JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

  Report Post
  Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 142
  1. Gurudumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2008
   Posts : 2,355
   Rep Power : 1184
   Likes Received
   249
   Likes Given
   104

   Default Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Mnakumbuka ile katuni iliyokuwa imechapwa kwenye gazeti la Kenya ikonesha wana habari wa Tanzania wakilamba viatu vya JK. Ililalamikiwa sana ingawa ilikuwa na ukweli fulani. Sasa imewekwa katuni kwenye gazeti la The East African kama ilivyo hapa chini. Sijui tena tukasirike au tukubali ukweli?

  2. timbilimu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Location : DSM
   Posts : 4,508
   Rep Power : 1468
   Likes Received
   1274
   Likes Given
   426

   Default

   Quote By Kiranga View Post
   Wakenya si wanataka wao wawe juu siku zote tu.
   Kiranga,kama umefuatilia hii michezo kupitia KBC utagundua kwamba hata Wakenya wanalalamika kwamba timu yao imefanya vibaya. Lakini tukubaliane na ukweli mmoja kwamba ktk hiyo sekta mpaka sasa wapo juu sana kulinganisha na ubabaishaji wetu.
   Magembe R. Malima likes this.

  3. Mr. Zero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2007
   Posts : 6,502
   Rep Power : 85901668
   Likes Received
   1335
   Likes Given
   213

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By MchunguZI View Post
   Yaaani kwa maneno mdomo wa TZ umejaa medali!!!

   Hivi nani alimpa madaraka Bayi??? Ana akili timamu mtu huyu?

   Pia tuwaelewe wakenya kwamba siyo washirika wetu. ni wapinzani na washindani wetu. Tz hatujawachora kwa upuuzi wao wa kuingia Somalia kwa sababu ya wazungu wawili tu waliotekwa nyara. sasa hivi wanalizwa kila kona ya Nairobi.
   Hutaki ukweli siyo??........................ .?? Si na wewe kawachore wanapigwa mabomu na Wasomalia kama unaona ni issue. Afterall mchoraji ni Mbongo mwenzetu!! Hivi hao wawakilishi wetu umewaona wakishiriki mchezo wowote zaid ya Marathon leo ambayo wanapitwa mpaka na Wapakstani!!
   "Mimi na Rais Kikwete hatukukutana barabarani" by Lowasa

  4. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 3,076
   Rep Power : 86127586
   Likes Received
   1133
   Likes Given
   904

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By MchunguZI View Post
   Yaaani kwa maneno mdomo wa TZ umejaa medali!!!

   Hivi nani alimpa madaraka Bayi??? Ana akili timamu mtu huyu?

   Pia tuwaelewe wakenya kwamba siyo washirika wetu. ni wapinzani na washindani wetu. Tz hatujawachora kwa upuuzi wao wa kuingia Somalia kwa sababu ya wazungu wawili tu waliotekwa nyara. sasa hivi wanalizwa kila kona ya Nairobi.   Unapoandika mada ama kutoa maoni jaribu kutumia fikra si hasira zisizo na sababu kwani unapotoka na kukosa maana. Hivi ulishajiuliza kwanini kenya walienda mpaka Somalilia kushambulia al shabab? Ngoja nikufupishe tu, siku zote unapotaka kujenga nyumba kwenye kichuguu, hausawizishi kichuguu bali unang'oa shina zima au siyo? Je, shina la al shabab liko wapi? Jaribu kupata the whole picture ya hiii story ndipo utoe maoni yako la sivyo utakuwa mtu wa bla bla kama watanzania wengi. Rais Mkapa alisema haya, watanzania si watu wa kujituma ni watu wa bla bla na ni wavivu wa kufikiri, je na wewe upo huko? Mh. rais aliona mbali sana kwa kutuita hivi and I support him kwani wengi wetu wako hivi. We umeona wapi mtu kusema ukweli ukawa mpinzani ama msaliti? Hapa Tanzania ukiongea ukweli ama ukidai haki yako unazimwa, si ujinga huu? Yaani inakuwa kama vile baadhi ya viongozi na watu hawataki watanzania kuwa na akili ya kudai haki yao. Kikwete na viongozi wake wanatubia mali zetu, nimesema mali zetu si za Kikwete wala viongozi serikalini...ukilalamika unaitwa mchonganishi na kufungwa. Majirani zetu wanajua kuwa watanzania tuko hivi na ndiyo maana wanatudharau. Mtu kamwe huwezi kusifia ujinga kuogopa kuitwa msaliti, sifia kinachohitaji kusifiwa. Tafadhali mwana JF mwenzangu usiwe na hasira za kukurupukia kujibu watu, jaribu kufikiri kwanza na muhimu uwe na data za kuku support, hapa ni shule ya elimu dunia si uropokaji/bla bla bla.

  5. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 29,789
   Rep Power : 429503007
   Likes Received
   30131
   Likes Given
   28929

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   sifa yetu ni kubwabwaja lol
   There are things in life that are very difficult to explain....

  6. MAMMAMIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Near You
   Posts : 3,827
   Rep Power : 3388
   Likes Received
   1519
   Likes Given
   1261

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Mimi nimependa mzigo wa medali ulizobeba TZ, Medali Za na Sababu. Hongera Tanzania.

   Click image for larger version. 

Name:	TANZANIA NA MEDALI ZA SABABU.png 
Views:	345 
Size:	73.0 KB 
ID:	61647

   Click image for larger version. 

Name:	Sababu1.png 
Views:	33 
Size:	77.7 KB 
ID:	61649Click image for larger version. 

Name:	Sababu2.png 
Views:	44 
Size:	150.6 KB 
ID:	61650Click image for larger version. 

Name:	Sababu3.jpg 
Views:	48 
Size:	71.9 KB 
ID:	61651Click image for larger version. 

Name:	Sababu4.jpg 
Views:	43 
Size:	63.3 KB 
ID:	61652
   Last edited by MAMMAMIA; 12th August 2012 at 21:57.
   JokaKuu, jmushi1, Yo Yo and 3 others like this.
   "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

  7. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 3,076
   Rep Power : 86127586
   Likes Received
   1133
   Likes Given
   904

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By Kiranga View Post
   Wakenya si wanataka wao wawe juu siku zote tu.

   Kiranga, inabidi uchunguzwe akili yako. Kusema ukweli si kashfa, mbona wakenya wanatupita kwenye riadha hata na soka pia pamoja na vitu vingi tu. Huu si uongo, wako juu yetu kwa kila kitu labda sie tumewazidi katika suala la ukabila lakini kimaendeleo wako juu sana, kubali ukweli. Tukiachana na bla bla na kufanya la maana kushindana na wenzetu mbona tutafika mbali. Hii ya kukaa na kutegemea kuwa ipo siku Mungu atatuona, huu ni ujinga. Huwezi kushinda kitu kwa kutegema dua za Mungu, inabidi ujitume kama wafanyavyo wenzetu, na ndiyo maana tunashindwa siku zote na kubaki oh tulionewa, sijuwi nini. Huu ni uzembe na ni ujinga, tuwe na usongo wa kujituma ili tushindane kama wenzetu.
   Magembe R. Malima likes this.

  8. kapotolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,618
   Rep Power : 85924947
   Likes Received
   2083
   Likes Given
   649

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Tanzania mdomo mkubwa, vitendo sifuri, kazi kukagua mananasi ghana wakati chalinze yapo
   When you are lost, speed is useless - Peter Msigwa

  9. Asante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th December 2009
   Posts : 1,532
   Rep Power : 1097
   Likes Received
   490
   Likes Given
   917

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Wakati mwingine tupeleke timu ya wacheza BAO, tutafanya vizuri

  10. MAMMAMIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Near You
   Posts : 3,827
   Rep Power : 3388
   Likes Received
   1519
   Likes Given
   1261

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Kiranga, inabidi uchunguzwe akili yako. Kusema ukweli si kashfa, mbona wakenya wanatupita kwenye riadha hata na soka pia pamoja na vitu vingi tu. Huu si uongo, wako juu yetu kwa kila kitu labda sie tumewazidi katika suala la ukabila lakini kimaendeleo wako juu sana, kubali ukweli. Tukiachana na bla bla na kufanya la maana kushindana na wenzetu mbona tutafika mbali. Hii ya kukaa na kutegemea kuwa ipo siku Mungu atatuona, huu ni ujinga. Huwezi kushinda kitu kwa kutegema dua za Mungu, inabidi ujitume kama wafanyavyo wenzetu, na ndiyo maana tunashindwa siku zote na kubaki oh tulionewa, sijuwi nini. Huu ni uzembe na ni ujinga, tuwe na usongo wa kujituma ili tushindane kama wenzetu.
   Hapa umemaliza yote Mkereketwa_Huyu Mkuu! Huwa ninafuatilia mashindano ya riadha ya dunia na ya kikanda, sijawahi kuiona Tanzania kushiriki zaidi ya kwenye mashindano ya Afrika na Jumuiya ya Madola, ambako nako hatufanyi lolote na maana. Kwa wenzetu, kushindwa ni aibu, kwetu imekuwa kama sifa. Wakati timu za nchi nyingi, pamoja na kuambulia medali, zimeanza kujitathmini walikosea wapi na kuanza mikakati ya matayarisho kwa Olympics za Rio, sisi tutasubiri mpaka 2016 ndio tuanze kujitayatisha ambapo kwa kweli sio kujitayarisha bali kujitahayarisha.

   Tuendelee kuwa vichwa vya wendawazimu katika michezo na shamba la bibi katika uchumi, labda siku moja Mungu atatuonea huruma.
   Magembe R. Malima likes this.
   "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

  11. Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,690
   Rep Power : 201413702
   Likes Received
   8989
   Likes Given
   5156

   Default

   Quote By Kang View Post
   Uganda imechukua Gold ya marathon, hajawatendea haki!!
   it's all about tz
   Magembe R. Malima likes this.

  12. Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,690
   Rep Power : 201413702
   Likes Received
   8989
   Likes Given
   5156

   Default

   Quote By Kang View Post
   Uganda imechukua Gold ya marathon, hajawatendea haki!!
   it's all about tz! Let us pay the price tuache kuropoka! They are correct!
   Magembe R. Malima likes this.

  13. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 6,981
   Rep Power : 2106
   Likes Received
   1503
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Utani mbali ,Mo Farah na Kiprotich tunapigana vikumbo Eldoret mitaani.

  14. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 16,955
   Rep Power : 85903753
   Likes Received
   1768
   Likes Given
   801

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   michezo ni furaha na kusherehekea humanity, sio kushinda tu..
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  15. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 16,955
   Rep Power : 85903753
   Likes Received
   1768
   Likes Given
   801

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   kwanza hao wakenya wanaokimbia bila kufukuzwa walishaambiwa wanatumia steroids hawajajibu hoja hadi leo hii..
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  16. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,738
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Nashauri miaka ijayo wapelekwe na wacheza solo na zumna,if posibo na KANGA MOKO LAKI C PESA,HUENDA TUKAPATA WALAU MEDANI YA BATI

  17. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,738
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Abdulhalim View Post
   kwanza hao wakenya wanaokimbia bila kufukuzwa walishaambiwa wanatumia steroids hawajajibu hoja hadi leo hii..
   are u FILBERT BAYI???

  18. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,738
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Abdulhalim View Post
   michezo ni furaha na kusherehekea humanity, sio kushinda tu..
   kula daku ulale,,,,,,,
   sasa kwanin waliahidi ushindi???kwann walikaa kambini???yale ni mashindano sio bonanza la lidaaz

  19. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,738
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Asante View Post
   Wakati mwingine tupeleke timu ya wacheza BAO, tutafanya vizuri
   mdau hata zumna,khanga moko laki si pesa,kiduku cha tandale,na mashindano ya pool(hapa tunapaweza sana)

  20. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,888
   Rep Power : 17073920
   Likes Received
   14648
   Likes Given
   2689

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By Mungi View Post
   it's all about tz! Let us pay the price tuache kuropoka! They are correct!
   They are not correct with regards to Uganda.
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  21. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,888
   Rep Power : 17073920
   Likes Received
   14648
   Likes Given
   2689

   Default Re: Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Kiranga, inabidi uchunguzwe akili yako. Kusema ukweli si kashfa, mbona wakenya wanatupita kwenye riadha hata na soka pia pamoja na vitu vingi tu. Huu si uongo, wako juu yetu kwa kila kitu labda sie tumewazidi katika suala la ukabila lakini kimaendeleo wako juu sana, kubali ukweli. Tukiachana na bla bla na kufanya la maana kushindana na wenzetu mbona tutafika mbali. Hii ya kukaa na kutegemea kuwa ipo siku Mungu atatuona, huu ni ujinga. Huwezi kushinda kitu kwa kutegema dua za Mungu, inabidi ujitume kama wafanyavyo wenzetu, na ndiyo maana tunashindwa siku zote na kubaki oh tulionewa, sijuwi nini. Huu ni uzembe na ni ujinga, tuwe na usongo wa kujituma ili tushindane kama wenzetu.
   No doubt Tanzania tumecheza, but that's not the beef here.

   Kusema kweli si kashfa.Kusema uongo ni kashfa.

   Hiyo katuni imeonyesha Waganda hawana medali wakati wamechukua medali ya dhahabu.

   Kashfa.
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  Page 2 of 8 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...