Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

    Report Post
    Page 1 of 9 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 175
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3961
      Likes Given
      426

      Post Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amefanyiwa hujuma kubwa mkoani Morogoro kwa kufukuzwa chumba cha kulala wageni ndani ya chuo cha ufundi VETA, Mikumi Kilosa.

      Kiongozi huyo ambaye alikabidhiwa chumba hicho na viongozi wa CHADEMA kikiwa kimelipiwa kila kitu na akaingia lakini ghafla akaja Meneja wa hoteli hiyo Jacob Sumary na kumtaka Kiongozi huyo wa upinzani nchini kuondoka mara moja kwenye hoteli hiyo kwa sababu tayari ilishalipiwa na mtu mwingine.

      Kwa ustaarabu mkubwa na kutokutaka mabishano Dr Slaa aliondoka.

      Pia katika hatua nyingine umeme ulizimwa mji mzima wa Mikumi jana kuanzia asubuhi hadi usiku katika kile kilichoonekana ni hujuma ya Tanesco ili Dr Slaa ashindwe kuhutubia,hata hivyo mbali na kukosekana umeme mikutano ya Dr Slaa ilifurika umati mkubwa wa watu huku kiongozi huyo akiwaambia maelfu ya watu atawahutubia hata bila vipaza sauti.

      Vitendo hivyo vya kihuni alivyofanyiwa Dr Slaa viliwachukiza wananchi wengi wa Mikumi na kusema watalipa kisasi kwa kuindoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.

      Source: Nipashe/Mwananchi



      Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	mwananchi.JPG 
Views:	0 
Size:	174.4 KB 
ID:	61895  


    2. #2
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,486
      Rep Power : 5056
      Likes Received
      804
      Likes Given
      1888

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Duh, that's too bad for the hotel manager! Atakuwa mnazi wa CCM.
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    3. #3
      Mkwe21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 914
      Rep Power : 763
      Likes Received
      212
      Likes Given
      165

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Najua Hii ni njia ya Kukandamiza demokrasia kwa njia ya kuwatumia Makada wa Chama Tawala!! Ila Najua hii yote itashindwa na Aibu itawarudia akina Joel!! Usipende Kuzuia maji ya mafuriko kwa Udongo!!

    4. #4
      Steven Robert Masatu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2009
      Location : majita makojo
      Posts : 680
      Rep Power : 638
      Likes Received
      209
      Likes Given
      314

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      dah!!!! tanzania ni zaidi uijuavyo aisee.!!!!!

    5. #5
      mamajack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 1,153
      Rep Power : 587
      Likes Received
      275
      Likes Given
      71

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      hata chini ya mnazi atalala,lakini ukombozi ni lazima!

      long live my president dr slaa!


    6. #6
      andrewk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2010
      Posts : 2,284
      Rep Power : 923
      Likes Received
      289
      Likes Given
      64

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii, sasa chiki ndio hujenga au hubomoa zaidi?

    7. #7
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Duu jamani.....! Tunaelekea wapi tena Huku. Hivi CCM hawajui mbinu wanazozitumia kuwakomoa CDM matokeo yake zinawarudia wenyewe?

      Mie naamini huyo Meneja wa Hotel amepewa amri toka kwa Mabosi wake afanye hicho kitendo so asingeweza kukataa ili alinde maslahi yake.
      Prisoner 46664 likes this.

    8. #8
      Jile79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2009
      Posts : 3,860
      Rep Power : 1288
      Likes Received
      227
      Likes Given
      9

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Inaonesha jamaa haendeshi biashara zake kihalari km yule mzee wa zamani alivyokuwa anawatishia wafanyabiashara kwa kusema ukitaka biashara zako ziende vizuri support ccm..........huyu atapata anachotafuta kwa kumdhalilisha rais wetu mtarajiwa

    9. #9
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,929
      Rep Power : 16838
      Likes Received
      2640
      Likes Given
      2033

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Mbinu za kizamani hizi.....

    10. #10
      Nyakwec's Bro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2012
      Posts : 593
      Rep Power : 478
      Likes Received
      99
      Likes Given
      210

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Yaani magamba wameshashindwa kufikiri kabisa sas wanatekeleza yaleyale ya Pinda,"LIWALO NA LIWE" na inakula kwenu mazima!...
      Prisoner 46664 likes this.

    11. #11
      kichomiz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 4,124
      Rep Power : 1250
      Likes Received
      670
      Likes Given
      80

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Me naona huyo meneja na hao Tanesco wamefanya vizuri,
      kwa sababu wameongeza hasira za mabadiliko kwa wananchi,
      Dr. Slaa usichoke najua wanakukubali kimoyo moyo ila kwa sababu ya wakubwa wanashindwa kuweka wazi.

    12. #12
      kirumonjeta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Location : Mogadishu
      Posts : 451
      Rep Power : 670
      Likes Received
      83
      Likes Given
      134

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Viva cdm hata wazime mwaka mzima poa tu hata uhuru kulikuwa na vikwazo kibao lakini tuliupata
      NI TAMAA YA UFISADI TU INAYOKUSABABISHA UENDELEE KUBAKIA CCM

    13. #13
      Arushaone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2012
      Location : Arusha
      Posts : 7,076
      Rep Power : 66854
      Likes Received
      5540
      Likes Given
      16769

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Nothing good comes easy. Kitu kizuri kina gharama zake. Long live cdm.
      Prisoner 46664 likes this.

    14. #14
      MATESLAA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : KINONDONI STUDIO
      Posts : 1,252
      Rep Power : 647
      Likes Received
      62
      Likes Given
      32

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Aiseeee baba yangu hayo ni majaribu tu hata Yesu alijaribiwa cha msingi Dr Slaa songa mbele tu sisitupo nyuma yako

    15. #15
      Gagnija's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2006
      Posts : 2,097
      Rep Power : 1092
      Likes Received
      697
      Likes Given
      480

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Quote By WA-UKENYENGE View Post
      Duh, that's too bad for the hotel manager! Atakuwa mnazi wa CCM.
      Na hii VETA ni taasisi ya umma. Sasa siku tukiwaondoa CCM sijui mameneja wa aina hii watajificha wapi. Na watu wa aina hii wako wengi sana. Tunao kina Mwema polisi, kina Zoka idara ya usalama...
      If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. Tutu



    16. #16
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,929
      Rep Power : 16838
      Likes Received
      2640
      Likes Given
      2033

      Default

      Quote By Jile79 View Post
      Inaonesha jamaa haendeshi biashara zake kihalari km yule mzee wa zamani alivyokuwa anawatishia wafanyabiashara kwa kusema ukitaka biashara zako ziende vizuri support ccm..........huyu atapata anachotafuta kwa kumdhalilisha rais wetu mtarajiwa
      jamaa hana skills za biashara...
      Sajenti and Prisoner 46664 like this.

    17. #17
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,336
      Rep Power : 1075
      Likes Received
      755
      Likes Given
      1005

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      acheni raia wasikilize wapime na waamue wenyewe, hii mambo ya kuwa treat kama watoto wa chekechekea inaleta picha mbaya kwa chama chetu ambacho kimsingi ndicho chenye sera nzuri kuliko za cdm.

    18. #18
      Lu-ma-ga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 1,922
      Rep Power : 832
      Likes Received
      541
      Likes Given
      8

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Tulijua na haya yatajitokeza kama njia ya kukandamiza vuguvugu la maendeleo, lakini yapo mengi zaidi yanakuja tusishangae hili kuna mkakati hata wa kuchoma matairi njia atakayopita Dr.slaa.Mkoa wa morogoro unaongozwa na mhuni watanzania wengi waliowahi kucheza mpira timu ya taifa watanzania za kihuni karibu wote.Bendera mmoja wapo mtashuhudia mengi kuelekea 18/8/2012 hapo moro mjini.Hizi ni dalili za kukaribia ukombozi, muda wa mavuno umekaribia tuvumilie

    19. #19
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,882
      Rep Power : 2170
      Likes Received
      1258
      Likes Given
      560

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      dah huyo manager ndo yule jamaa ninayemfahamu mie au majina tu yanafanana?

    20. #20
      ha ha ha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2011
      Location : Hapahapa
      Posts : 456
      Rep Power : 470
      Likes Received
      45
      Likes Given
      71

      Default re: Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

      Uo ni ubabe wa kishangingi, inafurahisha kuona kila mtendaji anafikiri anafanya kitu ili kuidhalilisha cdm kumbe ndo wanakiaribia chama tawala.

    Page 1 of 9 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...