safari za JK na kile watakachochangia utajua nimaanishacho kwa kusema upuuzi mtupu. Kwani rais ni waziri wa elimu? Hili la kuomba walimu laweza kufanyika hata hapa hapa Dar kupitia ubalozi wa Marekani. Ingawa mleta mada ni shabiki wa JK angetafuta kitu kinachoingia akilini badala ya habari hii ya kidaku na kinazi.
      Tatizo letu ni zaidi ya upungufu wa walimu wa sayansi. Kama kungelikuwepo na incentives vijana wangi wangejiunga na masomo ya sayansi na kuwa waalimu bora wa kizazi kijacho. Wanafunzi sasa hivi hawataki kusoma masomo ya sayansi. Nani anataka kusomea udaktari kwa miaka 6 kwa mshahara huu? Hata kozi nyingine za sayansi, watoto wanakwepa.
      Father of All likes this.

    21. #278
      ITEGAMATWI's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,672
      Rep Power : 0
      Likes Received
      425
      Likes Given
      828

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Halafu kumbe hadi kiswahili kinapanda aisee!Hebu ona hii script kuanzia dk ya kwanza mpaka ya pili. Wamarekani kujitolea ndani ya Tanzanai katika kazi za jamii - YouTube

    22. #279
      rmashauri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Location : Ng'wanza Sukuma
      Posts : 2,863
      Rep Power : 1201
      Likes Received
      354
      Likes Given
      684

      Default Re: Safari za Kikwete zazaa matunda...

      Quote By zomba
      Na Mkwawa hiyo hiyo ndio kuligunduliwa the "mpemba effect", unaijuwa?
      Hii ndo naisikia kwako, hebu nidadavulie Zomba ni kitu gani hiyo?
      Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)

    Page 14 of 14 FirstFirst ... 4121314

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...