Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 34 of 34
    1. #1
      sharkzulu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd January 2012
      Posts : 16
      Rep Power : 377
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Wan JF nimezidi kuingiwa na hofu kubwa juu ya visasi vya wazi wazi vinavyolipwa na viongozi wakuu wa nchi yetu zidi ya wananchi/wafanyakazi wake wanapodai haki.

      Kitendo cha mh kuwakaanga walimu kwenye zoezi zima la kuandikisha sensa kisa waligoma, ni baya sana, na tafasiri yake ni kulipa kisasi tena ni kisasi cha wazi wazi. 75% ya walimu waliotakiwa kusimamia uchaguzi wameachwa kibao. Je kulikuwa na haja gani ya kufunga shule ili hali walimu hawajahusishwa kwenye zoezi hilo?

      kwa taarifa tujiandae kuwa na kizazi cha maira kisichokuwa na elimu bora, na hii effect itatugusa sisi wananchi wa kawaida tunao wategemea walim hawa wanao nyanyaswa wa wakuu wa nchi na wana usalama wataifa.

      Sitegemei kama hii ndio dawa ya kutuliza mgomo huo zaidi kuongeza hasira kwa wafanya kazi wote, kwani kila secta ina hofu.

      NAWASILISHA.
      Mzee Kipara likes this.


    2. #21
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,545
      Rep Power : 6186
      Likes Received
      3112
      Likes Given
      1025

      Default

      Quote By faithful View Post
      Kufa kufaana,mgomo umesaidia wadogo zetu nao waliomaliza vyuo vikuu wamepata ukarani aw Sensa.......maana walikuwa wamekaa tu majumbani.......Kwani kulikuwa na mwongozo unaosema Sensa isimamiwe na walimu tu?
      Mkuu uko sahihi. Waalimu wana kazi zao za kudumu na wana mishahara lakini kuna vijana lukuki wamemaliza shule hawana hata hela ya kununulia gazeti waone matangazo ya kazi. Sasa ikitokea opportunity kama hii ni vyema wakapewa hawa vijana ili wajikimu. Kuwapa waalimu ni kuwalimbikizia kazi na tunatakiwa tupinge kama tunavyopinga viongozi wa Chama Chawala kujilimbikizia madaraka.

    3. #22
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Planet Nibiru
      Posts : 11,595
      Rep Power : 42534
      Likes Received
      5102
      Likes Given
      4385

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      nimepita tu, i reserve my comment for now,niko kwenye daladala kuna jamaa karibu yangu namhisi ndo RAMA!, kisasi kingine kisijeniangukia mimi,

    4. #23
      sugi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 587
      Likes Received
      82
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By faithful View Post
      Kufa kufaana,mgomo umesaidia wadogo zetu nao waliomaliza vyuo vikuu wamepata ukarani aw Sensa.......maana walikuwa wamekaa tu majumbani.......Kwani kulikuwa na mwongozo unaosema Sensa isimamiwe na walimu tu?
      uko sawa kabisa mkuu,ila kwa nn shule zifungwe sasa?????

    5. #24
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,864
      Rep Power : 29105
      Likes Received
      12279
      Likes Given
      4935

      Default

      Quote By adolay View Post
      Mkuu it can't be real, was just a matter of oppotunity/chance taker.

      Kenyans were very tired to go on with their conflict just at the moment mbayuwai arrived and at that moment of tuning point anybody could finish off and bring disarrayed kenyan's inline.

      Kikwete display very low capacity in problem solving, weak psychology and dipromatically unfit.

      The dr title was misused otherwise he coukd use that intellectual to absorb doctors and teachers conflict to his government.

      Everyone is crying unfortunately mr president also cries on problems facing the country, who to action others then? Very sad....
      Kama hata Gertrude Rwakatare nae ni Dr, muache mbayuwayu nae atese na title.
      Nirekebishie hapo 'dipromatically' tafadhali.

    6. #25
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,864
      Rep Power : 29105
      Likes Received
      12279
      Likes Given
      4935

      Default

      Ili watoto nao wahesabiwa majumbani kwao. Ulishafikiria sensa wakiwa shuleni? Manake dodoso inabidi ajaze class teacher....

      Quote By sugi View Post
      uko sawa kabisa mkuu,ila kwa nn shule zifungwe sasa?????


    7. #26
      hukumundo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th October 2011
      Posts : 99
      Rep Power : 408
      Likes Received
      29
      Likes Given
      7

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Quote By Uriria View Post
      hiv hao waliochukuliwa pia ni waTZ,sioni mbaya tena hawana ajira kn pia walimu wapo.wao walibeap upande wa pili wakapiga
      Siyo vibaya kuajiri wengine hata kidogo. But the issue is, shule nchi nzima zimefungwa kwa kuwa walimu watakuwa kwenye shughuli za sensa. Sasa, wanafunzi hawasomi ilhali walimu hawakupelekwa kwenye shughuli waliyofungiwa shule wakaifanya. Jaribu kuangalia masuala katika mapana yake.

    8. #27
      casampeda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th July 2012
      Posts : 414
      Rep Power : 0
      Likes Received
      29
      Likes Given
      5

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      kwanza walimu wajanja walio soma alama za nyakati wapo pili hata waalimu wasigekuwepo bado ingebidi wafunge shule ili wahesabiwe na wanafunzi,kwahiyo imekula kwao.

    9. #28
      risalove's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th August 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Hello
      My name is Risa,
      i interested in you and i will also like to know you the more,and i want you to send an email to my email address so i can give you my picture for you to know whom i am Here is my email address ([email protected]) i believe we can move from here!I am waiting for your mail to my email address above. Risa
      (Remember the distance or colour an age does not matter but love matters a lot in life

      [email protected]


      Please contact me direct to my email address for me to send my picture and further communications


      [email protected]

    10. #29
      Mercyless's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 458
      Rep Power : 455
      Likes Received
      90
      Likes Given
      597

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Quote By dada jane View Post
      I dont understand dr alieukwaa u dr kwa kusuluhisha wakenya waliofikia hatua ya umwagaji damu. Anashindwaje kuumanage mgogoro uliopo baina ya serkali yake na wafanyakazi wake?
      Eti kasuluhisha mgogoro wa Kenya? mbona Zanzibar alishindwa, amewezaje Kenya? Kwa taarifa yako tu ni kuwa alipeleka ujumbe kutoka kwa George W. Bush (wakati huo Bush alikuwa ziarani Tanzania kutoa misaada ya vyandarua na kujua habari za Uranium). Bila shaka Bush ndiye aliyemtuma akaeleze msimamo wa Marekani. Inawezekanaje mgogoro umshinde Kofi Anan alafu auweze Kikwete? haiingiii akilini mfupa aushindwe fisi auweze mbwa. Fikiria mara mbili mtu anashindwaje kutatua mgogoro wa serikali na madaktari au waalimu alafu akaweza kutatua mgogoro wa Nchi nzima kama Kenya? utapata majibu. Rais wetu ni mwepesi sana hana huo uwezo.

    11. #30
      Inanambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 533
      Likes Received
      100
      Likes Given
      20

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Siyo kulipiza Visasi. Toka Moyoni Nawashukuru sana NBS baada ya kutafakari na kuona wimbi kubwa la Vijana wasio na Ajira waliomaliza FORM 6 na UNIVERSITY wakaona bora wawape kwa kuwa WAALIMU tayari wana AJIRA NA KIPATO. Acha vijana wetu nao walitumikie taifa angalau wapate vijisenti vya kununua LOTION kuliko kukaa Vijiweni. Hii ndio maana ya SENSA, Kuleta majibu ya Unemployment number na uwezo wao. Wewe ulitaka kila kazi wapewe Waalimu tuu bila Kuwafikiria wengine kwa kuwa Wanaweza Nini na Wengine Hawawezi?. Kamwe usiilaumu Serikali bali ipongeze kwa kuwa mwanzo walikosea wakaamua kujirekebisha. Naomba hata kuingiza hizo Data kwenye Computer ili zifanyiwe Analyisis wapewe pia Vijana na Wasomi wasio na ajira. BIG UP NBS, na Wakuu wote wa Wilaya waliofanya uamuzi huu. Vijana wanashukuru Serikali kwa kuwafikiria hata kwa hicho kidogo cha wiki tatu si HABA kulko kukaa bure huku Waki ABUSE Elimu yao. Nimekutana nao wakienda Semina wana Moyo kweli wa kufanikisha zoezi hili la SENSA.

    12. #31
      dada jane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 527
      Rep Power : 485
      Likes Received
      96
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mercyless View Post
      Eti kasuluhisha mgogoro wa Kenya? mbona Zanzibar alishindwa, amewezaje Kenya? Kwa taarifa yako tu ni kuwa alipeleka ujumbe kutoka kwa George W. Bush (wakati huo Bush alikuwa ziarani Tanzania kutoa misaada ya vyandarua na kujua habari za Uranium). Bila shaka Bush ndiye aliyemtuma akaeleze msimamo wa Marekani. Inawezekanaje mgogoro umshinde Kofi Anan alafu auweze Kikwete? haiingiii akilini mfupa aushindwe fisi auweze mbwa. Fikiria mara mbili mtu anashindwaje kutatua mgogoro wa serikali na madaktari au waalimu alafu akaweza kutatua mgogoro wa Nchi nzima kama Kenya? utapata majibu. Rais wetu ni mwepesi sana hana huo uwezo.
      Thus why nimekuwa nashangaa.

    13. #32
      Bikira Wa Kiume's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th December 2011
      Location : Rock City
      Posts : 154
      Rep Power : 411
      Likes Received
      26
      Likes Given
      10

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Hivi kumbe Kikwete na sera kali yake ndo walivyo!!! kwamba wanaendekeza risasi no visasi. Teh

    14. #33
      Bikira Wa Kiume's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th December 2011
      Location : Rock City
      Posts : 154
      Rep Power : 411
      Likes Received
      26
      Likes Given
      10

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      By Mercyless:
      Eti kasuluhisha mgogoro wa Kenya?
      mbona Zanzibar alishindwa,
      amewezaje Kenya? Kwa taarifa yako tu
      ni kuwa alipeleka ujumbe kutoka kwa
      George W. Bush (wakati huo Bush
      alikuwa ziarani Tanzania kutoa misaada
      ya vyandarua na kujua habari za
      Uranium). Bila shaka Bush ndiye
      aliyemtuma akaeleze msimamo wa
      Marekani. Inawezekanaje mgogoro
      umshinde Kofi Anan alafu auweze
      Kikwete? haiingiii akilini mfupa
      aushindwe fisi auweze mbwa. Fikiria
      mara mbili mtu anashindwaje kutatua
      mgogoro wa serikali na madaktari au
      waalimu alafu akaweza kutatua
      mgogoro wa Nchi nzima kama Kenya?
      utapata majibu. Rais wetu ni mwepesi
      sana hana h
      Anaogopa akimaliza migogoro ya Tanzania watamtunuku PHD nyingine, nayeye anaogopa kuwa na Dr nyingine kwamba watu watazidi kumuona hana.....

    15. #34
      Prince Hope's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2012
      Posts : 456
      Rep Power : 439
      Likes Received
      74
      Likes Given
      26

      Default Re: serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

      Wasubiri kiama kwenye uwakala wa General election 2015 huko vijijini.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...