Re: Unaupimaje utendaji wa Waziri wa uchukuzi?
Ruta,
Kitu kikubwa kinachotakiwa ni kutendea kazi kile ambacho umeona Mwakyembe anapigia kelele. Wewe ndo umekosea. Fuata sheria siku nyingine hawataendelea. Umetozwa elfu 5 halafu ulichukuwa hatua gani? Sio kazi yake kukuangalia wewe umetendewa nini bali kukusaidia kujua haki yako.
@ nimekuelewa wewe na wengineo ambao kutokana na kuzidiwa na kero mwaona kheri njia za mkato hata kama hazitufikishi tutakakokwenda................ ......kuhusu nilifanya nini msafiri kafiri......................le ngo langu ni kufika A-Town na sina muda wa kuingia gharama kubwa zaidi za kutatua matatizo ambayo Waziri mhusika alivalia njuga na sasa yamemshinda yako palepale...................... ..hata hili la kuripoti hapa jamvini ni hatua ya kuelimisha umma ya kuwa tatizo bado lipo palepale...................... ...na kuendeleza mjadala wa kutafuta majibu yake............
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Follow Us Here