Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 45 of 45
    1. #1
      Gurudumu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2008
      Posts : 2,338
      Rep Power : 1056
      Likes Received
      223
      Likes Given
      104

      Default James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

      aitaka serikali ishuhulikie matatizo isikimbilie mahakamani, migomo bado ipo

      asema haiwezekani baba kugombana na mama na watoto halafu akawa wa kwanza kukimbilia polisi

      Asema ukificha maradhi kifo kitakuumbua, migomo bado inaendelea

      Adai nchi hii siyo tena na wakulima na wafanyakazi, ni ya wafanyabiashara, matapeli na wahuni

      Awaonya wabunge wanaoponda walimu kugoma kwamba wakirudi majimboni kwao wataongea na nani

      Aisuta serikali kwa nini haipeleki wabunge mahakamani kwa kudai posho zaidi

    2. Miaka 50

    3. #41
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,539
      Rep Power : 2087
      Likes Received
      1084
      Likes Given
      1575

      Default Re: James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

      Duh nimeipenda sana hii. Kumbe kuna watu wanafikiria katika chama kile?
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    4. #42
      Concrete's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 1,741
      Rep Power : 983
      Likes Received
      461
      Likes Given
      0

      Default Re: James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

      Mara baada ya kutokea ajali, rais Kibaki alituma ndege ya kijeshi kuchukua majeruhi wote na maiti haraka sana kuwarudisha kenya.

      Kweli Tanzania tumeshoka kwa kila kitu, ni aibu hata kusimulia.

    5. #43
      annalolo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 186
      Rep Power : 397
      Likes Received
      14
      Likes Given
      40

      Default Re: James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

      kuna baadhi ya wabunge wa ccm wako vizuri sana katika kuwatetea wanyonge

    6. #44
      MARCKO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 1,413
      Rep Power : 684
      Likes Received
      153
      Likes Given
      0

      Default Re: James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

      Watu mojamoja kama hao ndio wameifikisha ccm hapa maana huenda hata isingalifika. Lakini tunampa excuse mpaka tar 31 oct 2015 awe amehama maana atabaki pekeyake.

    7. #45
      morenja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Posts : 294
      Rep Power : 426
      Likes Received
      56
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By MARCKO
      Watu mojamoja kama hao ndio wameifikisha ccm hapa maana huenda hata isingalifika. Lakini tunampa excuse mpaka tar 31 oct 2015 awe amehama maana atabaki pekeyake.
      lembeli ni chadema 2015 subiri utaona .

    8. RukaaJuu Final

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...