kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu
Dr Ulimboka ameshukuru Mungu wananchi,wanaharakati na madaktari.
Amesisitiza kwa sasa yuko fit na anaweza kufanya chochote!


Reply With Quote


Follow Us Here